mama samia

Maggie Gobran or Mama Maggie, a Coptic Orthodox, is the founder and CEO of the non-profit charity Stephen's Children in Cairo, Egypt. She was also professor of computer science at the American University in Cairo, is married and has a son and a daughter. She was nominated for the 2012 Nobel Peace Prize.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Kama kweli CCM mpo kwaajili ya wananchi, Tunaomba 2025 msituletee Rais Samia

    Mimi kama mwananchi mwenye uhuru wa kutoa maoni nchi hii, naomba niseme kama kweli CCM mko serious kwaajili ya maendeleo ya wananchi tafadhali tunaomba mtuangalizie mtu atakaetufaa 2025 au basi kama mmeamua 2025 ni zamu ya mwanamke basi tunaomba mtuletee jina lingine, sioni la maana sasaivi...
  2. britanicca

    Ndugu zangu wa Kanda ya ziwa Rais ni Mama Samia tujue hilo

    NImepitia nyuzi zote 23 na comment zaidi ya 3,600 naomba niseme ndugu zangu wa Kanda ya Ziwa ndoto ya kutoa Rais imekufa, hivyo tuendelee kumuunga mkono mama. 2) Kama mama ameeleweka vema lengo lake ni kurejesha chama kwenye mikono salama ya watu wenye weledi, hivo kuna anaweza hoji uwezo wa...
  3. Victoire

    Rais Samia atuombe msamaha Wakristo, Simba wa Yuda kwetu ni Yesu Kristo peke yake

    Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo. Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda. Rais kweli hapa si sawa kabisa.
  4. markp

    Rais Samia: Tumewachagua viongozi hawa kulingana na mfumo wa kisiasa ulivyo nchini

    Unaweza kujiuliza maswali mengi kwa kauli ya mwenyekiti wa CCM ambaye ametoa kauli yenye kuleta maswali kuhusu mfumo wa kisiasa uliopo sasa hapa nchini. Hebu tuangalie kwanza. 1. Nani mshauri wa mwenyekiti wa CCM na rais wa nchi yetu? Ni mshauri pekee anayeweza kuona toafuti ya mifumo ya...
  5. Erythrocyte

    Tony Blair amefuata nini Tanzania?

    Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair ameonekana kwenye Ikulu ya Tanzania akizungumza na Rais Samia Suluhu, tunashukuru sana kwa Mkubwa huyu kutukumbuka. Swali ni hili, Amefuata nini?
  6. U

    Rais Samia usikubali awamu ya 6 kudharaulika kupitia makundi ya wahalifu

    Nimecheka sanaa kusikia Makundi yafuatayo ya wahalifu hapa nchini mwetu yamepata ahueni ktk kipindi Chako cha uongozi na kukusifu mitandaoni Na kwenye vijiwe mitaani. Si hivyo tu bali mpaka kwenye baadhi ya watumishi wachache. Vyeti feki Madawa ya kulevya Majambazi Wahujumu uchumi wezi wa...
  7. Baraka Mina

    Rais Samia azindua daraja la Selander (Tanzanite), ataka liwekewe nembo ya Tanzanite sio Mwenge

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Agakhan - Upanga jijini Dar Es Salaam ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Samia Suluhu Hassan anazindua daraja la Selander (Tanzanite) na barabara unganishi leo tarehe 24 Machi 2022. === Rais...
  8. B

    Rais Samia, akili za kuambiwa changanya na za kwako

    Kumbuka madaraka uliyo nayo sasa kwa mujibu wa katiba kuna watu hawakupendezwa uwe nayo. Kama ujuavyo, watu hao wala si wa upinzani bali wa kijani wenzako. Walisema waswahili kikulacho ki nguoni mwako. Au unadhani walishakuridhia sasa na kila kitu wewe na wao ni shwari? Hadi sasa kuna mengi...
  9. Abraham Moshi

    Rais Samia Suluhu hili la Scheme of Service nalo linasubiri huruma yako!

    Ni kuhusu maelekezo yaliyotoka Serikalini tarehe 08 Februari,2021 kuidhinishwa Muundo mpya wa maendeleo ya Utumishi (Scheme of Service) Ulioanza kutumika terehe 01 Machi 2021) kwa baadhi ya taasisi za Umma. Kutokana na mabadiliko ya Muundo huo imeonekana kuwa, Mishahara ya watumishi hao ni...
  10. Jidu La Mabambasi

    Well done Rais Samia

    Nikupongeze kwa dhati mama Samia kwa kuongoza vema kwa huu mwaka mmoja. Haikuwa rahisi, lakini kilichokuwa kinatusononesha wengi ni ile state of fear na uncertainities. Tulikuwa tunaishi kila siku ikijitegemea, hujui kesho litaibuka lipi. Vyombo vya serikali vilipewa mamlaka ya kufanya lolote...
  11. MK254

