mambo muhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwamuzi wa Tanzania

    Ninasikitika na nitaendelea kusikitika juu ya kitendo cha serikali ya Samia na ile ya Magufuli kununua ndege za biashara huku ikiacha mambo muhimu

    Kitendo cha serikali ya Magufuli kununua ndege za biashara halafu kwa kipindi kifupi biashara ikatoa majibu kuwa ni biashara kichaa lakini serikali yake ikaendelea kuagiza ndege zingine. Alipoingia Samia nilitarajia aidha angeuza ndege zote za biashara au angesitisha mpango wa kuongeza ndege...
  2. K

    wapambe wa Mama sasa ni kumsherehesha na kumsifia tu. Mambo muhimu hawajali

    wapambe wa Mama sasa ni kumsherehesha na kumsifia tu. Mambo muhimu hawajali. Waziri anapata shida kwenda kuongea na Mama sera za elimu lakini kila siku ni Mama ni kushsreheshwa au kusifiwa tu. Mara tuzo, mara matamasha , mara kachaguliwa kweli hili, mara birthday. Waziri wa elimu kapewa kwa...
  3. Wakusoma 12

    Mambo muhimu ya kufanya kwa mwanaume mwaka huu wa 2025

    NB nimeikopi kutoka X 1. Mpangilia wa kuamka saa 12 Asubuhi kila siku, (Epukua kuamshwa na Alarm). 2. Fanya mazoezi ya "KEGEL" kwa usahihi Walau nusu saa kila siku asubuhi na jioni. 3. Kunywa maji lita 3-5 kila siku iwe kwenye ratiba yako. 4. Pata bakuli mbili ya mchuzi wa bamia changa kwa...
  4. M

    Mambo muhimu ili kuanza Biashara ni yapi?

    Hivi kweli hawa wahamasishaji wanataka mambo yote katika kuanza na kufanikisha Biashara? Naamana yote? Mimi niache kwanza nijifunze kwako! Karibu!
  5. tustary software develope

    Mambo muhimu ya kuzingatia unapotaka kununua simu

    Unapotaka kununua simu mpya, ni muhimu kuzingatia mambo kadhaa ili kuhakikisha unapata kifaa kinachokidhi mahitaji yako. Haya ni mambo muhimu ya kuzingatia: 1. Bajeti: Amua kiasi unachotaka kutumia kabla ya kuchagua simu. Simu zinapatikana katika viwango mbalimbali vya bei, hivyo kuwa na bajeti...
  6. Mwamuzi wa Tanzania

    Usijenge tu ili nawe uwe na nyumba

    1. Usijenge tu ili uitwe baba mwenye nyumba Jenga mahali tambarare mahali ambapo gari, pikipiki na baiskeli vinaweza kuingia bila shaka. Usiwe na akili za watu wajinga kama waliojenga kwenye makorongo Keko, Mbezi, Kimara na Buza. Hizo locations nilizotaja aisee kuna sehemu hata baiskeli...
  7. B

    Je, Serikali inahusika na taharuki, ili watu wasijadili mambo muhimu?

    Majasusi wa kiserikali duniani huzua taharuki mashimo yenye miili ya binadamu, watu kunyofoa viungo vya binadamu, pipi kutumika kuteka watoto. Pia kesi ya Deus Soka inatumika kuogopesha raia . Nitafafanua mbeleni Je, kwa hapa kwetu matukio haya nayo yana nasaba hizo hapo juu? Mashirika ya...
  8. J

    Mambo muhimu ambayo Abiria anatakiwa kuzingatia anapotumia Treni ya SGR

    Tangu ilipoanza kutoa Huduma wiki tatu zilizopita, Treni ya Umeme (SGR) imekuwa ikifanya safari kati ya Dar es Salaam na Morogoro. Kufikia Julai 25, 2024 safari zitaongezwa hadi Dodoma. Hata hivyo, kuna mambo muhimu ambayo Abiria anatakiwa kuzingatia anapotumia Treni hii
  9. contask

    Upuuzaji wa mambo muhimu na ujinga ni chanzo cha matatizo

    Upuuzi na ujinga ni chanzo cha matatizo Habari wakuu, Tuende moja kwa moja kwenye kichwa cha uzi kwamba ujinga ni chanzo cha matatizo. Watu wengi katika jamii zetu tumekua ni watu wa kupuuzia mambo madogo madogo ambayo mwishowe yanakuja kutugharimu katika maisha yetu binafsi pia familia na...
  10. W

    Mambo Muhimu ya Kuzingatia Unapopeleka Simu Yako kwa Fundi

    Fahamu Mambo Muhimu ya Kuzingatia Unapopeleka Simu Yako kwa Fundi ili kuepuka taarifa zako binafsi kuvuja 1. Ondoa laini ya Simu: Hakikisha umeondoa laini yako ya simu ili kulinda taarifa zako binafsi. 2. Cheleza (Backup) taarifa Muhimu: Fanya backup taarifa zako muhimu ili kuhakikisha...
  11. Aliko Musa

