Jamani kuolewa raha sana ila huyu mtu akianza maneno umekufa.
1. Jiko lake
2. Mume wako (mtoto ni wake) Leo amekuja mie nawatoto tunawaza kufunga vyumba vyetu nakuhamia kwa mama yangu abaki kwa mtoto wake mtu ni gubu.
Kerooo kama ulimzaa ukamtelekeza stendi au sokoni. Maneno hayaishi hadi...
Rafiki yangu alikwenda kusaidia nyumbani kwa mtoto wake wa kiume. Hawakuwa na msichana wa kazi hivyo mtoto wake ambae ndiye mume alimuomba aende mjini kwa muda.
Ameishi miezi mitatu, mama mke wa mwanae ameamua kuhamia hotelini na kumwambia mume wake, hataridi nyumbani mpaka mama yake awe...
Wakuu
Huwa sipendi kuficha
Kwenye ndoa zetu hizi mama mkwe kumpenda mkwewe asilimia mia ni kitu ambacho hakiwezekani. Huwa wanawapenda ki-uongo tu na ki-nje nje. Sababu kubwa ni kuwa kutokana na upendo wa mama kwa mwanae huona Kama mtoto wake anapoenda kuoa inamaana yeye (mama) ni kama...
Kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa kuwa na baridi kiasi kipindi hiki ambapo pia nipo likizo, najikuta muda mwingi nikiwa chumbani, tena kitandani na wife tukishiriki tendo takatifu la ndoa.
Mke wangu ni miongoni mwa wale wanawake ambao wakifikishwa kileleni Hutoa sauti za mahaba na vilio...
Salaam,
Ukiwa mwanaume mwenye lengo la kuanzisha familia na mwanamke uliemchagua, kisha ukajua shemeji yako mtarajiwa wa kike na mamamkwe wanafanya hila ili ukishampata mwanawao wakuteke uwe KONDOO WAO.
Kuwafanyia kila watakalolitaka ulifanye bila kujali uwezo wako au mtazamo wako. Katika HILA...
Nimetafakari Sana Mahusiano ya watu tajwa hapo juu, Yan kabla ya kijana kuoa na baada ya kijana kuoa.
Katika uchunguzi wangu mdogo familia nyingi kabla ya kijana kuoa zinakuwaga na utulivu amani na upendo baina ya kijana, Mama wa kijana na (ma)dada wa Kijana.
Lakini baada ya kijana kuoa na...
Habari zenu wapendwa?
Mwenzenu na matatizo sielewi nichukue uamuzi gani naombeni mnishauri wapendwa, nilianza mahusiano na mkaka wa kimakuwa toka 2016 kiukweli ananipenda sana na Mimi nampenda na Mungu ametujalia mwaka Jana mwezi wa 12 kapeleka mahari kwetu akanivalisha na Pete ya uchumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.