    Shukrani mama Samia; Tanzania, Kenya resolve 10 more trade hindrances

    Dar es Salaam. Tanzania and Kenya have resolved ten more trade barriers in effort to grow the trade between the two member states of the East African Community (EAC). President Samia Suluhu Hassan visited Kenya last May and met her counterpart Uhuru Kenyatta to mend the then deteriorating...
  12. kavulata

    Vyama vya upinzani mwacheni Rais Samia 2025 apite bila kupingwa ili awanyooshe mapito yenu 2030

    Kwa namna tume ya uchaguzi, Katiba na kanuni za uchaguzi zilivyo sasa hivi itakuwa kazi bure kama vyama vya upinzani vitashiriki chaguzi bila kufanyiwa mabadiliko muhimu ya kidemokrasia, ni kweli au uongo? Rais Samia ana exposure kubwa sana katika katika duru za kimataifa kuliko Rais yeyote...
  13. Superbug

    Wanufaika wa Bodi ya Mikopo mbona hamumshukuru Rais Suluhu?

    Mnataka mseme mwezi huu hamjaona kwamba madeni yenu yamepungua kwa nusu? Mtu ulikuwa unadaiwa milioni 15 zimebaki nane waliodaiwa 4m zimebaki 2m mbona hamumshukuru hata kwa hilo?
  14. Relief Mirzska

    Hongera Tundu Lissu kwa kumuelewa Rais Samia Suluhu, japokuwa it had to be the hard way

    Wanajamvi, Waswahili walisema chelewa ufike. Na pia Bora nusu shari kuliko shari kamili. Naomba nitoe pongezi zangu za dhati kwa Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu kwa hatimae kumuelewa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na Amir jeshi mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama...
  15. JanguKamaJangu

    Hii vita ya ubingwa wa Yanga na Simba, hivi TAKUKURU hamsikii kelele za waamuzi kupozwa ligi kuu?

    Bongo buana mambo ni mengiiiii lakini muda mchache, ndiyo maana wanasema ukiishi Bongo ukifa kwa stress basi wewe jua umejitakia. Ligi yetu inaendelea, sasa hivi kuna kurushiana maneno mitandaoni na kwenye vyombo vya Habari hasa Yanga, Simba na kidogo Azam FC wanasikika kwa mbali. Mtaani...
  16. MK254

    Rais Uhuru ana la kujifunza kuhusu namna Rais Samia alishughulkia mauaji yanayofanywa na Polisi Tanzania

    Rais Samia bila kumumunya maneno amelishambulia jeshi la polisi kwa mauaji Tanzania na kusema lenyewe haliwezi kujichunguza, ameagiza iundwe tume huru pembeni iwachunguze hao mapolisi. Wakenya tuna la kuiga hapa, haya mambo ya polisi kufanya mauaji halafu wanalindana kwenye uchunguzi yataisha
  17. Robert Heriel Mtibeli

    Tathmini: Uongozi wa Rais Samia Suluhu ndani ya mwaka mmoja

    Anaandika, Robert Heriel Taikon wa Fasihi. Hii ni tathmini ya uongozi wa Mama Samia Suluhu tangu alipoingia madarakani mwaka Jana 2021 mwezi machi, zikiwa zimebaki siku chache kukamilika mwaka mmoja. Tathmini hii ni kulingana na mtazamo wangu, Uelewa wangu, na vile mambo niyaonavyo. Dondoo...
  18. masopakyindi

    Rais Samia mpige chini Humphrey Polepole, ni jipu!

    Wakati sisi wana CCM tulielewa vyema maana ya Rsis kuwaasa mawaziri wake kutoingiliana kimamlaka na utendaji alipoongea na baraza lake la mawaziri, kwa uwazi, wengine wameamua kumwekea Mama Samia maneno mdomoni, kwa maana hasi na isiyostahili utumishi wa umma. Polepole, mbunge wa kuteuliwa na...
  19. Lord denning

    Rebranding Tanzania! Ikulu Mawasiliano, Je mnajua ziara ya jana ya Rais Samia nchini Msumbiji ilikuwa moja ya Fursa ya kui-brand Tanzania Nje?

    Mwezi Novemba 2003, Baada ya vita kufukuta nchini Iraq, Rais wa Marekani alifanya ziara ya kushtukiza kwenye eneo la vita Yaani nchini Iraq Kwa Wamarekani ile ilikuwa sehemu ya fursa ya kuitangazia Dunia kuwa ni kwa Jinsi gani wana uwezo wa kijeshi na kiulinzi wa kumsafirisha Rais wao hadi eneo...
  20. beth

    Rais Samia: Serikali itashirikiana na Machifu, Viongozi wa Kimila

    Akishiriki Tamasha la Utamaduni lililofanyika leo Januari 22, 2022 Mkoani Kilimanjaro Rais Salia Suluhu Hassan ameeleza, "Kumekuwa na maneno mengi ndani ya Tanzania kuhusu Serikali na Uchifu. Tumeamua kuwa na jukwaa la pamoja baina ya Serikali, Machifu na Wazee wa Kimila ili kuhifadhi Mila na...
Back
Top Bottom