Miguel Felix Gallardo
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 2,841
- 5,218
Binadamu tunahangaika sana na utafutaji na dunia.Tunafikia nafasi za kufanikiwa kisha tunasahau kuishi.
Katika pitapita zangu huko INSTAGRAM nimekutana na hii project "BOYS MENTORSHIP SURVIVAL CAMP".Page inaitwa Boysmentorship20.
Actually ni idea nzuri na pongezi kwa walioanzisha.But then mtu mwenye akili timamu lazima ujiulize nafasi ya BABA,BABAMDOGO,MJOMBA,BABU,KAKA ipo wapi.Kwanini tunatumia gharama kubwa na muda kuweza kufundishana vitu ambavyo ni basics ambavyo tunatakiwa kuwarithisha vijana day to day as wanavyokuwa.
Binadamu tunadanganyika na utafutaji tunasahau kuishi.Ukianglia kwenye hizo video walizopost kwenye hiyo page, vijana wadogo wameshaanza kuota nyonyo🤔🤔, wanaongea kama dada zao, hawajui basic things kama kujiandalia chakula mlo mdogo kama chai, hawajui kujifulia hata boxer!!!
Na wote ni maisha safi hawajui shida.Wazazi wamepata financial freedom ila kwasababu ya GREEDY wapobize kuendelea kuzisaka na wanasahau wajibu wa malezi.
Kwasababu ya ubize na ukosefu wa maarifa.Wajanja wameshaona fursa na wanapita na kijiji. Tutegemee vi NGO vya hapa na pale kwaajili ya MTOTO WA KIUME😄😄😄
Yaani tunazidi kucomplecate maisha.Mtoto akimaliza kukaririshwa huko kwenye shule za gharama inabidi tena mzazi ulipie HIZI MASCULINITY TEACHING CAMPS😄😄😄. Ukiwa na akili za kutafuta hela na ukazipata, bakiza akili kidogo kwaajili ya kuishi na kuenjoy maisha.
Mtoto wa kiume anatakiwa alelewe kibandidu,ugumuugumu full COMBAT mixer skills za hapa na pale ili aweze kusurvive kwenye hii dunia dhalimu isiyomjali mtoto wa kiume.
📌📌Mwanaume unapofanya starehe zako kumbuka kumwaga nje au kutumia CONDOM, hawa watoto wa kulelewa na masingo maza wanaharibika sana.