Maggie Gobran or Mama Maggie, a Coptic Orthodox, is the founder and CEO of the non-profit charity Stephen's Children in Cairo, Egypt. She was also professor of computer science at the American University in Cairo, is married and has a son and a daughter. She was nominated for the 2012 Nobel Peace Prize.
Bei ya Petroli kwa lita
Zambia 1800
Rwanda 1800
Kenya 2000
Tanzania 2400
Naona Mama keshaanza kuzidiwa mapema sana na wapigaji
Oil cartel hii imeshasambaza 'hela'za kutosha huko Ewura na kwingineko now
Wana panga bei wanavyotaka...
Hii Cartel ina watu jeuri Sana waliwahi kumgomea Kikwete...
Siyo siri, nchi ilikuwa katika sintofahamu, hofu na ahadi ya ufukara kwa nchi na mtu mmoja mmoja.
Matokeo ya uongozi wa Mwendzake.
Kitu cha kwanza Mam Samia kaondoa ni hofu.
Hofu ilikuwa ya ya kutekwa, kubambikwa kesi za uhujuumu uchumi , kuuwawa na hata kuishia jela bila makosa yoyote.
Pili...
Chonde chonde Mama Samiaa Suluu Hassan,kama hitaji la watanzania kuwa na katiba mpya hutaliona kwa sasa muda si mrefu tutaacha kukuunga mkono,hata ndani ya chama
YESU ALIKUNYWA NA KULA NA WALEVI NA WAHUNI; JE Rais SAMIA ANATUMIA FALSAFA HII?
Kwa Mkono wa Robert Heriel.
Nikiuangalia utawala wa Mama Samia Suluhu ninajikuta nikikumbuka Kisa cha Yesu wa Nazareth.
Yesu wa Nazareth moja ya falsafa yake ni kuchangamana na Wale wanaotofautiana naye kiitikadi...
Naona NEMC, mama Ummy Mwalimu na Halmashauri, kwa pamoja wanasubiri Mama Samia alitolee neno hili tatizo la uchafuzi wa Mazingira unaofanywa na wanaojiita British School-Computer Course.
Matangazo haya yametapaka Mwenge yote.
Naona NEMC, mama Ummy Mwalimu na Halmashauri, kwa pamoja...
Amani iwe nanyi wadau!
Leo napenda kuongelea kuhusu suala la program aliyoibuni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kui rebrand nchi yetu na faida ya programu hii kiuchumi huko mbeleni.
Kwanza kabisa napenda kutoa pongezi kwa Mama Samia na huu ubunifu wake. Kwa uzoefu wangu, nchi chache...
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan(SSH), awali ya yote na kwa moyo wa dhati kabisa nikupongeze kwa kuapishwa kuwa Rais wa 6 wa JMT. Watz wanajua huu ni mpanho wa Mungu.
Wewe ndiye ulikuwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba,(BMK) mkiwa na marehemu Samwel Sitta. Mchakato ulifanyika, tukapata...
Kipindi fulani enzi za awamu ya 5 tuliwahi kusikia tetesi kwamba Mama alitaka kujiuzulu. Tetesi zikasema resign hiyo ilizimwa baada ya wazee kuingilia kati kwamba italeta picha mbaya kwa wananchi na kimataifa.
Sasa kwa mabadiliko yanayoendelea sasa ni dhahiri kuna ukweli mama alitaka kuachia...
BADO MAMA SAMIA SULUHU, HAJAINGIA KWENYE 18 ZANGU.
Na, Robert Heriel
Tangu Rais Samia alipoingia kwenye utawala, watu wengi wamekuwa wakihitaji maoni yangu juu ya utendaji kazi wake. Wengi wamekuwa wakinambia kuwa mbona sijaandika makala zozote zinazomlenga SSH. Ni kweli kabisa, mpaka muda...
