mama yangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KING MIDAS

    Mama yangu na kaka yangu ni wachoyo sana, wanafunga friji wafanyakazi wasile, lakini ni washika dini sana

    Mama yangu anaishi na kaka wa kwanza. Hawa watu ni washika dini sana, lakini ni wachoyo sana wa chakula kiasi kwamba Wamefunga friji na makufuli ili wafanyakazi wasipate nafasi ya kula vyakula kadha wa kadha. Nimeshawasema kwa tabia yao ya kuwabagua wafanyakazi, lakini hawakomi. Yaani hadi...
  2. Balqior

    Mama yangu angeni-abort wakati bado niko tumboni mwake, angekuwa amenifanyia wema mkubwa sana

    Mama yangu angenitoa na kunitupilia mbali kipindi bado niko kwenye tumbo lake la uzazi, ingekuwa ni faida kubwa sana kwangu, ningejihesabia mwenye bahati sana, sababu nisingekuwa na haja ya kuja Duniani na kupitia mateso, usaliti, hofu, Karaha za kila namna, magonjwa, e.t.c kisha mwisho wa siku...
  3. Z

    Mama yangu anamchukia mke wangu

    Niliamua kuishi na mke wangu kwetu. Lakini mama yangu amekuwa changamoto kwa mke wangu. Tumeamua kuhama tumepanga bado anampigia mke wangu usiku na matusi juu. Lawama zilizidi kati ya ndugu kuja kwa mke wangu, mwisho mke wangu akawa hana amani. Tukaamua tuhame sasa mama muda wote anamjazia sms...
  4. Bwajilo

    Naombeni ushauri: Nataka kumzuia mama yangu asiolewe tena baada ya baba kufariki

    Habari ndugu zangu. Naombeni ushauri wenu juu ya mada tajwa. Mzee wetu amefariki miezi 8 iliyopita baada ya maisha yake yote kuwa katika ndoa na mama yetu. Mama Sasa ana umri wa miaka 68. Kwa kipindi chote tangu sisi watoto wake tuanze kujitegemea tumekuwa tukijitahidi kuwawekea mazingira...
  5. EL ELYON

    Sina mapenzi na mama yangu

    Wakuu habari.. Mmebarikiwà sana na Mungu wa Mbinguni hakuna laana. Aisee Mimi Nina wadogo zangu wawili Mimi nikiwa mtoto wa Kwanza tena wa kiume mdogo wangu wa pili ni wa kike na wa mwisho ni wa kiume. Cha ajabu toka nikiwa mdogo hata sijaanza chekechea nilikuwa naishi na shangazi yangu ndiye...
  6. Meneja Wa Makampuni

    Mama yangu alinikataza kusomea Udaktari

    Katika mambo ambayo huwa siyasahau ni hili. Mama yangu ndugu zake kadhaa wamesomea udaktari. Na hata jina alilonipatia mimi nila baba yake ambaye mpaka sasa ni daktari. Lakini pia mara mimi baada ya kuzaliwa na kupatiwa jina hilo la huyo baba yake, nilianza kuitwa jina la utani Dokta, Dokta...
  7. NDORANGA

    Nimemjengea mama yangu nyumba nikiwa bado nipo kwenye 20's

    Wasalaam. Habarini Wana JF, Kwanza kabisa niseme nawashukuru wanajamii-forum wote kwa ujumla hasa hili jukwaa letu pendwa la biashara, uchumi na ujasiriamali, kwani tumekua tukipeana mbinu za kibiashara ambazo zinaweza kutusaidia kujikwamua kiuchumi kwa namna moja au nyingine. Mbarikiwe...
Back
Top Bottom