Watoto wanapokuwa wadogo wanatakiwa kuwa na uangalizi wa karibu, uwe wa mzazi au mlezi.
Hii inatokana na watoto hao, kutokuwa na utambuzi wa baadhi ya vitu, kama vile: wadudu, maji taka, mifugo, sumu n.k
Kutokuwasimamia watoto hawa, kunaweza kusababisha madhara, kama vile; kunywa maji machafu...