Salam sana, naandika hapa nikiwa sina ujuzi wowote wa kiuandishi, kwenye makosa mtanisamehe. Ninachotaka kuelezea hapa na kuomba ushauri wenu ni experience yangu binafsi ambayo nadhani sijapata mtu sahihi bado wa kuongea nae vizuri akanielewa.
Mimi ni kijana fulani wa makamo, katika miaka ya...