mama wa yesu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Busia atimuliwa kanisani baada ya kujitangaza ni ‘Maria Mama wa Yesu’

    Judith Nafula alijitwalia cheo hicho baada ya kuripotiwa kufukuzwa katika Kanisa Katoliki la Lwanya kwa madai ya kufanya miujiza kwa waumini wa kanisa hilo. Nafula alidai alipokea mwito kutoka kwa Roho Mtakatifu na kusikia sauti ya Yesu ikimwita. “Niliuona mwanga ukitoka angani ukishuka...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Judith Nafula kutoka Busia anadai kuwa yeye ni Mariamu, mama wa Yesu, na kwamba mume wake anaitwa Yusufu

    Jamani Zumaridi mpya kutoka Kenya Judith Nafula mwenye umri wa miaka 50 kutoka Busia anadai kuwa yeye ni Mariamu, mama wa Yesu, na kwamba mume wake anaitwa Yusufu. “Mama aliniambia kwamba wakati ninazaliwa nilikuwa mzungu, ni nywele tu ndizo zilikuwa nyeusi. Madaktari walishangaa Mwafrika...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Maria mama yake Yesu au Nabii Issa kwenye Quran tukufu ametajwa kwa urefu, kupewa sura nzima na heshima kubwa tofauti na Biblia?

    Wadau hamjamboni nyote? Nimejiuliza kuwa Maria ndiye Mama wa Bwana na mwokozi wetu Yesu Kristo hivyo nilitarajia kuona maelezo ya kutosha kumuhudu ndani ya Biblia. Hata ni Quran takatifu peke yake iliyotoa maelezo ya kutosha kumuhusu mama huyu. Naomba wanatheolojia na wanazuoni mtupe Elimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…