mambo ya kuzingatia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Consultant_Silwano

    "Ushauri Bora wa Kodi kwa Biashara Yako, mambo ya kuzingatia ili Kuepuka Adhabu mbalimbali

    Je, unahitaji huduma ya kitaalamu kuhusu mambo ya kodi? Tunaelewa changamoto zinazoweza kutokea zinazohusu aina mbalimbali za kodi na jinsi inavyoweza kuathiri biashara yako. Tunatoa huduma za ushauri kuhusu: 1.Ufanisi katika Kulipa Kodi: Kupata njia bora za kulipa kodi kwa kufuata sheria na...
  2. Southern Giant

    Mambo 25 ya msingi ya kuzingatia unapoenda kununua utelezi kwa kahaba

    Habari zenu vijana wapambanaji. Nimeikuta sehemu nimecopy na kuiwasilisha kama ilivyo, twende sawa hapo chini kwa kuangalia mambo 25 ya kuzingatia unapoenda kununua Utelezi. Mambo haya pengine ni ya aibu na hayasemeki kwa urahisi tena hayafurahishi kusemwa hadharani. Lakini leo nitayasema Kwa...
  3. DeepPond

    Mambo ya kuzingatia unapokunywa pombe na Malaya mwaka 2025

    Endapo Umeamua kwenda kulewa pombe pamoja na Malaya uliemchagua , jitahidi Sana:- 1. Usiende kulewa na Malaya maeneo ambayo Ni jirani na kwako au sehemu unakofahamika Sana. 2. Hakikisha umekula umeshiba na unywe maziwa fresh ya kutosha kabla ujaenda kulewa na malaya. Inasaidia kupunguza Kasi...
  4. Dalton elijah

    Mambo Ya Kuzingatia Kabla ya Kuanza Ujenzi

    Karibu tuelimishane mambo kadhaa muhimu kabla ya kufanya ujenzi MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUANZA UJENZI NOTE: Kufuata taratibu za kitaalamu katika UJENZI kunaweza kusaidia kupunguza gharama za ujenzi mpaka 15% pamoja na kukuepushia hasara inayoweza kutokea mbeleni, sambamba na kukupatia kitu...
  5. Mkalukungone mwamba

    Mambo ya kuzingatia kwa wanaoenda kusalimia ndugu mikoani nyakati hizi za Sikukuu

    Katika kipindi hiki cha mwisho wa mwaka kama ilivyokuwa desturi ya Watanzania wengi kwenda kusalimia ndugu na jamaa mikoani. Inawapasa kufahamu mambo gani ya kuzingatia zaidi katika safari zako za kwenda kusalimia. 1. Tengeneza bajeti ya safari ikijumuisha gharama za usafiri, chakula, zawadi...
  6. Roving Journalist

    LGE2024 Mambo ya kuzingatia unapoenda kupiga Kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mtaa, leo Novemba 27, 2024

  7. tustary software develope

    Mambo ya kuzingatia ukiwa unatumia simu au kompyuta

    Unapotumia simu au kompyuta, kuna mambo kadhaa ya kuzingatia ili kuhakikisha usalama, afya, na ufanisi: 1. Usalama wa Mtandaoni: - Tumia nywila (password) ngumu na salama. - Epuka kubonyeza viungo vya kutatanisha au kutoka kwa vyanzo visivyoaminika. - Hakikisha kompyuta au simu ina...
  8. tustary software develope

    Mambo ya kuzingatia unaponunua kompyuta

    Unaponunua kompyuta, kuna mambo muhimu ya kuzingatia ili kuhakikisha unapata kifaa kinachokidhi mahitaji yako. Hapa ni mambo machache ya msingi: 1. Matumizi yako: Fahamu unataka kutumia kompyuta kwa nini (mfano: kazi za kawaida, michezo, kubuni, au uhariri wa video). Hii itaamua sifa gani ni...
  9. N

    Mambo ya kuzingatia wakati wa kununua kiwanja

    Wakuu humu kuna watu wa aina mbalimbali ambao wana ujuzi wa mambo tofauti tofauti. Una yapi ya kumwambia kijana ambae anataka kununua kiwanja? Mambo gani azingatie ili asije akajuta huko mbeleni?
  10. Ochoa Real Estate

    MAMBO YA KUZINGATIA UNAPONUNUA ENEO LA URITHI/MALI YOYOTE YA URITHI

    Habari za wakati huu... Natumai wote ni wazima wa afya.. Wale ambao afya inashida kidogo Inshaallah mwenyezi atafanya wepesi tutakuwa sawa... Leo nataka tukumbushane kuhusu kununua eneo au mali ambayo ni ya marehemu(mirathi) AWALI YA YOTE NIENDELEE KUWAKUMBUSHA KUHUSIANA NA BIASHARA YA KULENGA...
  11. Ochoa Real Estate

    Kwa viwanja vizuri Goba, Madale, Salasala, Mbezi beach, Makongo hakikisha unawasiliana nasi

