The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.
Binafsi, nimekuwa nikijiuliza, Mfano uvamizi ule wa Idd Amin Tanzania ungeisha kwa Idd Amin kuvishinda vikosi vya Tanzania, hali ingekuwaje? Leo 2024, tungekuwa na nchi ya Namna gani kisiasa, kijamii na kiuchumi? Tungekuwa na kanda ya ziwa sehemu ya Uganda?
Au Tanzania yote ingekuwa ni sehemu...
Ukikuta Watanzania wanaongea mambo fulani unaweza kufikiri walikuwa mashahidi wa mambo hayo kwamba waliona tukio zima lakini kumbe ni uzushi. Kinachosikitisha ilibidi mambo hayo wayaamini watu wasio na elimu yoyote cha ajabu unakuta mpaka msomi anasimulia bila haya mbele za watu.
1. Diamond na...
Ni kama masikhara ila jomba hakikisha unakuwa uko fit sana kwenye kimojawapo. Kama umeamua kuwa mtu wa kanisa au msikitini basi hakikisha unashikilia sana huko. Kwa wale wazee wa mambo ya kimila hakikisha uko fit mno. Kazindikwe huko Ziwa Tanganyika siku kadhaa kabla ya kuoa. Usiwe vuguvugu...
Naandika kifupi Sana kushauri juu ya utendaji wa Waziri huyu ambaye tangu akiwa naibu Waziri alionyesha kiwango cha chini Sana cha uwajibikaji. Ukipita Kila mtandao utakutana na Malalamiko ya utendaji wa vyombo vilivyo chini ya wizara ya Masauni. Umebadilisha watendaji Wakuu wa idara zilizo...
uwezo wa wanyama kutambua pale majanga ya asili
yanapokaribia kutokea ni wakushangaza sana...
wengi tumewahi kusikia baadhi ya mambo kama vile tembo maeneo ya ufukweni walivyokimbilia kwenye miinuko muda mfupi kabla ya Tsunami,
Jinsi Mbwa wanavyoingiwa hofu na kubweka hovyo muda mfupi kabla ya...
Wananchi wa Ngorongoro ambao tuliambiwa wamekubali kuama kwa hiari leo hii wametoa onyo kali kwa serikali. Hii ni baada ya serikali kutuma kikosi cha FFU na polisi kwenda kuzima maandamano yao ya kudai haki yao ya ardhi.
Pia ikimbukwe kuwa serikali baada ya kuona wakazi wa Ngorongoro hawataki...
Kitabu kinaelezea kijana aliechukuliwa afrika na kupelekwa uingereza na anatakiwa asome shule za awali hadi chuo, hivyo basi naomba kuelekezwa mitaa hasa ile ya kitajiri na sehemu za kupumzika hasa za kutembelea nk.
Nabii mmoja yule alikuwa anasema Dar itasombwa na bahari. Ninekaa mikoani muda mrefu sana naogopa kuja Dar.
Kumbe yule Nabii hajaona kitu chochote anasema,"Bwana kanionesha hivi usiku wa jana."
Kila siku manabii wanasema,"Mama Samia, jitayarishe kurudi Kizimkazi. Bwana amesema hataki uendelee...
Unavyotengeneza mbinu (strategies) mbali mbali za biashara.
Basi bidhaa (product) inaingia, kuwa miongoni mwa mbinu (strategies) zako.
Hapa tunapata kitu kinaitwa, setting product as a strategy.
Kuna msemo unasema "at the heart of a great brand is a great product "
Ili kupata uongozi sokoni...
Na ni nani aliyewadanganya Waswahili kuwa ili uwe Mshauri mzuri wa Jambo fulani basi ni lazima uwe una Uzoefu nalo kwa Wewe mwenyewe kukupata?
Tanzania mpaka sasa ( japo wapo wanaojitahidi ) ila bado sijaona Mchambuzi Mahiri wa Mpira wa Miguu kama Dk. Leakey Abdallah ( mwana Liverpool FC...
Salamu kwenu nyote.
Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye uwezo wa kuiga na kupanga mambo mazuri sana, ikiwemo sera na kuweka mikakati ya uwanzishwaji wa mambo ya kimaendeleo. Hali kadhalika ni nchi inayoongoza kwa kujifelisha yenyewe kimakusudi huku ikijivika upofu wa kimakusudi. Ni Taifa...
Wapenda Nchi waliopewa jina maarufu la Sukuma gang wana haya machache na kama ntakuwa nimesahau mengine wataongezea , lakini kiujumla wanafurahishwa na mwenendo wa Mama .
1. Wanaomba suala la nidhamu makazini ifanyiwe kazi
2.Wanasema ,Dhana ya kula kwa urefu wa kamba mara ya mwisho...
1. MWANAMUME HAPENDI KUFOKEWA
Hata Kama amekosea; jaribu kumuonyesha kosa lake pasipo kumfokea au kumvunjia heshima.
2. MWANAMUME HAPENDI KUULIZWA MASWALI MENGI KWA WAKATI MMOJA
Ukimuuliza swali halafu yeye anakua kimya au anaduwaa; ujue hana jibu au anajisikia vibaya kuhusu jibu ambalo...
Habari zenu wana jamvi!.
Siku za karibuni Rais wa JMT Mh. Samia S. Hassan amekuwa akifanya teuzi na tenguzi za mara kwa mara, tena this time sio tu amekuwa akitengua wale ambao hakuonekana kuwaamini toka mwanzo, lakini sasa anatengua mpaka wale wandani wake wa karibu.
Binafsi nimekaa...
Kwa tabia ya baadhi watz kutaka kushauri na kuchambua na hata kukosoa mataifa makubwa Kama Us China kwenye mambo waliooshindwa
Nisengeshangaa kuwashauri Wanyarwanda
Endeleeni kuitana huku muendelee kujadili mambo yenu 🙏
INGAwa bado natamani Sana umoja wa EA ufikie level za juu kiasi kwamba...
"Ni uamuzi mgumu sana kisiasa, lakini ni wa kimkakati zaidi"
Mnyetishaji alidokeza bila kufafanua zaidi kipindi hicho cha mapumziko nini kitakua kinaendelea 🐒
Je, kwa mustakabali wa siasa za Tanzania, unadhani huu ni uamuzi muafaka na sahihi kwa mwanasiasa huyo?
Ndugu zangu Watanzania,
Haya ni Maneno ya Hekima ya Mheshimiwa Albert Chalamila,Mkuu wa Mkoa wa Dar Salaam.ambaye amepata bahati kubwa sana ya kuongoza takribani majiji matatu Makubwa hapa nchini, yaani Jiji la Mbeya,Mwanza na Sasa Jiji la Dar es salaam.
Kumbuka pia ameongoza hata mkoa wa...
Wakuu kwema.
Ni jpil njema sana na ya neema kubwa.
Mambo haya yamenitokea na kuniumiza sana.
1. Niligombanishwa na baba yangu mpaka leo hatuelewan na alisema alishani delete mbaya zaidi walioleta yote hayo ni shangazi zangu na mama wa kufikia na baadhi ya ndugu kikubwa ni wivu maana kidogo mzee...
Wahubiri wa imani ya Kikristo, ni muhimu kutoa maelezo fasaha mnapozungumzia masuala ya ulimwengu wa roho. Mara nyingi, unamsikia mhubiri akisema, "Naona katika ulimwengu wa roho..." lakini ni vema tukajiuliza, roho ni nini? Je, ninyi pia mmekaririshwa tu kwamba roho siyo kitu chenye asili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.