Jamii ya sasa imeachia mitandao ya kijamii kulea vijana ni wakati Sasa elimu itolewe juu ya mabadiliko haya ya sayansi na kukua kwa teknologia, vijana wengi wa vyuo vikuu wanatumia mitandao pasipo kujua ni faida zipi na hasara ndani yake.
Ni muda Sasa elimu ielekezwe kwa vijana tukizingatia ya...
Mwandishi maarufu wa vitabu, Robert T. Kiyosaki, kaandika kuwa mahali sahihi pa somo la mafanikio kufundishwa ni nyumbani. Kwa msingi huo, makuzi ya mtoto yatakuja kumwathiri si yeye peke yake tu, bali pia familia yake, Jamii yake na Taifa lake kwa ujumla.
Je! Malezi yetu ya Kitanzania...
Malezi ni jambo ambapo Kila mtu/mwanajimii anapaswa kulitimiza. Malezi pia hutafsiria kwa namna tofauti kulingana na mtazamo wa wahusika, ngazi za elemu na pia aina za kazi au kipato hivyo kutupatia aina za malezi ambazo ni kulingana na maisha yetu na utamaduni.
Mara nyingi tumekua na kawaida...
UTANGULIZI.
Licha ya jitihada mbalimbali zinazofanywa na serikali, wazazi, jamii, Asasi za kiraia, wadau wa Elimu, na taasisi za kidini katika kuhakikisha suala la malezi linakuwa jukumu la kila mtu katika jamii, suala hili la malezi ya watoto bado limekuwa na changamoto kubwa sana kutokana na...
Hisia za mtoto ni sehemu muhimu ya maendeleo yake ya kijamii, kiakili, na kimwili. Ingawa uwezo wa kueleza hisia unaweza kuwa mdogo katika hatua za awali za maisha ya mtoto, wanapokuWa wanakua, wanapata uwezo wa kutambua na kueleza hisia zao.
Katika miezi ya mapema ya maisha, watoto wanaweza...
Mahakama imeeleza kuwa uamuzi wa kiasi halisi kinacholipwa lazima ufanywe kwa kuzingatia njia na hali ya maisha ya baba. Mawasilisho na viambatanisho vinadhihirisha kuwa kabla ya kifo cha marehemu alikuwa akitoa kiasi kilichoombwa kutokana na uwezo na hadhi yake. Marehemu alikuwa baba mzazi wa...
WAZAZI WAJIKITE KUJENGA MISINGI BORA YA YA MALEZI YA WATOTO WAO.
Kasi ya mabadiliko ya hali ya maisha imekuwa ikitengenisha wazazi na watoto wao hadi kufikia wazazi kukosa muda wa kutosha kukaa au hata kuishi na familia zao kwa muda mrefu katika Dunia ya sasa.
Katika Dunia ya sasa sio jambo la...
Huu ni wakati ambao mabadiliko mengi katika mwenendo wa maisha ya mtoto hujitokeza ambayo hutokana na homoni ambazo husababisha mabadiliko ya kimwili, kiakili, kihisia, na mahusiano yake kijamii pia.
Katika umri huu, watoto hufanya uamuzi wenyewe kuhusu marafiki, michezo wanayoipenda. hisia za...
MAMA YANGU NI MWANAMKE JASIRI
Naitwa Moza Nilizaliwa Migato iliyokuwa wilaya ya Bariadi Mkoa wa Shinyanga, Ambayo Hivi Sasa Ipo wilaya ya Itilima Mkoa wa simiyu. Mimi Ni mtoto wa sita (6) Kati ya watoto (12) aliobahatika kupata mama yangu, Ambapo Kati ya hao wanane (8) ndio wako hai huku wanne...
Yaliyomo:
UTOTO NA UWAJIBIKAJI WA MZAZI KATIKA MALEZI YA MTOTO
MTOTO NA ELIMU
MTOTO NA JAMII
TABIA NA MATENDO
MTOTO NA MTAZAMO WA MAISHA
ATHARI ZA MALEZI DUNI
UTOTO NA UWAJIBIKAJI WA MZAZI KATIKA MALEZI YA MTOTO
Utoto hauepukiki lakini je watoto wengi wanafurahia utoto wao?
Hali ya...
Watoto wanapokuwa wadogo wanatakiwa kuwa na uangalizi wa karibu, uwe wa mzazi au mlezi.
Hii inatokana na watoto hao, kutokuwa na utambuzi wa baadhi ya vitu, kama vile: wadudu, maji taka, mifugo, sumu n.k
Kutokuwasimamia watoto hawa, kunaweza kusababisha madhara, kama vile; kunywa maji machafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.