Natumaini wikiend iko poa sana twende kwenye mada kuna jamaa yangu mmoja napiga nae mishe yani ni shida kila jambo ukiongea nae au mkashauliana bas lazima lifike kwa mama yake uzuri mama yake baadhi ya biashara namuuziga kwaiyo ananiambiaga nilichokuja kugundua jamaa makuzi ya kulelewa na single...
Mara ya kwanza nimeenda out na rafik yangu tukaagiza chakula sasa kika kimechelewa na kikaja cha baridi. Rafiki yangu akamuita yule muhudumu akaanza kumfokea hadi watu wa meza nyingine wakaanza kutuangalia sisi.
Ikabidi niingilie kati kumuomba yule kaka arudishe vipashwe moto kwa sauti ya...
Mtu yeyote ambaye amekua katika maeneo ya vijijini hata mjini kwa kiasi kidogo anaweza kuelezea uzuri wa malezi ya bibi.
Bibi ni mtu mwenye huruma sana hata mzazi akitaka kukuadhibu ukikimbilia kwa bibi basi utakuwa salama kabisa.
Lakini Bibi ni mtu ambaye hutanguliza mbele wajukuu zake washibe...
Natumain mna afya njema
Kuna namna malezi yanakuwa magumu Kwa walezi wa kiume hasa kubadilisha fikra za watoto wao na kuthaminika Kwa watoto wao japo walijitahid kufanya hivo ila hawakuzngatia code
Kiukweli mm ni miongoni mwa watu ambao huwezi kuniambia chochote kibaya kuhus babaangu...
Familia na dini zimekuwa zikiaminika kama taasisi muhimu katika hatua za awali za malezi na makuzi ya watoto wadogo na hata vijana wa rika balehe kwa kuwapa mafunzo na miongozo inyowajenga kiimani, kiakili na kiroho.
Kwa kipindi cha mwaka 2000 hadi kufikia 2024 katika nchi ya Tanzania kumekuwa...
Hili halina ubishi, kama umelelewa kwenye familia ya baba anayejali familia, mama anayejali familia, Familia iiliyo na hofu ya Mungu, Familia yenye wazazi hard workers , wanaoamini kwenye kufanya kazi kwa bidii ili kuendelea kuna uwezekanao mkubwa na wewe ukaiga mwenendo huo ingawa kuna...
Mamia ya wananchi wameshiriki maziko ya aliyekuwa Diwani wa Kamena Halmashauri ya mji wa Geita, Peter Kulwa (67) aliyefariki dunia Juni 13, 2024 na kuacha watoto 34, wajukuu 129 na vitukuu 10.
Kwa mujibu wa risala iliyosomwa na mjukuu wake, Makutano Sadick, diwani huyo alianza kuugua kisukari...
UTANGULIZI.
MALEZI ENDELEVU INITIATIVE (MEI) ni wazo la kuandaa mfumo kamili wa kumlea Mtoto wa kitanzania kabla ya kuzaliwa, kuzaliwa mpaka utu uzima ili kujenga Tanzania imara na endelevu.
MEI inalenga kumuandaa Mtoto katika nyaja mbalimbali kama;
Kimwili
Kiroho
Kiakili
Kiuchumi
Kijamii...
Ni danguro la mabinti wadogo sana wengine wanawake watu wazima eneo la Mbezi Beach - Rainbow
Polisi Kawe wameshaaambiwa sana lakini wanachofanya wanabeba wanawake wakifika gizani wanawaachia wanarudi tena usiku huo huo! Huku Beach imegeuka Lodge, walinzi Shirikishi wanawalinda na kuvuta chao...
Wakati familia nyingi za nchi zilizoendelea zikijitahidi kuwalea kwa umakini watoto wenye tabia za uintrovert, hali ni tofauti huku Uswahilini. Watoto introvert hukumbana na kadhia ya kulazimishwa kuwa extrovert jambo ambalo haliwezekani.
Lakini kuwa introvert au extrovert si tatizo. Tafiti...
Malezi
Malezi ndio Msingi bora wa kutengeneza watu bora na watu wa maana katika nchi ,malezi yasipokuwa mazuri kwa watu hakika tutatengeneza Tanzania ambayo itakosa kuwa na viongozi wazuri na wanaowajibika katika kuhakikisha kwamba tunasonga mbele.
Malezi sizingumzii kwa watoto tu hata kwa...
TANZANIA TUITAKAYO NA MFUMO WA MALEZI KATIKA LISHE
Mimi ni mwanachama wa Jamii Forums, Jina langu ni mchechemuzi.
Ushahidi wa tafiti za kisayansi umeonyesha kwamba msingi wa Taifa lolote lile unategemea sana uwekezaji kwa binadamu katika umri wa awali wa maisha ya mwanadamu hususani umri 0 -2...
Ninaguswa sana ninaposikia stori za watoto kubakwa au kulaitiwa na ndugu au mwalimu au jirani.
Tafiti zinaonyesha watoto wengi wanaofanyiwa vitu vibaya ni wale ambao hawana sauti yaani walinyanganywa haki zao za kuongea kwa sababu inawezekana mzazi alikuwa mkali sana au anamchapa au halikuwa...
MALEZI YENYE MISINGI YA KUMCHA MUNGU, UWAJIBIKAJI NA KURIDHIKA.
Katika miaka ya sasa hivi wazazi wengi wamekua wakijikita sana katika shuguli za utafutaji kiuchumi ili kukidhi mahitaji ya familia zao na kupelekea upande wa malezi kwa watoto kutotiliwa mkazo na wazazi kama miaka ya zamani. Hali...
Jamii ya sasa imeachia mitandao ya kijamii kulea vijana ni wakati Sasa elimu itolewe juu ya mabadiliko haya ya sayansi na kukua kwa teknologia, vijana wengi wa vyuo vikuu wanatumia mitandao pasipo kujua ni faida zipi na hasara ndani yake.
Ni muda Sasa elimu ielekezwe kwa vijana tukizingatia ya...
Kumekuwa na changamoto kubwa sana ya mmomonyoko wa maadili katika jamii yetu ya kitanzania na sababu kubwa ya changamoto hii ni wazazi kutoa malezi duni kwa watoto.
Malalamiko yamekuwa mengi sana kuhusu mmomonyoko huu wa maadili kwa miaka ya hivi karibuni lakini inasahaulika kwamba msingi mkuu...
WATOTO WA KIKE WANAOKOSA MALEZI YA BABA WAPO HATARINI KUANZA MATENDO YA NDOA KATIKA UMRI MDOGO NA KUPELEKEA MIMBA ZA UTOTONI
Na Comrade Ally Maftah
KING OF ALL SOCIAL MEDIA
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali inaonyesha kwamba mtoto anayekosa malezi ya baba anakuwa hatarini kupata mimba za utotoni...
UTANGULIZI
afya bora ya mtoto inaanzia pale mama anapojigundua kuwa ni mjamzito, kipindi cha miezi tisa (9) ya uleaji wa mtoto ,kipindi cha kujifungua na kipindi cha miezi 6 ya mwanzo ya ulezi , hapi ndipo afya bora ya mtoto inaanzia na kuimarika ili kujenga taifa lenye watu bora wenye akili...
YAFUATAYO NI MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA MALEZI YA MTOTO WAKO KULINGANA NA DUNIA INAVYOKWENDA .
1. Mfundishe mtoto kumjua na kumtanguliza Mungu katika kila Jambo analolifanya( Everything to put GOD first)
Haijalishi kwa Imani gani atayokua nayo lakini Jambo muhimu kumtanguliza Mungu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.