Kujamiiana hovyo kunapelekea kukataa mimba au kutelekeza watoto, pamoja na malezi mabovu kwenye jamii vyanzo vya panyaroad
Wengi wa hawa tunaowaita panya wana baba zao na mama zao
Wazazi nchini wameaswa wasiwadekeze watoto, ikiwa ni pamoja na kuzuia wasifanye kazi shuleni kwani ni hatari kwao siku za usoni.
Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Shule ya Msingi Rockeni Hill na Shule ya Sekondari Anderlek Ridges, wilayani Kahama, mkoani Shinyanga, Alexander Kazimili na...
Sana sana kwa wamama ambao wanalea peke yao watoto wa kiume
Imefikia stage niseme tu kwamba baadhi ya wamama wanaolea watoto wao wa kiume hawana tofauti na mama kondoo anealea mtoto simba kwa malezi ya kikondoo.
Ndio tunajua kwamba mnawapenda watoto wenu lakini muwe mnakumbuka hao watoto ni...
Mahakama imeeleza kuwa uamuzi wa kiasi halisi kinacholipwa lazima ufanywe kwa kuzingatia njia na hali ya maisha ya baba. Mawasilisho na viambatanisho vinadhihirisha kuwa kabla ya kifo cha marehemu alikuwa akitoa kiasi kilichoombwa kutokana na uwezo na hadhi yake. Marehemu alikuwa baba mzazi wa...
MALEZI BORA SULUHISHO LA YOTE.
Ni wazi kwamba sisi sote tumekuwa wa kwanza na wapenzi wa misemo ya kiswahili hususani "Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo", " samaki mkunje angali mbichi", " Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu". Je Hawa walimwengu ni kina nani haswa ambao watamfunza?, Je...
Uongozi ndiyo kiini cha mafanikio au anguko la jamii yeyote ile. Hakuna jamii, tasisi, kampuni hata taifa ambalo mafanikio yake au anguko lake halihusishwi na uongozi wake uliyopita au uliyopo sasa.
Wengi wetu tunakubalina na dhana hii, na ndiyo sababu tunakuwa wepesi kuwaanyooshea vidole vya...
Utangulizi
Uwajibikaji ni neno la Kiswahili linalotokana na neno 'wajibu' likiwa na maana ya jambo la lazima ambalo mtu au watu fulani kulifanya. Uwajibikaji wa malezi ya watoto katika familia, jamii na hata taifa zimandio hulea mabadiliko (manufaa au yasiyo na manufaa) katika jamii au taifa...
WAZAZI WAJIKITE KUJENGA MISINGI BORA YA YA MALEZI YA WATOTO WAO.
Kasi ya mabadiliko ya hali ya maisha imekuwa ikitengenisha wazazi na watoto wao hadi kufikia wazazi kukosa muda wa kutosha kukaa au hata kuishi na familia zao kwa muda mrefu katika Dunia ya sasa.
Katika Dunia ya sasa sio jambo la...
Huu ni wakati ambao mabadiliko mengi katika mwenendo wa maisha ya mtoto hujitokeza ambayo hutokana na homoni ambazo husababisha mabadiliko ya kimwili, kiakili, kihisia, na mahusiano yake kijamii pia.
Katika umri huu, watoto hufanya uamuzi wenyewe kuhusu marafiki, michezo wanayoipenda. hisia za...
Yaliyomo:
UTOTO NA UWAJIBIKAJI WA MZAZI KATIKA MALEZI YA MTOTO
MTOTO NA ELIMU
MTOTO NA JAMII
TABIA NA MATENDO
MTOTO NA MTAZAMO WA MAISHA
ATHARI ZA MALEZI DUNI
UTOTO NA UWAJIBIKAJI WA MZAZI KATIKA MALEZI YA MTOTO
Utoto hauepukiki lakini je watoto wengi wanafurahia utoto wao?
Hali ya...
Diamond Platnumz alizaliwa katika hospitali ya Amana iliyopo jijini Dar es Saalam tarehe 02 Oktoba 1989. Jina halisi alilopewa na wazazi wake ni Naseeb Abdul Juma. Akiwa na umri mdogo wazazi wake walitengana na alibaki akilelewa na mama yake mzazi aitwaye Sanura Kassim maarufu kama “Sandra”...
Malezi mengi ya watoto kwa sasa yamekua majukumu ya mama hili linachangiwa na sababu mbalimbali ikiwemo talaka, mimba za utoto, ubakaji,utelekezwaji pamoja na mtindo wa maisha.
Katika mada ya Leo tajikita kwenye malezi ya mama kama mtindo wa maisha.
Wanawake wengi wamekua wakichagua mtindo huu...
Ni ukweli usiosemwa!
Wazee wetu ambao tumekuwa tukiaminishwa kuwa ni visima vya hekima na busara, kwamba tuwasikilize na kujifunza kwao. Kiuhalisia hawana mchango wowote kwenye dunia ya leo ya sayansi na teknolojia.
Malezi yao hujikita kwenye kile wanachokiita maadili na mila, na kwa wachache...
Mwanaume huna muda na wanao, mkeo na watu wako. Umepata neema miaka 10 watoto 4.
Mkeo anawaangalia kwa mapenzi na kukueshimu hana out, dinner wala lunch na wanao hata akikuomba mtoke unasema una kazi nyingi.
Unakutana na wasichana kwenye kazi, semina na vikao nk unavuta unawekeza, out, safari...
"Kushindwa kuwapatia watoto mahitaji muhimu kama vile makuzi na malezi yenye kuzingatia maadili, na elimu bora ya awali tunahatarisha ustawi wa jamii ya kizazi kijacho
“Hapo ni kutengeneza Mafisadi, wapiga deal, wahuni wataendelea... Samaki hukunjwa angali mbichi," Dk. Richard Shukia - Mhadhiri...
Nimejiuliza sana, mama zetu ni wepesi sana kueleza mabaya ya baba zetu na kuyaanika wazi, kauli kama kipindi unaumwa mimi ndio nilikupeleka hospital baba yako alikuwa amelewa chakari, baba yako alikuwa akipata hela basi humuoni nyumbani n.k...
Kauli za namna hiyo zimekuwa nyingi sana katika...
Kununua na kutumia kondom unachangia uchumi, unadhibiti magonjwa na unalinda mimba zisizotarajiwa. Hakuna side effects kwenye via vya ndani vya uzazi na ni njia salama.
2. Watoto wangu Mnaotumia P2/ 72 hrs na nyingine nawapongeza kuchangia uchumi na kudhibiti mimba zisizotarajiwa. Ila amkwepi...
Habari wakuu wenzangu
Unakuta mtu yupo bize na smart phone kuliko malezi au kumjali mtoto, unakuta mtoto katundikiwa mziwa mama hajali kama mtoto ananyonya kupitia pua au mdomo ye ni bize na kuperuzi tu,
Jambo lililonikera ni moja tu, nimekutana na mama mmoja ni mnenee tako iloo yani shape...
Habarini wakuu,
Mimi si mwandishi mzuri lakini naomba tusaidiane katika hili.
Naomba nianze na visa kama viwili nilivyokutana navyo siku za karibuni
Wiki mbili zilizopita,
Wakati nipo mapumziko ya kimatembezi baada ya kuihudumia jamii yangu kwenye masuala ya kitabibu ndipo nilipo kutana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.