Habari wakuu?
Kwa sasa Dudubaya amekuwa maarufu sana mitandaoni, pamoja na controversies zake, kimsingi ni mtu anayekemea tabia za kishoga kwa watoto wa kiume. #Yu bet wochi yua bak.
Kwa kweli kwa sasa hili limekuwa janga kubwa sana. Tabia za kishoga zimeshamiri sana. Na bahati mbaya sana...