malezi

Malezi School is a private educational institution based in Nairobi, Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Serikali inahamasisha zinaa na kuharibu familia. Mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa hapaswi kupewa urithi

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mwana wa Haramu. Mimi Robert, Mtibeli halisi. Nilizaliwa kwa njia haramu. Njia zisizo rasmi. Sikuzaliwa ndani ya ndoa. Na ukweli lazima usemwe wote bila kujali unamgusa nani. Bila kupepesa macho. Kuna watu wanafikiri tukisema ukweli, tunazungumzia ukweli...
  2. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Nyie millenials, hawa watoto mliokuwa mnawasema ni nzao zenu za malezi ya usingo maza, kuzaa bila mpangilio wa kiuchumi na kuwalea kisera sera

    Wanavuna mlicho wapandia.
  3. adriz

    JamiiForums Tanzania Millennials ndio Kizazi kilichofeli zaidi katika malezi ya watoto

    Moja kwa moja ; Tunapozungumzia Millennials tunamaanisha wale waliozaliwa kuanzia 1981 mpaka 1996 , kumekuwa na trending ya kulaumu watoto katika mmomonyoko wa maadili na kusahau chanzo kikuu ambacho ni wazazi wao . Millennials wengi ndio wamezaa watoto waliozaliwa kuanzia 2010 walioanza...
  4. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Ngoma za kuhimiza matusi zilizo hewani, wadada wa maudhui ya utupu wanapewa promo mitandaoni na malezi dhaifu ya wazazi. Hapa mabinti wenu hawachomoki

    Ni ngumu sana maana binti kazungukwa na matusi kila kona haswaaa hawa mabinti amba baba zao lazima avuje jasho na mgongo uume ndio apate pesa.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kuna watu hawajawahi kukumbatia wazazi wao!

    Wakuu, kuna jambo nimekuwa nikilifikiria hapa, kwamba inawezekana kabisa kuna watu wamefikisha utu uzima, lakini hawajawahi kumkumbatia mama au baba yao, si kwa sababu hawawapendi, bali kwa sababu ya malezi na tamaduni walizokulia. Katika baadhi ya familia za kitanzania, kumkumbatia mzazi au...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Baba anakataa kutoa matunzo ya mtoto: Sheria inasemaje?

    Kuna wazazi wanaotengana na baada ya hapo baba anakataa kuchangia mahitaji ya mtoto, akimuachia mama jukumu lote la chakula, ada, mavazi na matibabu. Lakini kwa mujibu wa Kifungu cha 129 cha Law of Marriage Act, baba ana wajibu wa kutunza mtoto hata kama mtoto anaishi na mtu mwingine. Kifungu...
  7. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania USHAURI KWA DUDUBAYA: Anzisha Taasisi ya Malezi ya vijana wa Kiume.

    Habari wakuu? Kwa sasa Dudubaya amekuwa maarufu sana mitandaoni, pamoja na controversies zake, kimsingi ni mtu anayekemea tabia za kishoga kwa watoto wa kiume. #Yu bet wochi yua bak. Kwa kweli kwa sasa hili limekuwa janga kubwa sana. Tabia za kishoga zimeshamiri sana. Na bahati mbaya sana...
  8. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Sio kila baba ni mzazi hii pia imepelekea malezi ya single parenting kuongezeka kasi ila lawama zote anatupiwa mama na mama mkwe

  9. 100 others

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Huyu ni mama na mtoto, malezi gani haya?

    Nilikuwa napita huko x, nikakutana na hii video... Hii ipo sawa kweli kwa mtoto kuwa na mazoea ya namna hii kwa mama yake mzazi?
  10. papag

    JamiiForums Tanzania Msikilize Baba Askofu kuhusu malezi

    Tuko kwenye kipindi kipi? Na je huko mbele Taifa litakuwaje?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini asilimia kubwa ya "bosses" wa kizungu wana roho nzuri na waumgwana kuzidi Waafrika, waarabu, wachina na wahindi? Malezi bora au ni nini?

