Judith Nafula alijitwalia cheo hicho baada ya kuripotiwa kufukuzwa katika Kanisa Katoliki la Lwanya kwa madai ya kufanya miujiza kwa waumini wa kanisa hilo. Nafula alidai alipokea mwito kutoka kwa Roho Mtakatifu na kusikia sauti ya Yesu ikimwita.
“Niliuona mwanga ukitoka angani ukishuka...
Jamani Zumaridi mpya kutoka Kenya
Judith Nafula mwenye umri wa miaka 50 kutoka Busia anadai kuwa yeye ni Mariamu, mama wa Yesu, na kwamba mume wake anaitwa Yusufu.
“Mama aliniambia kwamba wakati ninazaliwa nilikuwa mzungu, ni nywele tu ndizo zilikuwa nyeusi. Madaktari walishangaa Mwafrika...
Wadau hamjamboni nyote?
Nimejiuliza kuwa Maria ndiye Mama wa Bwana na mwokozi wetu Yesu Kristo hivyo nilitarajia kuona maelezo ya kutosha kumuhudu ndani ya Biblia.
Hata ni Quran takatifu peke yake iliyotoa maelezo ya kutosha kumuhusu mama huyu.
Naomba wanatheolojia na wanazuoni mtupe Elimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.