1. Elewa hitaji la mteja
Kamwe huwezi kumhudumia mteja vizuri bila kufahamu hitaji lake. Mara mteja anapofika katika biashara yako hakikisha unafahamu na kuelewa vyema anahitaji nini kabla ya kumhudumia.
2. Jitosheleze kihuduma
Kabla ya kuamua kutoa huduma yoyote kwa mteja hakikisha...
Gerezani ni sehemu ngumu sana na isiyoelezeka kwa mambo yaliyopo kule ili kupunguza makali ya gerezani unaweza fanya haya mambo.
1-Mfungwa hachagui gereza ni kweli ila unaeza kuchagua gereza wengi wanapohukumiwa huingia gerezani hapa unaeza kutambua gereza ulilopo ni la...
MAMBO YA KUZINGATIA UWAPO KWENYE MKESHA.
Anaandika, Robert Heriel.
Ikiwa Leo ni ukurasa wa mwisho katika kitabu cha mwaka 2021, siku ya leo sitakuwa na mengi ya kusema;
Mwisho wa mwaka ni mwanzo WA mwaka mwingine. Siku zinaenda nazo hazirudi tena, huja Kwa matumaini makubwa huondoka Kwa...
Wengi wetu mara nyingi huwa tunafikiri kukosa mafanikio ni matokeo ya kukosa bahati katika maisha. Fikra hizo mara nyingi, huwazuia wengi katika kufanikiwa na kujikuta wakiishia kuwa watu wa kulaumu na kushindwa kila siku.
Kimsingi kitu kikubwa kinachochangia kuzuia mafanikio yetu ni baadhi ya...
Dar es Salaam. Mwanzo wa mwaka unapokaribia wazazi wengi huanza kutafuta shule bora kwa ajili ya watoto wao kujiunga ili wajiendeleze kielimu.
Wakati huu ndio ambao wazazi hulazimika kuwapeleka watoto katika shule tofauti kufanya mitihani ya kujiunga, hasa wale wa kidato cha kwanza.
Hapa...
Ukweli uko wazi sasa na sio swala la siri tena. Maisha yetu yanategemea asilimia 30 akili ya darasani na asilimia 70 juhudi zetu na akili zetu za kuzaliwa. Nikiwa kama mwanafunzi wa elimu ya juu kuna mambo nimekuja kujifunza japo kwa kuchelewa ila nina imani ilikua wakati sahihi. Nikiwa kama...
Leo muda wa jioni nilikuwa maeneo ya Mbezi ya Kimara nilikuwa nimesimama namsubiri rafiki yangu pembeni kwa mbele kulikuwa na mtu anauza supu ya pweza na vipande vyake na ngisi na kachori.Nikiwa pale walikuja watu kadhaa kununua nilichokiona.
Mteja alikuwa anachukua kijiti cha kuchomea anatoboa...
Ninaongelea hizi biashara ndogo ambazo hazihitaji uwekezaji mkubwa au kuajiri wataalamu wa kukusaidia mambo ya marketing, accounts ana vitu vingine.
1. Angalia unachoweza kufanya kutoka moyoni mwako, mfano kushona, kupika, kusafisha nyumba na kupamba. Wewe mwenyewe ni mzuri kiasi gani katika...
MAMBO YA KUZINGATIA KABLA HAUJAANZA KUFUGA KUKU KIBIASHARA
1. AVAILABILITY (uwepo wako)
Kabla ya kuanza ufugaji wa kuku kibiashara hakikisha unapata nafasi ya kushiriki kwa karbu katika mradi wako.kama nafasi yako itakua ndogo sana basi jitahidi mwenza wako asimame kama wewe. Au upate kijana...
Mimi ni kijana ambaye niko jiji Dar es Salaam katika harakati za kutafuta pesa nmefikiria kununua boda boda ili niweze kujiongezea kipato lakini kutokana na boda boda mpya kuwa gharama sana nmefikiria kununua boda boda used ambayo gharama yake inaweza anzia kwenye 800k had 1.2M
Nilikuwa nauliza...
Ummy Mwalimu, Waziri wa TAMISEMI, akiwa anatafakari juu ya muundo wa serilkali ya Tanzania Bara kuanzia Ikulu hadi Vitongojini.
Usuli
Mwongozo wa kuunda mikoa wa 2014 unataja vigezo hivi: idadi ya watu isiyopungua 3% ya watu wote nchini, changamoto za kijiografia zisizoweza kutatuliwa nje ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.