mama samia

Maggie Gobran or Mama Maggie, a Coptic Orthodox, is the founder and CEO of the non-profit charity Stephen's Children in Cairo, Egypt. She was also professor of computer science at the American University in Cairo, is married and has a son and a daughter. She was nominated for the 2012 Nobel Peace Prize.

View More On Wikipedia.org
  1. Wimbo

    Rais Samia nakupandisha Cheo

    Wasoma uzi huu najua wengine watadhani nimepata uchizi kwa sababu wazo la mtu asiye kitu halithaminiwi. Mwanzo wa kupatikana kwake (Samia) na kufika nafasi alilipo mimi naiita ni miujia mitupu nathubutu kusema Mungu alimuandaa na akaitengeneza njia, amejitanabahisha katikanamna mbalimbali huku...
  2. tutafikatu

    Mama Samia yule mteule wako wa NIMR ilimshinda Hospitali ya Mloganzila

    Mtafiti yupo kule NIMR Center. Anakesha kuandika tafiti mbalimbali ili apate ufadhili, pasipo msaada wowote toka NIMR HQ. Kwa jasho na damu anapata ufadhili na kupeleka pesa kituoni kwake ambazo zinasaidia hata kuendesha kituo. Halafu from nowhere anakuja mteule mmoja wa Rais anataka hizo pesa...
  3. Boss la DP World

    Bado pengo la Magufuli halijazibwa

    Japo bado hujanishawishi kuwa unaweza kuziba pengo la JPM lakini sina budi kukujulisha hili toka kwa mtu unayemwamini sana. Anasema kuwa nanukuu "bi mkubwa sio mnoko, ukimpamba tu mambo yako yanaenda". Alikuwa akizungumzia sakata la Kigwangala kumtembezea mtu risasi anasema jambo hili litaisha...
  4. T

    Je, kinachoendelea jiji la Arusha ni hujuma kwa serikali ya Mama Samia?

    Wanabodi habari ya muda huu? Nimekua nikifuatilia kwa karibu kinachoendelea katika Jiji la Arusha kwakweli hakina Afya sana kwa siasa za awamu ya sita. Ikimbukwe kihistoria jimbo hili ni la upinzani na CCM imetumia nguvu kubwa sana kulirudisha, lakini kinachoendelea ni kama kuchezea shilingi...
  5. Stephano Mgendanyi

    Uzinduzi wa Mama Samia Legal Aid Campaign

    UZINDUZI WA MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN DODOMA Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameizundua rasmi kampeni ya msaada wa kisheria inayoitwa Mama Samia Legal Aid Campaign kwa mkoa wa Dodoma Alhamisi (Aprili 27, 2023) huku akiwataka watanzania kuitumia kampeni ya Huduma ya Msaada wa Kisheria ya Mama...
  6. L

    Serikali ya Rais Samia imeleta tabasamu na matumaini katika kila Sekta

    Ndugu zangu, Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni, Serikali ya Rais Samia imeleta Tabasamu na matumaini katika kila secta, Leo hii ukiangalia na kufuatilia kila secta utagundua na kuona kuwa Rais Samia amefanya uwekezaji na mapinduzi makubwa katika kila secta inayogusa maisha ya mtanzania, kila...
  7. MSAGA SUMU

    Gari ya Kipanya iwe usafiri rasmi wa Rais Samia

    Heri ya idd ndugu zangu. Tanzania ni moja ya nchi chache Sana duniani ambazo tunatengeneza Magari halafu official state car bado tunatumia gari za nchi nyingine. Viongozi wakuu wa nchi za Marekani, ujerumani, Japan na Uingereza viongozi wao wanatumia kampuni za nyumbani. Bibi la Bibi...
  8. M

    Pongezi kwa Rais Samia. Hadi sasa ametoa ajira nyingi sana japo hitaji ni kubwa

    Kwa kweli hatuna budi kumshukuru sana Mungu kwa ajiri ya Rais wetu kuweka mkazo katika kutoa ajira kwa vijana wetu waliomaliza vyuo. Japo hitaji bado ni kubwa sana lakini hatuna budi kumpongeza kwa wingi wa ajira ambazo keshatoa hadi sasa. Si mnakumbuka tangu 2015 ajira zilikata kabisa...
  9. F

    Kuna watu na PhD zao wapo nyumbani hawana kazi, Rais Samia tafadhali saidia

    Wapo wasomi wakubwa wamepata PhD kutoka vyuo vyenye sifa kubwa duniani lakini wasomi hawa wapo nyumbani hawana kazi. Sipendi kuamini kuwa hatuwahitaji watu hawa nchini. Tumewasomesha kwa gharama kubwa na sasa tuwatumie kwa faida ya taifa letu. Ninashauri rais wetu mama Samia kuwe na kanzi data...
  10. tpaul

    Serikali haina uzalendo, inajiibia yenyewe; ushahidi huu hapa!