    Mambo Muhimu Zaidi Kuhusu Biashara Ya Kununua Na Kuuza Viwanja JUNI 2024

    Land flipping (kununua na kuuza ardhi)ni mchakato wa kununua kipande cha ardhi kwa bei ya chini na kukiuza kwa bei ya juu baada ya muda mfupi ili kupata faida. Hii inaweza kufanyika kwa kuboresha ardhi kwa njia fulani. Njia za kuendeleza ardhi ni kama vile: ✓ Kuendeleza miundombinu, ✓ Kuomba...
  12. J

    Pre GE2025 Tujifunze mambo muhimu katika chaguzi mbalimbali

    Tunaweza kujifunza mambo kadhaa kutokana na uchaguzi uliofanyika Afrika Kusini na India: Afrika Kusini: 1. Mchakato wa Demokrasia: Uchaguzi wa Afrika Kusini unaonyesha umuhimu wa mchakato wa demokrasia ambapo wananchi wanapata nafasi ya kuchagua viongozi wao kwa njia ya amani na wazi. 2...
  13. T

    SoC04 Mambo muhimu kufikia Tanzania ya Ahadi

    Tanzania kama ilivyo nchi nyingi zinazoendelea duniani na isiyo na uchumi uliosimama, ikiwa nchi yenye kujitegemea ki salafu, uongozi na sekita nyingine muhimu. Lakini bado haijafikia kuitwa inchi yenye maendeleo ya juu maendeleo stahiki yanayoiwezesha inchi kusimama kiimala katika nyanja zote...
  14. Chizi Maarifa

    Miaka 10 ya Utawala wa Kikwete haya ndo mambo muhimu sana.

    1. Watu tulikuwa tunapata pesa. Kwa kila namna rais alikuwa hana muda mufuatilia mambo ya mtu. Kila mtu ajiservie hakuna kusumbuana. Kwenye viroba haya, kwenye sandarusi haya... Ushindwe wewe tu kwa aibu, woga au ushamba wako. 2. Aliwahi kuongea jambo la maana moja tu kwenye speech zake. Ndo...
  15. Ghost MVP

    Je, Umemchoka Mpenzi wako au mahusiano? jifunze hapa

    Kuchoka ktk uhusiano huonekana kwa mtu kujitenga au kumuepuka mwenzi wake kwa sababu mbalimbali. Baada ya muda, mtu anaweza kujitenga kwa ufahamu au kwa makusudi kutokana na hisia za kutojali na kukosewa jambo katika uhusiano. Ingawa hii inaweza kuathiri sana mahusiano, kuna mambo hufanya ili...
  16. W

    Mambo muhimu ya kuzingatia unapoenda safari ndefu na gari lako

    Kuendesha gari ni suala linalohitaji umakini na utulivu mkubwa, hasa pale unapoendesha gari umbali mrefu. Mara kwa mara kumeshuhudiwa ajali mbalimbali ambazo kimsingi zinatokana na madereva kutokuzingatia kanuni muhimu katika utumiaji wa vyombo vya usafiri. Ili kuhakikisha usalama wako pamoja...
  17. TAI DUME

    Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa

    UTANGULIZI Wakuu habari. Naandika hii story yangu ikiwa ni mwaka sasa nipo mtaani nikiendelea na harakati za kusaka ajira mpya toka mkataba wangu wa ajira ulipoisha mnamo Desemba 2022. Nimeamua kushea uzoefu wangu kwa mtindo wa Masimulizi (katika episodes) kwa kuamini pengine inaweza kuwa na...
  18. W

    Mambo muhimu ya kuzingatia unapoitwa kwenye Usaili wa Kazi

    Fahamu mambo ya kuzingatia wakati unapoitwa kwa ajili ya Interview: 1. Fanya Utafiti kuhusu Kampuni iliyokuita kwa kufahamu Huduma na Maono yake ili majibu yako yalingane na malengo ya Kampuni 2. Elewa vizuri Majukumu ya nafasi uliyoiomba yaani (Job discription) ili uwe tayari kujadili jinsi...
  19. J

    Je, ulipata kuyapitia mambo muhimu yaliyoandikwa kwenye Hamas Charter ya 1988?

    UTANGULIZI Unasisitiza kuwa Kuingamiza Israel ni Jukumu la Uislam ARTICLE 11 Ardhi ya Palestine ni Mali Takatifu kwa Waislam; Kwa wale msiojua kiini cha Dai hili ni UONGO ULIOFANYIZWA NA WAISLAM KUWA AL-AQSA MOSQUE NI ENEO TAKATIFU AMBAPO MTUME MOHAMMAD ALIPAA KWENDA MBINGUNI. Huu ni Uongo kwa...
  20. sky soldier

    Kua uyaone, weka mkasa wako hapa ulipogundua pesa si kila kitu

    Yes, Pesa sio kila kitu, ni mpaka ikosekane kabisa ndio kila kitu ila ukiwa nayo hata kiasi sio kila kitu. Najua kuna msemo siku hizi kila mara "Tafuta Pesa" ila ukichunguza ni athari za watu walioishi katika umaskini tangu wadogo hivyo kisaikolojia wanaamini pesa ni kila kitu, siwezi kuwalaumu...
Back
Top Bottom