mama wa mungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Setfree

    JamiiForums Tanzania Maria Mtakatifu, Mama wa Mungu, utuombee sisi wakosefu

    Najiuliza maswali haya: Yesu alisema tukimuomba Mungu kwa Jina lake Yesu tutapewa (Yohana 14:13-14). Kwanini sasa tunamuomba Maria atuombee? Maria yuko wapi kwa sasa? Kuna ushahidi gani wa kibiblia kwamba pale Maria alipo anatusikia na kutuombea? Aliye na majibu ya maswali hayo, anijuze. Ila...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Maria mama yake Yesu au Nabii Issa kwenye Quran tukufu ametajwa kwa urefu, kupewa sura nzima na heshima kubwa tofauti na Biblia?

    Wadau hamjamboni nyote? Nimejiuliza kuwa Maria ndiye Mama wa Bwana na mwokozi wetu Yesu Kristo hivyo nilitarajia kuona maelezo ya kutosha kumuhudu ndani ya Biblia. Hata ni Quran takatifu peke yake iliyotoa maelezo ya kutosha kumuhusu mama huyu. Naomba wanatheolojia na wanazuoni mtupe Elimu...
Back
Top Bottom