    Habari za wakati huu... Natumai wote ni wazima wa afya.. Wale ambao afya inashida kidogo Inshaallah mwenyezi atafanya wepesi tutakuwa sawa... Leo nataka tukumbushane kuhusu kununua eneo au mali ambayo ni ya marehemu(mirathi) AWALI YA YOTE NIENDELEE KUWAKUMBUSHA KUHUSIANA NA BIASHARA YA KULENGA...
  12. Magari damu

    Mambo ya kukumbushana kabla hujatuma application ya kazi

    Habari zenu ndugu zangu. Katika harakati za kujipambania kutafuta ajira na kulingana na kasi ya teknolojia ya dunia inavoenda, kuna mambo muhimu sana ya kuzingatia kabla ya kusubmit application yako ya kazi 1. ATS-CV Huu ni mfumo wa uchakataji wagombea (Applicant Tracking System) ambao...
  13. safuher

    Mambo ya kuzingatia kwa Afisa MADENI ili kumu"WIN" anayekudai.

    Afisa mikopo anashughulika na kuwapa watu mikopo,hivyo na sisi tunaopokea mikopo hiyo tunayo haki ya kujiita AFISA MADENI. madeni ni katika sababu ya maendeleo kwani moja ya sababu ni kuwa WANAOKUDAI HUKUOMBEA UTOBOE ILI UWALIPE MADENI YAO,na Mungu mara nyingi hujibu dua hizo. usikope kwa...
  14. Moto wa volcano

    Mambo ya Kuzingatia kabla haujafungua kesi

    Kitu nilichojifunza kwenye kufungua kesi. No.1 Hakikisha wewe mwenyewe una ushaidi ulioshiba bila kutegemea watu. No.2 Usiokote mawakili wa barabarani, tafuta mawakili kupitia watu wako wa karibu na pia usimtumie mwanasheria ambaye ana njaa ni rahisi kununulika akakufelisha. No.3 Ni ngumu...
  15. M

    Mambo ya kuzingatia kwa wanawake waliopo kwenye ndoa kwa kizazi hiki

    1. Usikope bila mumeo kujua. 2. Kaa mbali na ma ex wako wa zamani ambao ulikuwa nao kabla ya ndoa. Futa mawasiliano yao ukiwezekana. 3. Rafiki au mgeni yeyote wa kiume asije nyumbani kwenu na ukaribishe ndani wakati mumeo hayupo.Hata kama ni rafiki wa mumeo. 4. Usiende kwenye nyumba ya...
  16. Abdul Said Naumanga

    Mambo ya kuzingatia ili kupata msaada wa bure wa kisheria nchini Tanzania.

    Msaada wa kisheria ni jambo muhimu katika kuhakikisha upatikanaji sawa wa haki kwa wananchi wote wa jamii. Nchini Tanzania, Sheria ya Msaada wa Kisheria inatambua dhana ya “watu maskini,” ikirejelea wale ambao hawana uwezo wa kifedha wa kuajiri wakili binafsi. Watu hawa wanaweza kukabili...
  17. Peter Mwaihola

    Kijana wa Kiume zingatia haya yatakusaidia

    Unamuona huyo mwanamke ulienae kwenye mahusiano, ana nafasi ya kufanikiwa kwa haraka kimaisha kuliko wewe. Wakati wewe unapambana mwenyewe hakuna anaekuja kukusaidia, hakuna anayejali kuhusu wewe, hata watu hawakupendi kwa sababu hauna thamani. Unaona unavyowekeza kwa mwanamke, inaweza kuwa...
  18. Zakaria Maseke

    Maana ya kiapo na mambo ya kuzingatia kisheria unapoandaa kiapo (affidavit)

    Unapoandaa affidavit au kiapo unatakiwa kuapa juu ya mambo ambayo yako kwenye ufahamu wako binafsi tu. Soma Order XIX rule 3(1) Sheria ya Mwenendo wa Kesi za Madai (CPC) inasema, "#Affidavits_shall_be_confined_to_such_facts_as_the_deponent_is_able_of_his_own_knowledge_to_prove..." Hata hivyo...
  19. J

    Haya ni mambo ya kuzingatia uwapo mtandaoni ili kulinda taarifa zako binafsi kutumiwa vibaya na watu wenye nia ovu

    Wapendwa wana JamiiForums, Tunafurahia kuwa sehemu ya jamii yetu inayoheshimu faragha yenu kwa kuwaruhusu kutumia majina bandia ili kuwa huru kutoa maoni yenu na kushiriki mijadala kwa namna mbalimbali. JF kama mitandao mingine ya kijamii inakutanisha watu wa aina mbalimbali, wenyewe nia...
  20. jerrytz

    Mambo ya kuzingatia unapoanzisha mahuasiano na ''Single Mother''

    Mara kadhaa nimeona mijadala humu kuhusiana na single mothers, kwa wengi imekuwa ni ushujaa kuwasema vibaya hawa wanawake wenye mtoto ama watoto na kwa kweli walioamua kulea watoto wao bila uwepo wa baba. Kuwa single mother sio kilema, sio upungufu wa akili ni matokeo tu ya maisha, kifo ama...
Back
Top Bottom