Ndugu zangu, hapa nilipo nabubujikwa na machozi ya furaha baada ya mjomba wangu kufanikiwa kukomboa kikoba cha ukoo kilichokuwa kwenye hatihati.
Wanachama wa kikoba tafadhali malizieni ada zenu za uanachama ili wajanja tuje kuzisasambua hapa machame.
Christmass hii itakuwa bomba sana.
UKIMPATA WA HIVI HUYO NI MALI SAFI
KAKA ANGU MWEMA, ukimpata mwanamke anayejimudu, aliyefanikiwa kimaisha au ana muonekano mzuri na asiwe mpumbavu wa huo uzuri wake au mafanikio yake hayo basi huyo ni MALI SAFI ndugu yangu usiipoteze kabisa
Mke mwema ni yule anayeweza kuvitawala vitu ambavyo...
Huwa inatokea mmiliki wa biasahara hasa baba anapotangulia mbele ya haki haya hutokea,
Mke hujimilikisha mali zote na pengine yeye kahusika kwenye kifo kwa tamaa ya mali
kuna mtoto hasa wa kwanza hupenda kujimilikisha biashara yote akiamini ni haki yake
Wengine wanaolewa au kuoa majambazi...
Kamishna wa Maadili, Jaji (Stahiki) Sivangilwa Mwangesi amewakumbusha na kuwataka viongozi wote wa umma wanaotajwa kwa mujibu wa Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma, kuwasilisha tamko la rasilimali na madeni yao kabla ya Desemba 31, 2024.
Amesema hayo leo katika taarifa yake kwa umma...
Kutokana na maneno aliyoyasema mbowe akiwa nawaandishi wa habari nyumbani kwake Jana tarehe 18.12.2024 imejidhihirisha kuwa CHADEMA NI Mali ya mbowe maana kwa kinywa chake na nukuu" CHAMA CHANGU NIKIONA KINZAMA SHIMONI NITAINGIA MZIGONI "
Kwa maneno hayo inaonesha wazi kabisa chama hicho NI Mali...
Maono ya taifa ni dira inayofafanua malengo makuu ya nchi kwa muda mrefu. Ni muhimu sana maono haya yatoke kwa wananchi wenyewe, kwani wao ndio wahusika wakuu na walengwa wa maendeleo.
Makala hii inajadili wa ufupi tu sababu za kwa nini wananchi wa hali ya chini wanapaswa kuwa mstari wa mbele...
Salamu kwa wote.
Kutokana na kuporomoka kwa dollar, wafanyabiashara ya utalii wamejikuta wakipata hasara kubwa kutokana na exchange rate ya Tanapa kubaki kuwa 2609 Tzs huku thamani ya dollar sokoni ni 2300$.
Pamoja na serikali kusisitiza matumizi ya shillingi bado kwenye biashara ya utalii...
Kama umepambana na una Mali nyingi usioe.
Tafuta mwanamke uwe nae kama mpenzi tu.
Jenga nyumba Sehemu na umueleze huyo mwanamke kua umempangishia.
Umiliki wa hiyo nyumba hata kama uko kwa jina lako tafuta ndugu yako, asajili Taarifa za umeme kwa jina lake.
Inamaana hata huyo mwanamke...
Chekechea - miaka 2
Msingi - miaka 7
Olevel - miaka 4
Form 5 / Dip - miaka 2
Degree - Miaka 4
kujitolea kupata ujuzi - miaka 3
Mtu kasota miaka kibao kajiwekeza then kapata ajira yake au kajiajiri kwa taaluma aliyosomea, kaanza kufaidi matunda yake ya uwekezaji alioufanya tangu chekechea hadi...
Ni kwa nini duniani kote inajulikana kuwa Bara la Afrika ni sehemu ya kwenda kuiba au kuchukua vitu pasipo na wenyeji wake kuonyesha kujitetea?
Hii hali inazidi kuwa kubwa kadri siku zinavyosonga. Tulifikiri uhuru utaondoa hili, lakini wapi.
Tulifikiri Elimu na teknolojia vitaondoa hili...
Baada ya utawala wa Assad kuondolewa, wananchi wa Syria wamevamia ubalozi wa Iran mjini Damascus na kuharibu mali ikiwemo Samani na komputa. Je mahusiano kati ya Iran na Syria yanaendelea Kama zamani au watakuwa maadui wakudumu.
Source: Aljazeera
Mnamo Disemba 2 2024 , serikali ya kijeshi ya Mali inayoongozwa na Jenerali Assimi Goita ilitoa hati ya kukamatwa kwa Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa kampuni ya Barrick Bwana Mark Bristow.
Mtendaji Mkuu huyo anatuhumiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo utakatishaji wa fedha pamoja na uvunjaji wa...
Baadhi ya wakazi wa Dodoma wamepata hasara na usumbufu baada ya mvua kubwa kunyesha kwenye maeneo yao na kisha maji kuingia ndani na kuharibu mali mbalimbali.
Soma Pia: TMA yatangaza mvua za siku tatu mfululizo mikoa minane, kuanza leo Disemba 3
Katika jamii yetu, ni kawaida kwa wanaume kuwekeza katika mali na kuhifadhi fedha zao. Hata hivyo, wengi hujikuta katika mawimbi ya maamuzi magumu kuhusu ni nani anapaswa kuwa mshiriki katika mali hizo. Kwa baadhi ya watu, chaguo lao ni kuweka mali zao na fedha zao kwenye jina la mama zao badala...
Wakuu wa Majeshi kutoka nchi za Niger, Mali na Burkina Faso zinazounda umoja wa nchi za Sahel ( AES ) wamekutana na kufanya kikao nchini Niger jana tarehe 3 Disemba 2024.
Wakuu hao wa majeshi walifanya tathmini ya mwenendo wa mapamabano dhidi ya magaidi wanaozisumbua nchi zote tatú.
Baada ya...
Umaskini unachosa sana, umaskini unadhalilisha sana, umaskini ni wa kuichukia na kuikimbia, umaskini haufai hata kidogo, kwenye maisha kuna walio bahatika kushika pesa chini ya miaka 30, lakini kwa mifumo yetu ya elimu ya kibongo.
Kama hujarithi, hutokei familia bora ni ngumu sana kuwa na...
Jeshi la Mali limefanikiwa kumuua kiongozi wa juu wa kundi la kigaidi linalowashambulia raia katika eneo la kaskazini la nchi huyo.
Katika taarifa iliyotolewa kupitia televisheni ya taifa, jeshi la Mali limesema lilifanikiwa kumuua Fahad Ag Al Mahmoud pamoja na viongozi wengine muhimu saba...
MSG ndo anaandaliwa kushika jimbo ambalo ni Zanzibar’s ya wamasaai, kulinda Maslahi za familia ya mkuu wa hekaya alostaafu,
Itakuwa Mwaka 2025 wala si now
Ikumbukwe mzee wa kuambiwa changanya zako ndo mmiliki halali wa Mali zinazosemekana za MSG!
Vikao 10 sasa !!!
Britanicca
Maafisa wanne wa juu wa kampuni ya Barrick wamekamatwa na serikali ya nchini Mali kwa tuhuma za kampuni hiyo kutokulipa kodi stahiki.
Maafisa hao wanashikiliwa tangu Novemba 26 mwaka 2024 na watapelekwa mahakamani iwapo serikali ya kijeshi ya Mali na Kampuni ya uchimbaji dhahabu ya Barrick...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.