mama samia

Maggie Gobran or Mama Maggie, a Coptic Orthodox, is the founder and CEO of the non-profit charity Stephen's Children in Cairo, Egypt. She was also professor of computer science at the American University in Cairo, is married and has a son and a daughter. She was nominated for the 2012 Nobel Peace Prize.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Utendaji kazi uliotukuka wa Rais Samia umedhoofisha upinzani Tanzania

    Ndugu zangu Kuna kipindi fulani ilikuwa ukisikia kuwa kesho katibu mkuu wa Chadema Mh. Dr Slaa atakuwa na mazungumzo muda fulani, ni kama nchi ilikuwa inasimama. Vyombo vyote vya habari vilikuwa vinafika hata kabla ya muda husika, kila mtanzania alikuwa anatega sikio kusikia nini kitakacho...
  2. Escrowseal1

    Tuendelee kumkosoa Mama yetu kwa staha. Binafsi naamini anatusikia

    .Binafsi nafarijika kuona nyuzi za ukosoaji wa serikali yetu kwani mitandao ndo kisemeo chetu wanyonge. .nami niengeze sauti yangu kwa wakosoaji kama ifuatavyo 1. Wengi wanaonyesha kukerwa na sauti iliyokosa mamlaka pindi yanapobainika makosa mahala kwani mara nyingi tumeshazoeshwa kwa...
  3. L

    Rais Samia ni kipenzi cha Watanzania hadi wanamichezo

    Leo ilikuwa kilele Cha siku ya mwananchi, kiukweli ukiangalia namna mabango yalivyokuwa yamepambwa na picha za mh Rais wetu kipenzi mama Samia Suluhu Hassan na namna yalivyokuwa yanaleta shangwe, unagundua kuwa mama Samia anaishi katika mioyo ya watanzania walio wengi sana nikiwemo Mimi ambaye...
  4. L

    Hongeraaa Sana mama Samia kwa mafuriko ya watalii

    Kwanza nianze kumpongeza mh Rais kwa ziara yake anayoendelea nayo mkoani mbeya, Baada ya utangulizi huo naomba Sasa nianze kwa kusema hongera Sanaa mh Rais kwa kuikuza secta ya utalii, kiukweli kwa mafuriko ya watalii yanavyoendelea kushuhudia hapa nchini Nina kila sababu ya kumpongeza mh Rais...
  5. Kabende Msakila

    Mama Samia kaupiga mwingi?

    WanaJf, Salaam! Nauliza wafuatiliaji na wachambuzi wabobezi wa masuala ya utawala, uchumi na siasa JE ni kweli MAMA SAMIA kaupiga mwingi? (a). Tumpime kwa bei ya mafuta ya kula (cooking oil)? (b). Tumpime kwa mafuta ya petrol, taa, na vilainishi? (c). Tumpime kwa mfumuko wa bidhaa za vyakula...
  6. Yazidu Hamza Bitika

    Anguko la Rais Samia Suluhu Hassan lipo mikononi mwetu, tusimuangushe, tupambane kwa pamoja kukuza uchumi wetu kwa kuchapa kazi

    Habari za wakati huu enyi walimwengu wa Karne ya mwisho wa dunia, mliopo katika ardhi yenye baraka ya Tanzania, na hata msiokuwa Tanzania. Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Awali ya yote nipende kukushukuru wewe unayesoma makala hii kwa kutenga muda wako ili uweze...
  7. N

    Utatuzi wa kizungumkuti cha ajira na maslahi kwa Watumishi wa Umma chini ya Rais Samia

    Katika zama hizi za mapinduzi ya sayansi na teknolojia moja ya changamoto kubwa Katika nchi zinazoendelea haswa barani Afrika ni suala la ajira na maslahi kwa watumishi. Hili suala limekuwa ni kizungumkuti au kitendawili kisichokuwa na majibu. Viongozi wengi suala hili la ajira kwa vijana...
  8. M

    KWELI Samia Suluhu Hassan: Rais Magufuli anawasalimia, anasema tuchape kazi tulete tija kwa Taifa letu

    Leo, Machi 15, 2021 Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Tanzania ameanza ziara mkoani Tanga na akiwa kwenye kiwanda kimojawapo alichozindua kinachoshughulika na matunda wilayani Korogwe, alipata nafasi ya kusalimu wananchi baada ya kuombwa na mkuu wa mkoa wa Tanga ambapo alianza na salamu...
  9. MSAGA SUMU

    Je, Rais Samia kusafiri nchi mbili kufuatia vifo vya viongozi wakuu wastaafu?

    Mipango ya Mungu haiepukiki. Kama mnavyojua dunia imepata mapigo mawili ya misiba Shinzo Abe wa Japan na Rais mstaafu wa Angola ndg Dos Santos. Kwa sababu za kiprotokali mama Samia wiki ijayo huenda akawa bize Sana, kwanza ataenda Tokyo kutoa heshima zake za mwisho kwa Wajapan na familia kwa...
  10. N

    Hatari kwenye soko la ajira

    Moja kwa moja kwenye hoja. Ni wakati sasa wa kuangalia kwa jicho kali ulinzi wa ajira za vijana wa Kitanzania na Watanzania kwa ujumla. Milango tulioifungua kwa kuruhusu wageni kuingia na kupata ajira kwa hoja ya kadili muwekezaji aonavyo inaanza kuwa hatari kwa ajira za wazawa na mustakabali...
  11. Pascal Mayalla

    Je Wajua kuna Fupa Fulani la Dhulma kwa Watanzania, Liliwashinda Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli, Jee Mama Samia Ataliweza Fupa Hili?.

