malisa

Malisa Zini (March 5, 1921 – February 26, 1985) was an Argentine actress. She starred in the 1950 film Arroz con leche, among others such as Cumbres de hidalguía, under director Carlos Schlieper. s

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Msajili wa vyama vya siasa: Ya Mpina sawa, uko sahihi, umetenda haki. Je ya Mama na Godfrey Malisa yako sawawa/sahihi?

    Nakupongeza kwa kutenda haki, kama amechaguliwa kinyume na Katiba ya ACT, mtengue kama ulivyofanya. Lakini mbona scenario ya Mpina ni sawa na ya Samia? why double standards Ninaomba jibu ya dokezo langu hapo juu.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Khamis Mgeja ashauri hukumu ya Malisa aliyofungua kupinga Rais Samia kugombea iwe fundisho kwa CCM

    SIKU chache baada ya Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma kuifuta kesi ya Kikatiba ya Kupinga uteuzi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan kugombea urais Oktoba 29 2025, mmoja wa makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ameibuka na kutaka kesi hiyo iwe fundisho kwa wana CCM wengine. Kada huyo wa CCM, Khamis Mgeja...
  3. JamiiForums Tanzania Kushindwa kwa Mawakili wa CCM kujibu hoja za Dkt. Malisa na kukimbilia kuweka mapingamizi dhidi ya Utaratibu ni muendelezo wa Uhuni

    Watanzania walitegemea kuona Hawa Wahuni wakijitutumua kujibu Hoja za Dkt Malissa . Hoja ni Nzito na zamoto , Katika Utawala wa Sheria ulio huru , TUKIO LA SAMIA kujipitisha lingefutiliwa mbali na kuamuriwa Mchakato kuanza Upya. SAmia na CCM yake WAMEONA waje na Mbinu ya Pingamizi dhidi ya...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Malisa: Mahakama kutoa uamuzi mapingamizi ya CCM Agosti 22

    DODOMA. Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma itatoa uamuzi wa mapingamizi yaliyowekwa na CCM dhidi ya Mchungaji Godfrey Malisa anayepinga uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama hicho. Mchungaji Malisa aliyefukuzwa uanachama Februari 10 mwaka huu...
  5. JamiiForums Tanzania Inasemekana Wahuni wamewatishia Majaji kesi ya Dkt Malisa dhidi ya CCM ya Genge la Samia mpaka Muda huu 14/8/2025 ni Kimya !.

    Wakuu mnakumbuka ilikua ni Leo Majaji kuamua Suala la Samia kujiteua kua Mgombea ?. Majaji wametishiwa na wametishika
  6. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuikabili Sheria ya kulinda mashahidi

    Baada ya Mahakama Kuu ya Masijala ya Dar es Salaam kukubali ombi la upande wa Jamhuri la kuficha majina na taarifa nyingine za mashahidi raia wa upande wa Mashitaka katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, chama hicho kimesema kinaipinga Sheria hiyo ya iliyopitishwa...
  7. JamiiForums Tanzania Jaji Mutungi : Awamu hii Mahakama yenyewe imekubali Shauri la Mch Dkt Malisa dhizi ya CCM, hili tu la kukubali kusikiliza Kesi, Haliwatii Aibu?

    Tuachilie Mbali Hukumu itakayotolewa ambayo huenda Ikatolewa Kwa Maelekezo!! Hili tu la Jopo la Majaji Watatu kuona Mch Dkt Malisa ana Hoja, Je halitoshi Kwa nyie Majaji wasajili wa VYAMA vya SIASA kuishurutisha CCM kama ambavyo mnafanya Kwa CHADEMA??. NYIE WAZEE HAMNA AIBU WALA HAYA USONI...
  8. JamiiForums Tanzania Kesi ya Dr Malisa Vs CCM isikilizwe kwa njia ya mtandao pia

    Nashauri kesi hii kubwa nayo isikilizwe kwa njia ya mtandao. Pia ikibidi CCM isitishiwe ruzuku na izuiwe kufanya shughuli zake hadi kesi ya msingi iishe ili Mgombea anayelalamikiwa asije akavuruga ushahidi
  9. JamiiForums Tanzania Kazi anayoifanya Malisa Gj ya kurudisha tabasamu kwa jamii , ni kazi kubwa sana ambayo hakuna waziri wala Mbunge ambaye ameweza kuifanya.!.

    Vijana Kama hawa ni hazina kwa TAIFA , kwakuwa ukihesabu watu waliosaidiwa kupitia kwa Malisa GJ hawahesabiki. Huyu ni zaidi ya Mbunge na waziri
  10. JamiiForums Tanzania Kwa madai ya Malisa: Mwili wa Dkt. Hashim Titto aliyepotea tangu 22 April, 2025 umepatikana katika hospitali ya Polisi Kilwa road

    Tarehe 26 May kupitia ukurasa huu, nilitoa taarifa ya kupotea kwa Dr.Hashim Titto, daktari wa hospitali ya rufaa ya kanda Mtwara, na Mwanafunzi wa udaktari bingwa wa upasuaji (Resident MMED Surgery) katika chuo kikuu cha afya na sayansi Shirikishi Muhimbili, ambaye alipotea tangu tarehe 22 April...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Jamhuri waomba kuwaficha mashahidi wao kesi ya kina Boni Yai na Malisa

