Jeshi nchini Mali limesema wanajeshi wake wanane wameuawa na watano hawajulikani walipo baada ya kushambuliwa na waasi katika eneo la Kaskazini-Mashariki la Archam.
Mapigano hayo yanakuja siku chache baada ya Ufaransa na washirika wake kusema kuwa wanaondoa vikosi vyao kutoka Mali.
Taarifa ya...
Dunia hii amani tuitafute wapi haswa. Afrika bado tunauana kwa misingi ya dini za kuletwa.
An Islamic State-linked group killed around 40 civilians this week in a northern region of Mali that has been plagued by clashes between rival jihadist groups, local sources told AFP on Friday.
"There...
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amesema Vikosi vya Nchi hiyo vitaondoka Mali baada ya takriban miaka 10 ya kushirikiana na Wanajeshi wa Taifa hilo
Inaelezwa uamuzi huo umekuja baada ya kuvunjika kwa uhusiano wa kidiplomasia, huku kukiwa na ongezeko la uhasama kutoka kwa Utawala mpya wa...
Utawala wa kijeshi wa Mali unaobanwa na vikwazo vya uchumi umeshindwa kulipa madeni yake katika soko la fedha la ukanda wa Afrika Magharibi.
Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa maafisa wa fedha wa Afrika Magharibi.
Tangu mwezi wa Januari, wakala unaoshughulikia madeni wa ukanda huo, Umoa-Titres...
Huyu mwanamama RestutaBura ni mpambanaji kwelikweli, pamoja na mambo mengine yanayomkuta bado anasimama kama mmoja wa wanawake hodari na watafutaji kila wapoona fursa. Rest anafanya biashara ya bar, vipodozi na urembo
Rest amekua akifanya biashara kwenye moja ya eneo linalomilikiwa na baba...
Mwenyekiti wa CHADEMA anasadikiwa kuwa na ukwasi mwingi tu na kumiliki biashara kibao hapa nchini na hata huko falme za kiarabu hasa Dubai.
Sasa kwa mali na ukwasi alionao si ndio ilikuwa fursa ya kusimamaia malipoi ya kesi inayomkabili?
Mbona mabakuli yameanza kupita kidijitali ili kulipia...
Mali imemfukuza balozi wa Ufaransa kuhusiana na "matamshi ya kiuadui" yaliotolewa na maafisa wa mkoloni wake wa zamani, katika ongezeko jipya la mzozo kufuatia mapinduzi ya kijeshi. Uhusiana wa mataifa hayo umedorora.
"Serikali ya Jamhuri ya Mali inaufahamisha umma wa kitaifa na kimataifa...
Nyumba ya mkazi mmoja wa mtwa yapigwa Radi na Mali zote kuteketea kwa moto.
Habari zaidi
Nyumba na mali zote za mkazi wa kijiji cha Tengulengu kata ya mkwendu wilayani Newala mkoani Mtwara bwana Hassan Namtema.
Vimeteketea kwa kupigwa na Radi. Pia watu wanne kati ya saba walio kuwa kwenye...
Denmark imesema Alhamisi kwamba itaanza kuondoa vikosi vyake nchini Mali baada ya utawala wa kijeshi uliofanya mapinduzi nchini humo mapema wiki hii kuitisha kuondoka kwao likionekana kuwa pigo kwa Ufransa ambayo inaongoza operesheni ya pamoja dhidi wanamgambo wa kiislamu nchini humo.
Kwa...
Ukweli ni kwamba Mukoko ni mchezaji mgumu na anayejituma zaidi uwanjani. Tatizo ni kwamba umiliki wake wa mpira hauko vizuri. Mguso wake wa kwanza wa mpira sio mzuri kulinganisha na Aucho na Bangala. Mbaya zaidi ni kwamba Mauya ni mzuri zaidi katika umiliki wa mpira kuliko Mukoko. Tatizo la...
Picha: Hayati Ibrahim Boubacar Keita
Rais wa Mali aliyetolewa kwa nguvu Madarakani Ibrahim Boubacar Keita (76) amefariki dunia katika mji mkuu wa nchi hiyo Bamako.
Chanzo cha kifo chake hakijatajwa ingawa miaka miwili iliyopita alipatwa na shinikizo la moyo.
Rais huyo aliliongoza Mali kwa...
Kumbe ukitaka uchukiwe na wanaCcm basi we ziba mianya yao ya kuiba mali ya umma.
Hayati JPM alichukiwa na wanaCcm japokuwa walicheka nae na kumzunguka hio hii ni sababu aliwabana sana juu ya rushwa na ufisadi.
Sasa wanatoa michongo namna ya kupiga madili.
Naona tangu amefariki wanachekelea...
Ofisi nyingi mikoani zimefungwa huku mali nyingi za chama zikiwa hazijulikani zilipo. Tuunde tume ili kujua mali za chama zilipo. Nyingi ya mali za chama zilipotea kuanzia mwaka 2015 baada ya uchaguzi mkuu.
Sio kwamba watu hawaoni wanaona kabisa kuwa mali nyingi zimepotea hovyo hovyo.
Ukweli ndio huu, mpaka tuje tufanye uchaguzi mkuu mwaka 2025 tutakuwa tumeshaumizwa sana. Maana kuna dalili za safu ya kulipiga na kulimaza kabisa hili taifa.
Sasa kuna uwezekano wa kutumia bunge au nguvu ya umma wakaachia ngazi? Maana tusikubali kuibiwa na kufanywa watwana.
Serikali ya Marekani imeanza rasmi kutekeleza agizo la Rais Joe Biden la kuziondowa Ethiopia, Mali na Guinea kutoka makubaliano ya kibiashara kati ya taifa hilo na Afrika kutokana na uvunjwaji wa haki za binaadamu.M
Marekanihivi leo imeziondosha Ethiopia, Mali na Guinea kutoka kwenye programu...
Serikali ya mpito nchini Mali imependekeza kwa majirani zake wa Afrika Magharibi kuahirishwa kwa uchaguzi kwa miaka mitano, baada ya mapinduzi ya kijeshi ya mwaka 2020.
Waziri wa Mambo ya Nje Abdoulaye Diop amesema haya katika maoni yaliyotangazwa kupitia kituo kinachoendeshwa na serikali...
Madini yalikuwa yanatoroshwa hovyo, nchi ya Kenya ndio ilikuwa kitovu cha uuzwaji wa dhahabu na madini mengi toka Tanzania.
Pesa za umma zilikuwa zinaliwa hovyo na kuingia kwenye mifuko ya mafisadi, hayati JPM akasema kila pesa ya umma iingie mfuko wa hazina.
Kwa hakika ni mengi alitufumbua na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.