Wana Jf
Ukisikia mwanakuyatafuta na mwanakuyapata Ni pale msanii maarufu baada ya kuposti picha chafu za kumdhalilisha mwanae wa kiume mavazi ya kike na kumpamba mithili ya like. Wanamitandao walichukizwa na kitendo kile na kuanza kumtukana wakitaka ajirekebishe, matusi Yale yalimtikia mwanae...
Naomba wazazi na walezi kama mimi tukumbushane kuwaelimisha watoto wetu wa kiume na hasa wa kike kuhusu mazingira hatarishi ya kupelekea unyanyasaji wa kingono au ubakaji.
Nimeona mada kule twitter mabinti wengi wakieleza namna walivyobakwa na kuwataja wabakaji wao na kutaka wachukuliwe hatua...
Kuangalia sana Televisheni kunaweza kubadilisha muundo wa ubongo wa mtoto na hivyo kumletea madhara, kulingana na utafiti mpya uliofanywa na wataamu toka Chuo Kikuu cha Tohoku kilichopo katika jiji la Sendai nchini Japan. Watafiti hawa waligundua kuwa kadiri mtoto anavyotumia muda mwingi zaidi...
Sheria ya Mtoto ya mwaka 2009 inatamka wazi kwamba 'Mtu hatachapisha, kutengeneza, kuonyesha au kuagiza kuchapishwa, kuendeshwa au kuonyeshwa picha au taswira ya mtoto au mtoto aliyefariki, inayoonyesha ukatili au katika pozi za ngono.'
Ama kwa kujua au bila kujua, jamii hukiuka sheria hii...
TUELEWANE MAPEMA, MAMBO MUHIMU.
1.Mtoto wangu hachezi na watoto wa kihuni mitaan na akienda kijijini ni nje kidogo ya mji na ndiko nlipokulia, watoto anaocheza nao wengi walezi wao nawajua tunafahamiana, pia hakuna watoto wa mitaani huko kama mjini.
2. sifurahi kwamba mwanangu ni mjanja au...
Wadau poleni kwa hofu ya Corona
Ngoja niende moja kwa moja na mada yangu. Kutokana na wanafunzi kupewa likizo warudi majumbani mdogo wangu wa kike ambaye yuko form two amefika kwangu. Wiki iliyopita nimesikia akiongea na simu usiku nikanyata mpaka mlangoni kwake nisikie anaongea na nani saa...
Yapo mambo mengi ambayo kusema kweli yananifanya niwaze na kutafakari mengi. Leo nitaanza na hatua za awali kwenye maisha yangu na nitakuwa naweka hapa mambo ambayo nimewahi kuyafanya (Ya ajabu, yaliyonitokea mimi pamoja na ndugu zangu wa karibu)
Ilikuwa ni miaka ya kuanzia 2000 nilipatwa na...
Wakuu,
Majuzi kati nilienda kumsalimia kaka yangu. Kaka huyu anaishi na mkewe na watoto wawili wa kike. Hawajafika miaka kumi.
Kwa bahati mbaya wakati nafika mkewe braza (shemeji) naye alikuwa anasafiri kwenda kwao kwani kutakuwa na sherehe, hivyo braza na watoto watakuja kesho kutwa yake...
Utafiti juu ya zana za mawasiliano ya watoto uliofanywa na R.G.Hopkins na J.K.Green pamoja na mwanasaikolojia John Bowlby unaonyesha kuwa mzazi anapaswa kusikiliza kilio cha mtoto wake ili kubaini mahitaji ya mtoto huyo. Kusikiliza kilio cha watoto siyo tu wajibu kwa wazazi bali pia ni sanaa...
Je, mtoto anaweza kulelewa kwa mafanikio ikiwa sheria za malezi za wazazi/walezi wake zitakuwa tofautitofauti? Yaani Baba ana kanuni na taratibu hii, Mama ana kanuni na taratibu hii. Yapi maoni yako?
Wazazi/walezi wengi duniani kote wamekuwa katika mahangaiko ya kutafuta njia sahihi za kuzitumia katika kupata matokeo chanya kwenye nyanja mbalimbali za maisha ya watoto wao: wachache sana wamefanikiwa, lakini wengi wameshindwa kutokana na kutojua njia mbalimbali wanazoweza kuzitumia ili...
Habarini Wadau wa MMU, suala la malezi ni changamoto sikuzote,kulea watoto halijawahi kuwa rahisi hata mara moja
tena wanasema mtoto umleavyo ndivyo akuavyo,kwamba utu au tabia za mtoto wako ni matunda ya malezi yako,kama ni ukatili,upendo,huruma,uchapa kazi au uvivu vyote ni matokeo ya malezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.