mama samia

Maggie Gobran or Mama Maggie, a Coptic Orthodox, is the founder and CEO of the non-profit charity Stephen's Children in Cairo, Egypt. She was also professor of computer science at the American University in Cairo, is married and has a son and a daughter. She was nominated for the 2012 Nobel Peace Prize.

View More On Wikipedia.org
  1. 5

    Kauli ya Rais Samia "Ukinizingua Nitakuzingua" Je kwa yaliyotokea hivi karibuni Rais amepata Heshima?

    Wadau habari za mchana huu., Nimeona nije na hii kauli ya Mama Samia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba "Ukinizingua nitakuzingua" na kile kilichotokea hivi karibuni je mama alikuwa anamaanisha ile kauli yake., nakumbuka siku aliposema pale bungeni ukumbi wa bunge walicheka saana...
  2. L

    Chonde chonde Rais Samia mkumbuke Mwijaku katika uteuzi

    Mh.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Naomba umteue mtangazaji wa Clouds FM katika cheo cha ukuu wa wilaya kwani kijana huyu ni mzalendo wa hali ya juu. Kuchukua fomu ya kugombea cheo cha Spika hivi leo kumeonesha jinsi gani Mwijaku ana nia ya kuwatumikia Watanzania. Mara zote kijana...
  3. Rais Samia azindua kiwanda cha kampuni ya Kenya kule Zanzibar

    Mama endelea kuboresha uhusiano kabla miaka kumi yako kuisha aje mchawi mwenye majungu na kuvuruga yote...... A Kenyan company is setting up a $51.3 million (about Sh115 billion) factory in Zanzibar as it targets to get a pie of the world’s $920 billion textile market. The global textile...
  4. L

    Baada Rais Samia kunila kichwa nimeamua kuokoka

    Najutia usaliti wangu kwa upinzani.Nimeamua kukabidhi maisha yangu kwa Mungu huenda mama akanikumbuka tena. Natamani kurudi CHADEMA lakini hawatanielewa. Nawasihi wasaliti wezangu akina Bashiru,Kitila, Dk.Slaa na wengine watubu kwa Mungu kama mimi kwa usaliti wa hali ya juu waliowafanyia...
  5. K

    Tumpende na kumheshimu Rais wetu Mama Samia

    Wapendwa watanzania wenzangu, nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ( salamu maalum aliyoiasisi Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan na ambayo kiitikio ni "Kazi iendelee"). Mimi huwa napenda sana jinsi Malkia wa Uingereza (kwa sasa Qween Elizabeth) anavyopendwa na kuheshimiwa...
  6. Alichokifanya Rais Samia dhidi ya Lukuvi na Kabudi kuwaweka kwapani ni kudhibiti kundi la urais 2025 dhidi yake, atafanikiwa?

    Ukitizama kwa jicho la ndani zaidi, Lukuvi na Palamagamba, kwa watanzania makini, na wazalendo wa kweli, bila ushabiki wa milengo ya kisiasa, watu hawa ni makini na weledi katika utendaji wa kazi ,na hili limedhihirika kwa michango ya watanzania wote kupitia mabadiliko ya baraza la mawaziri...
  7. 5

    Rais Samia: Moyo wangu si wa Gilasi, ni wa Nyama iliyoumbwa na Mungu

    Mhe Rais alitamka maneno haya hivi Karibuni Nimeona niulete hapa huu usemi ili Wanafasihi na Wataalamu wa Lugha ya Kiswahili Watumbie Mama hasa alikusudia nini kwa maneno haya "MOYO WANGU SI WA GILASI NI WA NYAMA ILIYOUMBWA NA MUNGU" lakini alitoa usemi huu kukiwa na vuguvugu la Spika aliyekuwa...
  8. Phone4Sale I Phone 11 Pro Max

    Nauza i phone 11 promax 1,500,000/- tu 📍iPhone 11 Promax 🔋 Bettry Health 100% Up ⚙️64gb 💵 1,500,000Tsh _________________ 📍Ubungo dsm 🇹🇿 ☎️0783985530
  9. Naona Rais Samia anarudisha kwenye mfumo taratibu taratibu watu waliotumbuliwa

    Hii inanipa tafasiri ya kwamba ingawa alikuwa Makamu wa Raisi enzi za Hayati Magufuli pia walikuwa hawaelewani yaani walikuwa ni kama maji na mafuta. Hapa chini tunaona Mama kamrudisha Dr. Baghayo Abdallah Saqware kuwa Kamishina wa Mamlaka ya usimamizibwa Bima Tanzania (TIRA) ambaye...
  10. Rais Samia, nimeukubali msimamo wako. Hongera sana

