Kipindi hiki malezi ya watoto yamekuwa magumu sana hasa wa kike walio katika foolish age, sababu ya contact kubwa ya watu tokea maeneo tofauti tofauti na utandawazi.
Yaani ni changamoto sana, watoto wengi wa kike wanaanza sex mapema sana. Yaani mtoto kike wa o level kuwa na mwanaume zaidi ya...
Hello bosses,
Kama mwanao anaongoza darazani angalau nafasi 10 za juu.
Je, nini ulikifanya kufanikisha hilo?,
Mtoto anapata shule nzuri, tuition za kutosha, muda wa kupumzika, homework n.k lakini bado maendeleo yake ya shule sio ya kuridhisha.
Mruhusu achague majukumu yake ya ziada: Wakati mwingine kile ulichopanga kwa ajili ya Mtoto sipo moyo wake ulipo. Kila mtoto ana utofauti wake, mpe uhuru
Usijaribu kumbadilisha: Kama wewe ni Mzazi wa Mtoto mwenye kitu cha kipekee, sherehekea utofauti wake na mkubali kama alivyo
Chukulia makosa...
Malezi ya watoto ni elimu muhimu yenye ukurasa unaojitengemea. Tumekuwa na kujifunza darasani maada nyingi na muhimu katika maisha yetu, bahati mbaya ni kuwa suala la malezi ya watoto, ambalo kwa kiasi kikubwa wengi wetu laazima tupitie hatua hii limekuwa likiachwa nyuma, na sasa mtazamo binafsi...
Habari za siku wana JF,
Kuna dada mmoja kabila lake msukuma tulifahamiana kazini kwangu nkaanza kumtania na tukajenga urafiki kwa muda mfupi tukawa tunachati kiasi, katika kunipeleleza kwake nilimwambia ukweli wa maisha yangu kimahusiano idadi ya watoto nilionao akanisema kwa tabia mbaya...
Nimekuja kibiashara hapa mjini kahama nikaona si mbaya nifikie kwa jamaa yangu ambaye tunatoka sehemu mmoja anaishi na familia yake hapa hatimaye nimefika amenipokea vizuri nashkuru ukweli yuko vizuri hongera zake mambo si haba kapanga apartiment nzima anausafiri istoshe ni mwajiriwa wa kampuni...
Bado sijutii uamuzi niliofanya,
Hapo awali mtoto nilikuwa namlea kimayai huku nikijipa moyo sitaki apitie shida nilizopitia kumbe nilikuwa navuka mipaka kabisa ambayo haikuwa vema kwa mtoto,
Nikabadili malezi na kweli dhana yangu ya kutotaka mtoto asipate shida nilizopitia nliendelea nayo ila...
Habari za weekend wana JF
Nilioa mwaka 2016, na tukabahatika kupata mtoto 1 wa kiume mwaka 2017 ambae ana miaka 4 kwa sasa na sehemu ya makazi yetu ni hapa Mbeya. Mapema 2020 mke wangu alianza kubadilika sana baada ya yeye kupata biashara nzuri ukilinganisha na ile aliyokuwa anafanya mwanzo...
Wahenga walitambua ugumu wa familia kukosa mzazi mmoja. Ukifiwa na mke unatafutiwa mke wa kuoa ma ukifiwa na mume unatafutiwa ndugu wa mume akiongea. Sababu kubwa ilikua watoto wa marehemu wasipate tabu pia kuwe na mtu wa kuwafunza nidhamu na maadili katika jamii. Sababu jamii ikikua inaishi...
“Dereve taratibu bana usije ukatuua, mi sina mtoto hata mmoja” Msemo kama huu husikika sana katika jamii yetu watu wakimaanisha ni kama mkosi kufariki kabla hujaacha mtoto. Imefikia watu kuona ni bora ufe na kumuacha mwanamke wako mjamzito kuliko kufa hujaacha chochote.
Katika jamii yetu kuna...
Wana great thinkers
Kuna ushauri tafadhali unahitajika.
Kwa ufupi kuna mzazi (mwalimu wa sekondari) mkristo alizaa na wanawake wa 2 tofauti Wa kwanza mke wa ndoa watoto wa3, Mwanamke Wa pili aliishi nae watoto wa 2.
Mke wa Kwanza aliendelea kuhudumia watoto wake bila msaada wowote kutoka kwa...
Salaam wakuu,
Nimeuliza hili kwa sababu kuna watu wamepata malezi bora, pia wazazi wana dini lakini wao wanatabia mbovu but kuna wengine hawakupata malezi bora bt wana tabia njema sana.
Je, kwa upande wako tabia njema inajengwa na malezi bora, dini au ni hulka asilia ya mtu?
Nini maana ya afya ya akili?
Ni hali ya kuwa sawa kiakili na kisaikolojia au kutikuwepo kabisa kwa usumbufu wa akili ya mtu, mfano msongo wa mawazo. Huhusisha uwezo wa mtu kufurahi maisha na kutengeneza mlingani baina ya shughuli za kimaisha pamoja na jitihada za kufikia uwiano mzuri...
Nimeangalia video za mtoto Charles Mbena, Tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kujalia maarifa ya ziada. Mtoto wa miaka sita kumudu hesabu za kutoa na kujumlisha kwa kiwango cha Charles ni kusema Jina na Mungu lihimidiee.
Kuna taasisi zilizojitokeza kumsaidia Charles, nimemuona mpaka RAS amefika...
Ni changamoto kubwa katika malezi hasa kwa sisi ambao kuna visenti kidogo huwa tunajikuta tunataka kulea watoto kizungu sana na kuwa na visingizio kama "sitaki mtoto wangu apitie shida nilizopitia" na kujikuta tunalea watoto ndivyo sivyo
1. Mwanzoni mtoto wangu alikuwa anasoma wanatoka saa 11...
Kutelekeza watoto hufafanuliwa kama "aina ya unyanyasaji ambao unamaanisha kutompa mtoto huduma ya malezi inayohitajika na inayostahili kulingana na umri wa mtoto ingawaje kifedha mlezi au mzazi anaweza kufanya hivyo."
Mara nyingi watu hushindwa kutofautisha kati ya umasikini na kutelekeza...
SERIKALI kupitia Wizara ya Afya- Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii kwa kushirikiana na Shirika la Brac Tanzania imeanza kuratibu uanzishwaji wa Vituo vya Malezi kwa watoto wadogo vitakavyomilikiwa na kuendeshwa na Jamii ya eneo husika.
Hayo yamesemwa jijini Dar E s Salaam na Mkurugenzi wa Idara ya...
Iwapo unasafiri na mtoto mdogo mwenye umri chini ya kwenda shule. Uwapo katika daladala na mtoto umri huu hapaswi kulipiwa nauli. Mara nyingi husimama kati ya miguu yako ama pengine unampakata. Taratibu za LATRA zinasema huyu halipiwi nauli. Lakini kama unasafiri naye katika mabasi makubwa ya...
Serikali imetoa siku 14 kwa wamiliki wa vituo vya malezi vya watoto na (Day Care), kurekebisha kasoro ili watoto hao walelewe katika mazingira sahihi na kwa kujibu wa Sheria.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii), Dk. John...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.