Ni kawaida kwa Rais, mara tu anapoanza awamu yake ya uongozi, kuteua Waziri Mkuu wake,mtu anayemwamini,atakayeenda na falsafa yake, bila kumuwekea makundi.
Marais huwa wanaachana na Mawaziri wakuu wa watangulizi wao kuashiria zama mpya, pia kuvunja kundi la kisiasa la aliyemteua.
Ni wazi, lile...
Nmefuatilia sana toka achukue uongozi Rais Samia, kiukweli anaonekana kufaa sana. Nimeona Wapinzani nao wanakubaliana sana na maamuzi yake.
Ushauri wangu:
Huyu Rais tuliye naye sasa apewe nafasi ya kuendelea kuongoza mpaka 2035. Tumeona anaweza na anakubalika. Kwenye nafasi ya Urais Wapinzani...
Siku 100 za Rais Mama Samia Suluhu nimeziadhimisha kwakufanya uchambuzi kwa mahojiano ya Radio, Kuhusu Hali ya Kijamii, Kisiasa, Kiuchumi, na kuhusu vuguvugu la Katiba Mpya.
Sikiliza mwanzo hadi mwisho!
Wakuu,
Mwanzo kabisa napenda ku-declear interest kwamba mimi natamani nchi yangu Tanzania ipate katiba mpya.
Mjadala wa katiba mpya ni mjadala mrefu sana unaohitaji umakini, utashi na ujuzi juu ya mambo yahusuyo sheria na uendeshwaji wa nchi.
Katiba ni mjumuisho wa taratibu, sera, sheria na...
Saidy Hemed Abubakar amefikishwa katika mahakama ya wilaya Jijini Tanga akikabiliwa na makosa mawili ya kusafrisha dawa za kulevya lakini akaishushia tuhuma nzito Tume ya Kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya kwamba watendaji wake si waadilifu kwani wamekuwa wakiwabambikiza watu kesi za dawa...
Kumekuwapo maonyo mengi tangia ugonjwa huu ulipoingia. Ni wazi kuwa kutokana na kauli mkanganyiko zilizokuwapo katika nyakati mbali mbali hali halisi ndiyo hii inayoonekana leo.
Ugonjwa uliopaswa kushughulikiwa na wataalamu wa afya ukawa wa kushughulikiwa na wanasiasa. Matokeo yake miongoni...
Tayari mikeka kadhaa imeishapita lakini jina la MC wa Serikali Shabani Kissu bado halijatokea.
Mama Samia nafasi za MaDED nakuomba umkumbuke huyu kada Shaban kaishatumikia sana chama na ni Mtendaji mzuri tu aliyetukuka katika nafasi mbalimbali ndani na nje ya chama.
KAZI IENDELEEE
Mama samia raisi wetu mpendwa mama yetu msikivu naomba tondole hii kero ya muda mrefu sana wazuie TRA na TPA wasiuze mizigo ya Watanzania bandarini kwakisingizio cha kukosa pesa za kulipia kodi mizigo.
umewatia watu wengi umasikini mtu anaagiza mzigo kutoka nje ya nchi mzigo unafika...
Katika muendelezo wa Rais Samia kukutana na kuongea na Makundi mbalimbali nchini, leo ataongea na Vijana wa Tanzania kupitia vijana wa mkoa wa Mwanza katika Uwanja wa Michezo wa Nyamagana.
Taarifa zaidi zinafuata:
Mkuu wa mkoa wa Mwanza ameanza kwa kuwatambulisha watu mbalimbali kwa...
Leo huko Misungwi kulikuwa na tukio la kitaifa mbashara karibu vyombo vyote. Inasikitisha sana mnatumia muda mwingi kumpamba Rais katika hotuba zenu.
Kazi tunajua mnafanya vizuri lakini mnaboa sana kumpamba mkubwa hadi mnatoka nje ya tukio. Aweso punguza mbwembwe na kuinua misuli na mifano ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.