malezi

Malezi School is a private educational institution based in Nairobi, Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. The Assassin

    Tukubali tukatae, mtu kuwa na Tattoo ni kielelezo cha malezi mabovu

    Tukubali tukatae, ukiona mtu ana tattoo yoyote ujue ni matokeo ya malezi mabaya. Tattoo ni ishara ya mtu kutokujijali, kutojali afya wala thamani ya mwili wake na pia kutokutumia akili sawasawa. Ndio maana China kwa ajili ya kulinda kizazi cha sasa na kizazi cha baadae imepiga marufuku...
  2. Notorious thug

    Kwanini watoto wengi wanaua mama zao?

    Kumekua na ungezeko la watoto kuua mama zao wa kuwazaa hivi karibuni jambo linaloibua huzuni na hofu kwenye jamiii. Asilimia kubwa imekuwa wahanga ni kina mama zaidi ya kina baba nimewaza jambo hili kwa kina ndani ya siku mbili hizi kuna mambo nayohisi yanaweza kuchangia kwa kiasi kikubwa zaidi...
  3. Miss Zomboko

    Mbinu za malezi ziendane na hatua za ukuaji wa Mtoto

    Mbinu za malezi zilizoleta matokeo mazuri kwa mtoto wa miaka 13 zinaweza zisilete matokeo yanayotarajiwa kwa Mtoto wa miaka 7 kwa sababu ya hatua ya ukuaji wa watoto hao. Kuna umri unafika katika namna ya saikolojia ya mtoto huwa na kawaida ya kuuliza kwanini, “kwanini nioshe vyombo mimi na sio...
  4. J

    #COVID19 Covid-19 na malezi ya watoto: Mpongeze au mzawadie mtoto wako pindi atakapochukua tahadhari

    Katika kukuza tabia ya kuchukua tahadhari za Covid-19 kwa makundi yote katika jamii, watoto ni miongoni mwa kundi ambalo linahitaji umakini mkubwa katika kulichukulisha tahadhari. Wataalamu wanashauri wazazi au walezi kuwapongeza au kuwazawadia watoto wao pindi wanapopatia kuchukua tahadhari...
  5. Ophonso

    Ukisikiliza mahubiri ya hii video Kamanda Sirro alikuwa sahihi kabisa malezi ya Hamza

  6. Miss Zomboko

    Changamoto katika malezi ya mtoto kiziwi anapokuwa nyumbani na kwenye jamii

    Ripoti ya Deaf Women Included iliyochapishwa 2021 ilifanya utafiti na kugundua, Asilimia kubwa ya watoto wanaopatwa na changamoto ya uziwi mara nyingi huwa wahanga wa ukatili katika jamii kwa sababu wanaoamua kuwafanyia ukatili hujua hawawezi kusema. Inahitaji ufuatiliaji wa karibu kufahamu...
  7. M

    Niwatie moyo "single mothers"

    Miaka kadhaa iliopita dada yangu alizalishwa, na yule mwanaume alijibu jeuri sana wazazi walipomtafuta kumuuliza kuhusu kumpa mimba Yao, Kwa jeuri nyingi alisema amebeba kwa umalaya wake. Miaka Mingi imepita yule baba alienda alioa kwa harusi kubwa sana akabahatika watoto wawili na yule mkewe...
  8. K

    SoC01 Malezi bora kwa watoto ndani ya familia na taasisi za kielimu ni msingi bora katika kuwajenga vijana wenye maadili ,wachapakazi na waaminifu

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wengi wetu ni mashuhuda wa kushuka kwa maadili miongoni mwa vijana na watoto wa sasa .Vijana wengi wamekosa nidhamu si kutowaheshimu wakubwa bali hata nidhamu ya kazi imepungua sana kwenye jamii zetu. Watu wengi wamependekeza bodaboda kama...
  9. Matanga

    Chonde chonde mwanaume mwenzangu Usimuachie mkeo pesa chumbani

    MWACHIE MBELE YA WATOTO NA UMWAMBIE NA MATUMIZI YAKE, NA WATOTO WASIKIE USIJE KUISHI MAISHA YA UPWEKE UZEENI MWANAUME[emoji177] Unamwachia mkeo hela ya Chakula Chumbani, Mke Anatoka na Kapu anaenda kununua Chakula, Anapika, Anawaambia watoto, Njooni Wanangu Mle Nimewapikia Chakula Kitamu...
  10. Hermenegild sulle

    Walimu na ualimu: Jamii ina mchango mkubwa katika malezi na makuzi ya vijana wetu

    Elimu bora ni hazina ambayo wazazi wenye uelewa hujivunia wanaposhuhudia imewakomboa kupitia kwa watoto wao. Wazazi wa namna hii hutambua ili kufanikisha utume huu, wanajukumu la kuwa walimu wakwanza kwa kuonyesha mfano bora kupitia imani na maisha yao. Katika hali hii watoto wanakuwa ni kioo...
  11. Dr Restart

    Changamoto ya Malezi: Watoto kuharibu vitu

    Wasalaam Wakuu!. Watoto ni baraka kubwa sana na kila mzazi angelipenda kuwa na watoto ili kujenga familia yenye furaha na amani. Watoto ni faraja kubwa sana kwa wazazi lakini muda mwingine ni changamoto sana. Je, umewahi kukutana na changamoto ya watoto kuharibu mali na vitu vya thamani katika...
  12. Ushirombomoya

    SoC01 Ubepari ulivyochangia kushuka kwa malezi na anguko la uwajibikaji. Nini suluhisho?