    Habari za leo ndugu wakuu! Nawasalimu kwa jina la JMT. Baada ya salamu naomba niingie kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha. Nafahamu wengi wenu hampendi kusoma habari ndefu. Nitajitahidi kufupisha kadri nitakavyoweza. Imenichukua muda kutafakari kwa kina juu ya ufisadi wa...
  11. K

    DOKEZO Barua kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

    Rais Samia Suluhu Hassan nianze kwa kukupongeza pia kukupa pole na majukumu mazito ya ujenzi wa Taifa. Tunamshukuri Mungu kwa kutupa Rais ambaye amefanikiwa kuliunganisha Taifa ndani ya kipindi kifupi Mungu akubariki mama yetu. Neno haki halijawahi kuachwa kwenye kinywa chako, ukiamini haki...
  12. VUTA-NKUVUTE

    Rais Samia, kwanini 'unatufichaficha' wananchi wako hata tunayotakiwa kuambiwa?

    Nasema kwakuwa najua na nimekitumikia ninachokisema. Nimekuwa kiongozi kwenye vyombo vya ulinzi; chamani na serikalini. Najua kuwa yapo mambo ya kusemwa hadharani na yale ya kuhifadhiwa na kumalizwa sirini. Yale ya hadharani ni ya kusakia 'support' kwa wananchi. Wananchi wasikie na...
  13. kavulata

    Rais Samia ametufutia laana ya kichwa cha mwendawazimu kwenye michezo

    Timu zetu zilikuwa hazifanyi vizuri kwenye mashindano ya Kimataifa. Vilabu na timu za taifa zilikuwa zinafungwa na hata vinchi vidogo na vyenye vurugu kila siku kama Burundi na Rwanda. Hii ilimfanya Rais mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi kuzifananisha timu zetu na kichwa cha mwendawazimu ambacho...
  14. N

    Kwanini inatumika "Mama Samia" badala ya Rais Samia?

    Jina lake Samia; kwanini aitwe mama Samia, badala ya kuitwa Rais Samia? Maana ukisema mama inasimama badala ya mama yake, au mume wake angeitwa Samia (Mrs).
  15. N

    Uzi maalumu wa kumpongeza Rais Samia kwa miaka miwili akiwa madarakani

    Tukielekea kilele cha miaka miwili ya Rais Samia Suluhu Madarakani amefanikiwa kufungua mikutano ya hadhara kwa vyama vya upinzani maana walikua wakitamani kwa muda mrefu sana na watanzania tulijiandaa kusikia ajenda nyingi walizokua wameanda kwa zaidi ya miaka 5 lakini mambo yamekua tofauti...
  16. peno hasegawa

    Tetesi: Zaidi ya wanawake 1500 wapo Dar es salaam kumpongeza Rais Samia Machi 19, 2023. Hawana nauli za kurudi nyumbani na hawajui wale/walale wapi

    Njoo kwenye hoja. Leo kumetokea kituko Dar. Kuna wanawake zaidi ya 1,500 wamewasili Dar kutokea mikoa yote ya Tanzania. Nia ya wao kuja Dar ni Ili waweze kukutana Kesho asubuhi hadi saa nane Mchana Ili kumpongeza mama Samia. Kwa masikitiko makubwa na huzuni kubwa wamama hao wamelipa nauli kwa...
  17. Roving Journalist

    Rais Samia akizindua Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika leo tarehe 17 Machi, 2023 Ikulu, Dar es Salaam

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizindua Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika leo tarehe 17 Machi, 2023 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
  18. Dr Matola PhD

    Rais Samia, kuna matapeli wanakudanganya na kukuficha juu ya ukweli halisi wa shida za Watanzania Afrika Kusini

    Mama najuwa unaingia JF, wewe ni muungwana sana kwenye ziara yako South Africa umewaita viongozi wa TACOP kupitia balozi Milanzi kwa niaba ya Watanzania wote wanaoishi Afrika Kusini. Lakini cha kusikitisha viongozi hawa waliowakilisha badala ya kuja kuwakilisha wamegeuka machawa hata suti zao...
  19. Jidu La Mabambasi

    Rais Samia naomba umwambie Kamala Harris, Tanzania ushoga ni 'NO'

    Tumepata habari rasmi kuwa kuna ujio wa ugeni mzito tika Marekani. Zaidi soma Makamu wa Rais Marekani, Kamala Harris kuitembelea Tanzania Makamu wa Rais Marekani mama Kamara Harris anakuja ziara ya kiserikali nchini mwetu Tanzania. Hii ni heshima kubwa kwa Tanzania. Hapa nchini watakuwa...
  20. comte

    "It takes two to tango" sijui kama waliomsikia mama Samia walisikiliza vizuri

    Mh. RJMT mama Samia wakati anahutubia taifa kupitia hadhara ya siku ya wanawake duniani iliandaliwa na BAWACHA alitumia msemo wa kiingereza it takes two to tango. Kimetokea kilichotokea hadi kikazaa maridhiano ila inavyowekwa ni kana kwamba upande mmoja (CHADEMA) ni msafi na makosa yaliyoleta...
Back
Top Bottom