    Asante sana Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wetu mpendwa, kwa msimamo wako thabiti ulio tuonyesha tarehe 28 mwezi Desemba mwaka 2021 huko IKULU Magogoni wakati wa kushuhudia kutia saini mkataba wa kuendeleza SGR yetu kipande cha tatu kati ya Makutupora Singinda na Tabora. Kusema kweli, hotuba...
  11. Tundu Lissu kulihutubia taifa Desemba 31, Watanzania tuwe tayari kumsikiliza

    Tarehe 31 Disemba,2021 saa kumi na mbili jioni Mheshimiwa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa kulihutubia Taifa- kufunga mwaka 2021 kuzungumzia mipango na mikakati ya kuingia mwaka 2022.
  12. Rais Samia wewe fanya kazi, usiwasikilize wanasiasa kama Ndugai

    Mama Samia kama Rais ameanza kuchukua hatua zake mwenyewe kuona maendeleo ya nchi yanasonga mbele. Kimsingi, Mama Samia kaweka utu wa Mtanzania mbele, na kuhakikisha hakuna maonezi ya kubambikwa kesi za kughushi ili konea mtu na kupora mali zake. Masalia ya Awamu ya 5 yapo. Miluzi ni mingi na...
  13. CCM msiompenda Mama Samia, mlitaka nani awe Rais baada ya Hayati Magufuli kufariki?

    Ninashangaa kuona kuna vikundi vya kijinga ndani ya chama changu cha CCM vinajifanya kua wajuaji sana na kwa wao ndio wanaojua sana nchi kwakua walikua sehemu ya utawala wa awamu ya 5. Vigenge hivi vinajifanya kua active kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali ya awamu ya 6, utafikiri mama...
  14. Pongezi nyingi kwa mama yetu kipenzi mama samia na serikali awamu ya sita.sikukuu hii watu wamesafiri sanaaaaaaa

    Pongezi nyingi sana awamu ya sita na pekee kwa mama yetu sikukuu watu wamesafiri sanaaaa aijawahi tokea hii kwa kipindi kirefu sana wananchi walikuwa wakikumbizana na maisha na mambo hayakuwa mazuri sasa mambo angalau yamesababisha watu sasa wanasadiri kwenda kula sikukuu na familia na wazee...
  15. L

    Ridhwani Kikwete awe Rais baada ya Rais Samia

    Kutokana na uzalendo, uadilifu, unyenyekevu, ucha Mungu na mapenzi yake kwa Watanzania basi mtoto huyu wa Rais anafaa kuwa raisi wa Jamhuri ya Muungano. Rais Samia naomba mkumbuke hata kwa kumpa uwaziri wa michezo kwani kijana huyu anauwezo mkubwa wa kuongoza. Imewezekana vipi kwa Huseni...
  16. B

    Kesi ya Mbowe: Ushauri wa Mbatia kwa Rais Samia

    Mh. Mbatia analiona jumba bovu: Siyo siri wanaomtakia Mama mema, maoni yao si tofauti na haya.
  17. Ukimya wa wanaharakati na wapinzani kwenye mfumuko wa bei ni dalili Rais Samia amekubalika au?

    Tumeshuhudia kila kitu kupanda bei, ndio kila kitu kasoro vinywaji tu. Tulizoea kelele na ukosoaji mkubwa enzi za JPM na muhanga mkubwa kabisa akiwa ni JK. Sioni hayo yakiwa kama zamani hii ina maana gani?
  18. Serikali ifanye 'due diligence' mkataba TANESCO kukodisha software kwa Dola 30m toka kampuni ya India

    Chini ya dr Menard Kalemani tuliambiwa tanesco tayari ilikua inajiendesha yenyewe na taarifa ya mwisho ya hesabu shirika lilianza kupata faida. Asili ya tanesco kua mzigo ni kugeuzwa shamba la bibi na wapigaji. Mikataba ya uzalishaji ya kinyonyaji na makampuni binafsi na ubadhilifu wa vigogo...
  19. B

    Jumba bovu la Rais Samia sasa liko hapa

    Ama kwa hakika hali ya jumba bovu aliloliongelea Mama Samia inazidi kudoda: Siasa ni mchezo mchafu ambao ni muhimu kwa mama kutambua kuwa kuanguashiana majumba mabovu ni sehemu ya mchezo wenyewe. Inafahamika kuwa wapambe hawajawahi kuwa sehemu ya kuangukiwa na majumba ya namna hii. Mara...
  20. U

    Rais Samia akiwa na kitukuu cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere

    SSH amemtembelea Mama Maria Nyerere leo nyumbani kwake leo December 6,2021
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…