Hii kampeni feki kabla ya Uchaguzi iliyopewa jina la ''Mama Hana Deni'' imekaa kimkakati kuisaidia CCM ambayo ndio inaongoza Serikali kuweza kuonesha miradi mbalimbali ambayo inatekelezwa kwa kodi za wananchi. Sasa hii naona Baba Levo kaamua kuichukua akishirikiana na Online TVs nchini...