Maggie Gobran or Mama Maggie, a Coptic Orthodox, is the founder and CEO of the non-profit charity Stephen's Children in Cairo, Egypt. She was also professor of computer science at the American University in Cairo, is married and has a son and a daughter. She was nominated for the 2012 Nobel Peace Prize.
Kama Kuna Jambo kubwa nimejifunza kutoka kwa Rais wangu kipenzi, mama SAMIA, ni kuwa huru kusema ukweli, hata Kama unauma. Mama Samia hafichi, Kama amekopa anasema amekopa, Kama analipa anasema analipa.
Jambo hili limekuwa likiwauma watu, mlitaka mheshimiwa Rais aongope, wakati mnajua Kuna...
Ujenzi wa Bwawa hilo (JNHPP) ambao hadi Novemba 2022 ulikuwa umefikia 77.15%, unatazamiwa kufikia 80% wakati mchakato wa kujazwa maji utakapoanza.
Meneja Mawasiliano wa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO, Elihuruma Ngowi amesema “Ujazaji maji utaanza wiki ijayo Desemba 22, 2022 na siyo leo...
Kipindi cha Magufuli wapinzani waliweweseka sana kwasababu asillimia kubwa ya wananchi walikuwa wanamkubali, ukiachilia mbali hawa wananchi waliopo mitandaoni, walijua kabisa pale mziki ulkuwa mgumu.
Lakini kwa sasa wanajua kabisa Mama ni kama vile ana salala fulani hivi katupiwa, asilimia...
Ni vyema tukubali kuwa kazi inaendelea. Miradi mikakati inakwenda vizuri. Mfano daraja la Wami limekamilika. Sgr kipande cha Dar Moro kipo tayari na na kitaleta mabadiliko ya maisha kwa wananchi.
Tumuunge mkono mama ili kazi iendelee. Hakuna haja ya kuwa na makundi na na kuleta kauzibe kwa mama...
Najiuliza tu maana kama sisi watu wa nje tunaona RAIS WETU anachezewa. Wanamrai rai ilo wanufaike kupitia yeye, sio kwamba ni kweli wanampenda na kwamba yale wanayomsifia ni kweli yupo nayo.
Ina maana hajui hawa si kweli wanayosema juu yangu. Ni wananipaka mafuta kwa mgongo wa chupa kwa sababu...
Mbunge wa Nzenga Vijijini Dr. Hamisi Kigwangalla kupitia mtandao wa twitter amehoji kwanini Serikali imenunua mabehewa “used”
Amesema “Hili behewa moja (tena used) limenunuliwa kwa sh ngapi? Tumeambiwa yapo haya mabehewa 54, yamenunuliwa kwa us$ 59mn. Kwa hiyo behewa moja ni us$ 1,092,592...
Wanabodi,
Angalizo la Bandiko Hili, sijataja jina la mtu yoyote, naomba na wewe usitaje. Hapa nazungumzia title ya mtu kuitwa Mama.
Japo title ya "Mama" ni jina la heshima kwa mwanamke, kila mwanamke kuitwa mama ni heshima kubwa zaidi kwa mwanamke yoyote kuliko kuitwa tuu jina lake, hivyo...
Mahusiano ya kimataifa hususan baina ya majirani hayajengwi kwa chuki, majungu na visasi, hapakuwa na ulazima kuelekeza hasira zote zile kwa vifaranga ambavyo havikuwa na hatia yoyote.....
Hao vifaranga bora hata mngewapa sumu, lakini kutia viberiti vifaranga 6,400 wakiwa hai lazima utakuwa...
Namshika mkono wa heri na shukurani nyingi Rais Samia Hassan kwa mabadiliko mazuri ya elimu anayoyaleta nchini.
Namshukuru sana Rais Samia kwa kutatua kero moja iliyotutesa sana miaka nenda rudi ya Watanzania kuwa wanachama wa jumuia ya madola lakini kiingereza hakizungumzwi na walio wengi...
IKUNGI-SINGIDA
Na Gregory Jumbe Mahanju,
Wakati Mama yetu anaendelea kujipambunua kutafuta pesa kwa wahisani ili kutekeleza ilani ya CCM, huko Wilaya ya Ikungi mkoani Singida katika kata za Ntuntu na Irisya tangu pesa zitolewe miradi ya ujenzi wa vituo vya afya katika kata hizo haijakamilika...
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kupepesa macho wala kutikisa masikio. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia huduma zinazotolewa na hawa manabii na mitume wanaoibuka kama uyoga hapa nchini.
Nimegundua Serikali isipochukua maamuzi magumu kuwapiga marufuku hawa watu, miaka michache...
Sasa hivi nchi nzima tuna ukame ambao haujakuwpo kwa miaka kama kumi hivi.
Ukame huu unaleta athari mbili kuu, ukosefu wa maji ya matumizi ya binadamu na hvile vile kukosekana kwa maji ya kutosha kusukuma mitambo ya kutengeneza umeme.
Sasa, ukame unatukosesha maji mijini na umeme kwa pamoja...
"Niko shambani nalima.Tunamshukuru Mama (Mhe. Rais) na serikali ya CCM kuipa msukumo sekta ya kilimo. Mbolea ya ruzuku na mazingira rafiki ya kilimo vimetupa nguvu zaidi ya kupambana. Kazi inaendelea."__ Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Mara Ally Hapi
Ndugu zangu Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kuwa Mama Samia Ni Rais wa Ndoto ya watanzania ya muda mrefu, watanzania siku zote walihitaji kiongozi atakaye kuwa msikivu kwa matatizo na kero zao, kiongozi atakaye kuwa na moyo wa kuguswa na shida zao, kiongozi atakayekuwa na moyo na ngozi ya...
JE, ZAMBIA NI SHULE YA DEMOKRASIA?
Miaka ya 1990s kulifanyika uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi nchini Zambia, Rais Kenneth Kaunda, baba wa taifa la Zambia alishindana na mwanasiasa kijana wa upinzani Frederick Chiluba akashindwa uchaguzi ule.
Mzee Kaunda(Mungu amrehemu) alipelekewa taarifa...
Kuanzia Kagera mpaka sasa alipo mkoani Kigoma mama anaendeleza Kazi moja tu kuwaletea maendeleo watanzanaia.
Hospital ya rufaa Chato, Hospitali ya wilaya Kakonko, miradi ya maji, barabara na sasa hali ya uchumi imeimarika kwa kila Mtanzania.
2025 Twende na Rais Samia.
Tusije jisahau kuwa chama chetu cha CCM ni chama cha wananchi, zamani tukiita Wakulima na Wafanyakazi.
Yametokea mabadiliko mengi katika misimamo ya chama kiasi ambacho watendaji ndani ya chama ni kama wanakengeuka katika misimamo yao kiutendaji.
Alipoingia mzee Abdulrahman Kinana ingalau...
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tawi la Mwasonga wamempongeza Katibu wa umoja wa Wazazi Tawi hilo kwa kuwawezesha kupata mfadhili ambaye amefanikisha wao kupata eneo la Chama.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.