    Kesi ya Jinai nambari 11805/2024 Jamhuri dhidi ya Boniface Jacob na Godlisten Malisa imeendelea leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Ifuatayo ni sehemu ya kilichotokea mahakamani leo. ____ JAMHURI: Mheshimiwa, ikupendeze, naitwa Wakili wa Serikali Mwandamizi, Clemence Kato, nikishirikiana...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mabishano kati ya Wakili Kibatala na shahidi, kesi ya Boniface Jacob na Malisa

    Kesi ya jinai nambari 11805 Jamhuri dhidi ya Boniface Jacob na Godlisten Malisa ilisikilizwa juzi, Jumanne, Aprili 12, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Ifuatayo ni sehemu ya cross examination kati ya Wakili Msomi Peter Kibatala na Shahidi wa Jamhuri. KIBATALA: Shahidi, ikumbushe...
  13. JamiiForums Tanzania Jana pale Kisutu iliunguruma kesi ya uchochezi namba 11805/2024 Jamhuri dhidi ya Malisa na Boniyai

    Jana pale Kisutu iliunguruma kesi ya uchochezi namba 11805/2024 Jamhuri dhidi ya Malisa na Boniyai. Jamhuri iliwakilishwa na Mawakili Clemence Kato na Cathbert Mbilinyi. Upande wa utetezi uliwakilishwa na Mawakili Peter Kibatala, Hakima Mwasipu, Dickson Matata, Michael Lugina, Josephat Msanga na...
  14. JamiiForums Tanzania Audio: Case of Incitement – Republic v. Boniface Jacob (Boniyai) and Godlisten Malisa

    Case of Incitement – Republic v. Boniface Jacob (Boniyai) and Godlisten Malisa Lead Section The case of incitement involving former Ubungo Mayor Boniface Jacob (Boniyai) and human rights advocate Godlisten Malisa represents a high-profile legal proceeding in Tanzania. The defendants face...
  15. JamiiForums Tanzania Makalla: Malisa amepita vyama tofauti vya siasa ndio akaja CCM, bado hajaelewa misingi ya CCM

    Malisa amepita vyama tofauti vya siasa ndio akaja CCM kwaiyo bado hajaelewa misingi ya CCM kwaiyo huko aliko akajifunze misingi ya chama cha mapinduzi – Makalla. Chanzo: Wasafi FM
  16. JamiiForums Tanzania One on one Interview: Mch. Godfrey Malisa (anayesemekana kufukuzwa CCM) akifungukuka. Asema wamevunja katiba, hawafai kuwa viongozi tena..!!

    https://youtu.be/-NdDsArLVlU?si=eH35yrxDVCmdL3QM ➡️Huyu mzee anayesemekana kuwa amefukuzwa uanachama CCM, ni wazi kuwa yuko so determined kuhakikisha kuwa mchakato wa kumpitisha Bi Samia Suluhu Hassan na Dr Emmanuel Nchimbi kuwa wagombea urais huko CCM unarudiwa kwa kufuata taratibu na katiba...
  17. JamiiForums Tanzania Kumfukuza Malisa, CCM imepuliza ili Iwake, Hoja hujibiwa kwa Hoja , watu Sasa watazidi kuhoji kulikoni?

    Kuna vitu maamuzi yake huhitaji Hoja, yaan anasimama MTU makini anaelezea Kwa hoja !. Sasa kumfukuza MTU namna hii, maana yake ni kuifanya habari iwe kuuuuuubwa , embu fikiria vyombo habari vireport " CCM yamfukuza aliyepinga kuvunjwa Kwa Katiba wakati wa zoezi za kuchagua Mgombea Urais'...
  18. JamiiForums Tanzania UHAI wa Mchungaji Malisa (Moja ya wanaopinga kilichotokea DODOMA) Ulindwe , bado tuko kwenye Majonzi ya Mzee Kibao !!.

    Niliuliza swali hapa, Hivi Dola na CCM Ina uhakika kua Wagombea wa mkutano Mkuu , wanauzika? Hawajaingizwa kwenye mtego wa matumizi makubwa ya nguvu?. Kilichotokea DODOMA ni mshangao , hamna lugha ya kufaa yakutosha kuelezea !! Ni Kikundi cha watu wachache sana ,kilichofanya Siri kubwa sana...
  19. JamiiForums Tanzania Kifo cha Hakimu chasogeza mbele kesi ya Boni Yai, Malisa

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga Januari 15, 2025 kuanza kusikiliza ushahidi katika kesi ya kuchapisha taarifa za uongo kwa lengo la kupotosha umma, inayomkabili meya wa zamani wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob maarufu Boni Yai. Mshtakiwa mwingine ni katika kesi hiyo ya jinai namba...
  20. JamiiForums Tanzania Uchapakazi na uteuzi wa Samia kwa Gerson Msigwa wawakuna Yericko Nyerere na Malisa, wamwaga pongezi

    Samia ni kama maji, usipoyanywa, utayaoga. Vijana hawa ambao usoni ni wapinzani lakini kwa macho ya rohoni ni CCM lialia wamemwaga pongezi kedekede zilizojaa mazezele (mafuta mafuta).
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…