    Wanabodi, Karibu Makala yangu ya "Kwa Maslahi ya Taifa" Jumapili ya Leo Hii ni makala mwendelezo ilianzia hapa Je, jicho la Rais Samia litauangazia Ubatili huu ndani ya Katiba yetu unaopora Haki ya Msingi, uliochomekewa kibatili ili kuuhalalisha? Kama kawaida yangu, kila Jumapili, huibuka na...
  12. MSAGA SUMU

    Raia Samia: Watanzania pia wananiita Ibn Battuta

    Leo hapa Muscat Mama alikuwa anafanya mahojiano na redio ya kiswahili inaitwa Karafuu FM akahojiwa kuhusu watu kumuita Vasco da Gama huwa anajisikiaje? Mama kasema hiyo haimpi shida maana wengine pia wamempa jina la Ibn Battuta lakini bado anachapa kazi. Ibn Battuta alikuwa ni jamaa Fulani...
  13. R

    Tumpe Muda Rais Samia, ni Mapema sana kulaumu au kupiga makofi

    Muda siku zote ni msemaji na ni shahidi mzuri sana ,Mara zote husema ukweli hivyo tusubiri mpaka 2025 ndio tufanye majumuisho. Tunakosoa sana na kupongeza sana lakini ni Mwaka na kidogo tu Mama yuko madarakani. Mama anasafiri kila wakati, nchi tunakopa pesa ,anakusanya Tozo ,anatafuta maeneo...
  14. Mmawia

    Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai: Wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana. Wanatibiwa nchini Kenya

    Mbunge wa Ngorongoro Emmanuel Oleshangai Naomba kuthibitisha kuwa wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana kwenye zoezi la uwekaji wa beacons kwenye ardhi ya vijiji, Ngorongoro. Wananchi hao wanapatiwa huduma nchi ya jirani ya Kenya baada ya kunyimwa huduma zahanati ya Osero kata ya...
  15. P Accountant

    Ombi kwa Rais Samia Hassan kuhusu HESLB kuondoa fedha za kujikimu wakati wa mafunzo kwa vitendo (Field)

    Kwako Mheshimiwa:- Lengo kubwa la ujumbe huu ni kukufahamisha juu ya HESLB kuondoa allocations za field kwa wanafunzi wa mwaka wa pili ambao hawakuwa na field mwaka wa kwanza. PASIPO KUTOA TAMKO LOLOTE HADI SASA. Mheshimiwa, Nikupe historia juu ya upangaji wa mkopo kwa wanafunzi wa chuo kikuu...
  16. Rebeca 83

    Uchaguzi ujao, Kanda ya Ziwa isiwe ndio Kanda inayotuchagulia Rais

    Hello great thinkers... Mimi naona hii njia ya kuhesabu kura zote Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu ina mapungufu. Kanda ya Ziwa ni kama inadetermine nani atakuwa Rais. Na wenyewe kwa kutambua hili wanakua arrogant, kama wanavyomtishia mama kuwa hatashinda uchaguzi ujao (Sio wote) Mimi naona...
  17. Makuku Rey

    Kwa hili LATRA wanamhujumu Rais Samia Suluhu

    Tunashukuru Bei mpya za mafuta zimetangazwa na zimeshaanza kutumika kwenye vituo vyetu vya mafuta kuanzia tarehe 1/6/2022. Lakini nnachojiuliza kwanini LATRA imepata kigugumizi kutangaza nauli mpya zilizoshushwa kwa daladala na mabasi ya mikoani? Mbona Bei ya mafuta ilipopanda kwa Tsh 100 tu...
  18. Ahmed Saidi

    Rais Samia anaupiga mwingi Sana katika suala la ajira na Mambo mengine

    Jamani kama mtu anafanya vizuri kwanini tusimpongeze? Binafsi bado sijapata ajira ya serikali lakini nina matumaini makubwa kuwa Mambo yatarudi kama zamani. Sasa hivi ajira zinatangazwa utumishi, halmashauri mbalimbali n.k. hii itasaidia kupunguza ugumu wa maisha kwani mzunguko wa pesa utakuwa...
  19. J

    Tundu Lissu: Rais Samia amenilipa stahiki zangu nilizonyimwa na Magufuli

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema Rais Samia amemlipa stahiki zake kama Mbunge ambazo ni kiinua mgongo, Serikali ya Rais Magufuli ilikuwa imekataa kumlipa. Pia, Serikali ilimuambia aandike barua pamoja na kuambatanisha na nyaraka ili apewe fedha zake za matibabu ambazo Serikali...
  20. Jidu La Mabambasi

    Hongera Rais Samia kwa kujitahidi kuondoa ukakasi wa uadui wa kisiasa nchini

    Makamba na Kinana wamerudishiwa heshima zao. Membe karudi CCM alikofukuzwa. Mashitaka ya Mbowe yakafutwa. Waliokuwa lupango kwa kesi za kubambikwa wameachiwa. Mikutano ya kisiasa imerudi upya. Polisi wameanza kuwaheshimu wananchi wa itikadi tofauti na chama tawala Tundu Lissu alionana na...
Back
Top Bottom