Ameshatoa uamuzi wa mgombea Kwa chama chetu pendwa fisiemu?Nakupongeza kwa kutenda haki, kama amechaguliwa kinyume na Katiba ya ACT, mtengue kama ulivyofanya.
Lakini mbona scenario ya Mpina ni sawa na ya Samia? why double standards
Ninaomba jibu ya dokezo langu hapo juu.
bado........mbona hii imepigwa faster fasterAmeshatoa uamuzi wa mgombea Kwa chama chetu pendwa fisiemu?