    Habari! wanajukwaa, nimekuwa msomaji wa bandiko mbalimbali za wanajukwaa hili kwa kipindi kirefu hata kabla sijajiunga rasmi humu bandiko hizo zimeniongezea maarifa na kunihabarisha kwa kiasi kikubwa. Leo nami napenda nitoe mchango wangu kuhusu uhusiano kati ya ubepari na athari zake kwenye...
  13. Jade_

    SoC01 Uraibu wa Ngono

    Uraibu upo wa aina nyingi. Kuna uraibu wa pombe, sigara, madawa ya kulevya, na uraibu wa chakula. Leo nitajikita kwenye uraibu wa ngono. Tofauti na uraibu wa pombe, sigara na madawa ya kulevya ambazo hazimpati yeyote, (sio kila mtu atangukia kwenye raibu hizi) uraibu wa chakula na ngono ni...
  14. S

    SoC01 Njia na malezi bora kuelekea kutimia kwa ndoto za walio wengi

    Je, wangapi unawajua wametimiza ndoto zao '?, Na wewe kama wewe ulishiliki vipi kuzitimiza '? ,Na pia ni wangapi unawafaham hawajatimiza ndoto zao na wameshakata tamaa katika kutimia kwa ndoto hizo '?, Na ni wangapi mpaka leo bado wanapambana ili kufikia na kutimia kwa ndoto zao ,na wewe...
  15. S

    SoC01 Malezi bora kwa watoto hasa wa kike kwa Taifa bora la kesho na maendeleo

    Watoto wetu wa leo ndio taifa letu la kesho, Ikiwa tutawaandaa vyema tutatengeneza jamii na taifa bora pia lenye nguvu baadae na kufikia malengo kwa haraka zaidi . Tukitaka kufikia malengo na kuwa na taifa bora na lenye nguvu kwanza tunatakiwa kujenga misingi imara kwa watoto wa kike kwani: -...
  16. emmapetertz

    SoC01 Changamoto za Malezi ya Watoto na sababu za wababa kufa mapema. Je, wamama wanahusika?

    WABABA: CHANGAMOTO ZA MALEZI YA WATOTO & SABABU ZA KUFA MAPEMA. JE, WAMAMA WANAHUSIKA?!! Wanaume ee, Mnajionaje na hali wapambanaji wenzangu?!! Poleni na hongereni kwa siku nyingine tena. Ni matumaini yangu mko poa sana, mkiendelea na majukumu ya kila siku ya hapa na pale katika kuhakikisha...
  17. safuher

    SoC01 Njia sahihi za kulea watoto ili waje kuwa viongozi wema na wenye kutii sheria za nchi

    Habari yako ndugu msomaji. Katika mambo yanayolalamikiwa na jamii yetu hasa zama hizi basi ni kuwa na viongozi ambao hawana maadili na wala hawafuati sheria mbalimbali za nchi vile zinavyotaka. Jambo hili sio tatizo dogo kama tunavyolifikiria,na wala sio mazao ya malezi ya mwaka mmoja au...
  18. DustBin

    SoC01 Dunia ya Sasa na Malezi ya Watoto

    Dunia ya sasa ni tofauti kabisa na ile ya zamani, simaanishi hizi ni dunia mbili hapana! Dunia ni ile ile isipokua mambo yanayojiri duniani hubadilika, kama ambavyo mazingira au sura ya dunia yalivyobadilika. Mabadiliko hayo ya dunia yameathiri sana maisha ya mwanadamu kwa kiasi kikubwa katika...
  19. BLACK MOVEMENT

    Ni ipi Logic ya kumpeleka mtoto wa miaka 5 Bording School?

    Leo kama kawaida ndio wanafunzi wanajiandaa kurudi shule kwa ajili ya kesho kuanza Masomo. Sasa kwenye pitapita zangu nikakutana na vitoto nadhani vina miaka Minne hadi Mitano viko na wazazi wao na vimevalishwa uniform. Nadhani ile ndo point ya wao kukutania ili watoto wabebwe kwenda shule...
  20. A

    Nimejaribu kumwacha mtoto wangu aokote kitu ili ale nijaribu kumzuia, kila akiokota anakuwa fasta zaidi yangu

    Habar wadau Ile RAHA ya kuwa na mtoto ninayo kwa asilimia Mia mimi kama Baba sababu ya kuwa Rafiki na Mwanangu imepelekea nimebuni michezo Mingi ya kucheza nae mpaka mwezi Jana nilipo gundua kuwa watoto Mikono yao ina spidi si ya kawaida pindi inapo elekea Mdomoni. Kama wote tunavyo jua kua...
Back
Top Bottom