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Uliwahi kuwa na boss Mzungu, mchina, Mwarabu?? What was your experience?? Siku boss wangu Mzungu anaondoka mwaka 2018, alitupa staki zote kwa mujibu wa sheria plus 900,000/= kila mmoja wetu kutoka katika akiba yake baada ya kuuza assets zote na kurejea kwao Denmark...
  12. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mwigulu awataka Watanzania kuimarisha malezi, kulinda amani na kutimiza wajibu

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka Watanzania kuendelea kuimarisha malezi ya watoto na vijana, kulinda amani, kuheshimu tofauti na kutimiza wajibu wao kwa taifa, akisisitiza kuwa haki na wajibu haviwezi kutenganishwa. Dkt. Mwigulu ameyasema hayo leo Jumanne, Agosti 25, 2026, wakati...
  13. kaisar19

    JamiiForums Tanzania Malezi ya wazazi wangu yameniathiri vibaya sana

    Nimelelewa kwenye mazingira ambayo sikupewa nafasi ya kuchanganyika na watoto wenzangu. Baada ya kuoga na kupaka mafuta ilikuwa ni kukaa ndani hadi muda wa kula usiku. Sikuwahi kuwa na marafiki wa kucheza nao, kupiga stori au kufanya mambo ya kawaida ya utotoni. Baada ya kuanza maisha...
  14. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume wote, hili linatuhusu kwenye malezi!.

    Kama mwanaume, watoto wako wakiwa bado wadogo na wewe ukiwa katika kilele cha nguvu zako ukiwa na kazi ya kudumu, nyumba huwa inaendeshwa kama ufalme uliopangwa vizuri. 😂 Wewe ndiye Amiri Jeshi Mkuu, Waziri wa Fedha, Waziri wa Mambo ya Ndani, Mkuu wa Usalama na Jaji Mkuu kwa wakati mmoja...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mamaako alijua wanawake wa babaako huko mitaani. Babaako alijua visa vya mama ako nyumbani ila walichagua usikose zawadi ya malezi ya wazazi wa wawili

    sikufundishi uwe mfuska, sikufundishi uwe kisirani Mwanamke anapenda kuhudumiwa na attention ila hadi at what cost and extent? Mwanaume anapenda kufanyiwa mautundu ya mapenzi na utiifu ila hadi at what extent? Mwanaume ni mashine ya ngono inayotembea popote itafanya kazi, mwanaume ni compyuta...
  16. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi Mama Mkwe kuingilia malezi ya watoto wangu?

    Mama mkwe wangu namheshimu sana kama mama yangu ila kitu napishana naye ni pale anapotaka kuingia kuwa mzazi wa watoto wangu. Ananiingilia sana kwenye malezi, kila nikifanya maamuzi kwa watoto wangu yeye anapingana nayo anataka mtoto alelewe vile yeye anaona inafaa mpaka nashindwa kuelewa huyu...
  17. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa wadada wanaotumwa mitandaoni wakiwa utupu wana wazazi kweli! Malezi gani haya

    Huwa najiuliza huu mrundikano wa picha chafu mitandaoni hawa watu wana wazazi kweli? Kama wapo malezi gani ya namna hii au ndio sons of bitch wamejaa mtaani Binafsi sina dada wala ndugu alieko huko picha zote ni ngeni kwangu, je wewe una ndugu unaemjua au jamaa au rafiki picha zake zinatumwa...
  18. Arnold_webster

    JamiiForums Tanzania Je, malezi ya "Watu watasemaje" yameharibu mahusiano ya kizazi hiki?

    Kadiri ninavyowachunguza watu na mahusiano yao, ndivyo ninavyozidi kuamini kuwa moja ya matatizo makubwa tuliyorithi kutoka kwa wazazi wetu ni utamaduni wa kuishi kwa ajili ya maoni ya wengine. Wazazi wengi walilelewa katika mazingira ambayo heshima ilipimwa kwa namna jamii ilivyokuona. Matokeo...
  19. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ahimiza Mlezi ya Kimaadili na Ushirikiano wa Kijamii

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema jamii inapaswa kurejea katika misingi ya malezi ya pamoja na uwajibikaji wa kijamii ili kujenga kizazi chenye maadili, kinachoheshimu viongozi, wazazi pamoja na taasisi za jamii. “Tunataka kujenga jamii inayoguswa na changamoto za wengine. Maadili mema...
Back
Top Bottom