Tarehe 1 Disemba 2020 timu yetu ilipokelewa kwa bashasha na mabinti watatu kutoka shule ya Sekondari ya Nyikoboko mkoani Shinyanga. Mabinti hawa kwa majina yao ni Mengi Daudi, Helena Joseph pamoja na Mengi Lucas, wanafunzi wa kidato cha kwanza. Mabinti hawa walikuwa kati ya washindi wa shindano...
Ingawa akina baba walio wengi sasa wanajua umuhimu wa kuwasindikiza wazazi wenza (akina-mama) kliniki wakati wa ujauzito na hata baada ya kujifungua, bado wapo wengi wenye dhana kuwa kupima afya zao ndiyo lengo pekee la kwenda kliniki. Wengi walio na dhana hii pia huwategemea akina mama kupima...
Ma- dingi wengi siku hizi tunawalea watoto kimayai mayai sana ki- junior junior sana. Matokeo yake mtoto anakosa dira na kujiongoza peke yake huko mbeleni.
Sasa Fanya haya kumuokoa mtoto wako (wa kiume) Dunia imeharibika sasa.. Hakuna wa kukunyooshea mwanao zaidi ya kumtumbukiza shimoni.
1...
Mel B na Eddie Murphy walibahatika kupata mtoto wa kike Angel mwenye umri wa miaka 10 sasa. Miaka tisa iliyopita walifikia makubaliano Eddie awe anampa Mel B £21,000 kwa mwezi kwa malezi ya mtoto huyo. Kutokana na kushuka kwa mapato ya Mel B, ameamua kufanya majadiliano mapya ili Mr Murphy...
Yawezekana unazo sababu nzuri tu za kukufanya utake kudhoofisha mahusiano ya mwanao na mzazi mwenzio. Labda alimkataa mtoto (ujauzito), ama hatoi matunzo (pesa na mengineyo) kwa mtoto. Ingawa sababu hizi zina mashiko, makala yetu yanataka kuangazia athari anazopata mtoto mzazi ukiamua kumtenga...
Nimefuatilia orodha ya wagombea waliofungiwa kufanya mikutano ya kampeni na kamati za maadili kwa kukiuka maadili ya uchaguzi na nimekuta wagombea wa Chadema ndio wengi.
Lakini pia wagombea wa CCM wanaongoza kwa kuzingatia sheria na maadili ya uchaguzi.
Nabaki najiuliza Chadema wanafeli wapi...
Utunzaji wa aina ya Kangaruu wa Mama kwa Mtoto (UKM) ni njia ya utunzaji iliyopewa jina kwa kurejelea jinsi kangaruu wanavyowatunza ndama wao. Njia hii imetambulika kuwa bora sana katika kuwatunza watoto waliozaliwa kabla ya kuhitimu muhula na waliozaliwa wakiwa na uzani wa chini. Njia hii...
Baada ya ajali na kupoteza maisha ya watoto kule Kagera, shule nyingine mkoani Tabora imeungua. Mmoja katika waliohojiwa alionesha mashaka kwamba kwa nini kwa muda mfupi kiasi hiki na kwa nini zote za dini moja - alimaanisha za Kiislamu.
Binafsi nina tatizo na ubora na tabia ya kupeleka watoto...
Sisi wananchi tumekaa kimya tukiangalia watoto wetu wakifanyiwa vitendo vya kidhalimu na unyanyasaji mitaani na vijiji katika mamlaka zote za serikali za mitaa. Tumekaa tu na kukubali aina hizi za matukio kama vile ni mambo ya kawaida, wakati kwa kweli ni msiba wa kitaifa wa maadili.
Wapo...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu Watanzania eti;
Ukigundua kuwa umemkosea mtoto wako mdogo huwa unafanya nini ili kuweza kupooza machungu yake na wewe kujipunguzia hatia nafsini mwako?
Unamnunulia anachokipenda (chips), unamuomba msamaha au unapotezea tu?
(1)...
Mtandao wa MenCare uliwahi kuwahoji washirika wake 100 wakiwemo akina mama, akina baba, wanaharakati na watafiti katika malezi kutoka nchi 50 kutoa ushauri kwa wazazi wakiume. Mambo manane yafuatayo yalishauriwa kwa akina baba wote wanaohusika moja kwa moja katika maisha ya watoto iwe...
Katika hali ambayo haikutarajiwa, Ann Magwi na Jonathan Munini kutoka Kenya, wamelazimika kukatisha zoezi la kufunga ndoa, baada ya James Sidai kujitokeza kanisani na kusema yeye ndio Baba yao Mzazi, Baba huyo aliingia kanisani akiwa na Dada yake na kusema ndoa hiyo isifungwe kwa kuwa Maharusi...
Mara kadhaa kupitia wasaa huu tumezungumza juu ya matumizi ya mtandao na athari zake, chanya na hasi. Leo tunakutanabaishia aina tano kuu za hatari anazoweza kukutana nazo mwanao awapo mitandaoni na namna bora ya kukabiliana nazo ili kupafanya mtandaoni mahali salama kwa mwanao.
Maudhui...
Utakubaliana nasi kuwa shule ya kwanza katika maisha ya mtoto ni nyumbani – wazazi, ndugu wa familia tandaa, majirani na marafiki wa familia husika. Kupitia mzazi/mlezi mtoto anapata nyenzo zitakazoongoza maisha yake yote – heshima, utii, unyenyekevu na kadhalika. Yaani wema au ubaya wa mtu mara...
Malezi ya mtoto huwa si kazi rahisi, ikiwa ni pamoja na kumuogesha, kumfulia, kumpa chakula na kuhakikisha afya nzuri na elimu bora ya mtoto. Hali hii ni ngumu zaidi kwa mzazi mmoja ambaye mzigo wa kifedha na malezi umo mikononi mwake.
Tamaduni zetu za kiafrika zinaasa malezi ya watoto...
Katika miaka ya hivi karibuni malumbano ndani ya nyumba zetu yameshika hatamu. Tumeshuhudia tabia iliyozoeleka kwa wazazi - baba na mama wakipigana, kurushiana maneno, matusi na kadhalika mbele ya watoto tena bila aibu. Kisaikolojia mtoto hujengeka zaidi na kuwa mwenye furaha kutokana na kuwepo...
Ripoti ya idadi ya watu ya mwaka 2000 huko nchini Brazil ilionyesha kwamba familia milioni 11.2 kati ya familia milioni 44.7 zinaongozwa na wanawake. Nchini Nikaragua 25% ya watoto huishi na mama zao pekee. Mnamo mwaka 1990 huko nchini Kosta Rika takwimu zilionyesha kwamba idadi ya watoto...
WACHEZAJI NA BENCHI LA UFUNDI LEO KILA MMOJA AMEPOKEA KIASI CHA TSH 10M ZA BONUS BAADA YA KUTINGA FAINALI YA KOMBE LA FA KIASI HIKO CHA 10M KILA MMOJA NI SAWA NA 380M KWA KIKOSI CHOTE CHA WACHEZAJI 29 BILA KUJALI ULICHEZA AU ULIKUA JUKWAANI.
simbadaily.com
Asante sana ' Big Boss ' Mo Dewji na...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania;
Mzazi mwenye uwezo kumpa mtoto chochote anachokitaka ni sawa na kumharibu? Na kumnyima napo ndio kumjenga?
Nimeamua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.