Bigmaaan
JF-Expert Member
- Nov 25, 2023
- 660
- 1,438
Habari wakuu?
Kwa sasa Dudubaya amekuwa maarufu sana mitandaoni, pamoja na controversies zake, kimsingi ni mtu anayekemea tabia za kishoga kwa watoto wa kiume. #Yu bet wochi yua bak.
Kwa kweli kwa sasa hili limekuwa janga kubwa sana. Tabia za kishoga zimeshamiri sana. Na bahati mbaya sana, jamii hakuna hatua za makusudi na za dhati zinachukulia ili kutatua hili Tatizo.
Binafsi katika family level, tulishawahi pata janga la vitendo hivi, ofcourse tulipanda na muhusika alifungwa, lakini ilinifunza kuwa hali ni mbaya sana, ulawiti ni mkubwa. Ushoga unaongezeka kwa kasi kubwa sana nchini kwetu. Mashirika ya kiraia hayana interest kabisa ya kupambana na hii kitu, pia baadhi ya maafisa wa gavoo hawajisumbui kabisa na haya mambo. Imagine, kuna mtu anatuhuma za kulawiti watoto wa shule moja, na uongozi wa shule unajua, lakini hakuna hatua za maana zinazochukuliwa.
So, ujumbe huu, najua utamfikia dudubaya, kwa sababu ameakuwa vocal, atumie trending yake hiyo kuanzisha NGO ambayo itakuwa na jukumu la kulinda ustawi wa watoto wa kiume dhidi ya vitendo vya kiudhalilishaji kama huo ulawiti ambao ndio mzizi wa ushoga.
Naamini ujumbe huu utamfikia.