mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. Inakuwaje wabongo mnapenda kulazimisha mambo?

    Hatuwezi kufanana kwa kila hatua,maamuzi au michakato inakuwaje tunaforce mtu apende kitu ambacho unakipenda wewe? Tunaishi katika ulimwengu wa kibepari kila mtu amepatiwa uhuru sawa wa mawazo,maamuzi na machaguo,tabia ya kulazimisha ilishapitwa zama zake. Nimemaliza
  2. L

    Mambo 15 niliyoyaona Simba vs Yanga Ngao ya Hisani jana

    1.Timu yetu ina wachezaji wazuri na wenye uwezo wa kutuletea mafanikio msimu huu, jana kwangu naona upangaji wa kikosi haukuwa mzuri, kwa mfano Yanga wameonekana wakomavu kwa sababu wanategemea sana kuchezesha viungo kama Simba ile ya akina Yussuph Macho, Shekhan Rashid. Yanga kama kawaida yao...
  3. M

    Mambo mengine utayaelewa siku ukiwa muhusika, kwa sasa utaona kama vile hawajui kutumia vizuri nafasi zao

    Inawezekana kuna watu unawaona wa ajabu sana, unaona kama ungepewa uhusika wao basi ungefanikiwa ndani ya dakika moja 😊 Inawezekana ikawa kweli wapo kwenye nafasi wasizojua kuzitumia vyema au ikawa sio kama uonavyo ukiwa sio muhusika. Kuna watu wakikusimulia utaona kama vile wanakutisha hivi...
  4. Vijana wa CHADEMA msipotoshe umma. Aliyebakwa yupo salama. Msitumie mitandao ya jamii kupotosha mambo. Mnaitumia vibaya X

  5. Tanzania Police Force: Muwe na subira upelelezi unaendelea. Msipost mambo kwa mhemuko

  6. Jiepushe na haya mambo kwa gharama yoyote hakuna faida utapata.

    Simba na yanga Ccm na chadema . Mke wa MTU na mme wa MTU . Kupiga mtungo na kupiga mende Hayo mambo yameaua focus za watu hapa Tanzania.✊🏿
  7. Haya ndio mambo ya uhakika katika niliyojifunza katika ulimwengu wa roho

    KARMA - kuhusu karma hiii inafanya kazi kwa 100% jinsi unavyowaombea WATU mema hayo mema na wewe lazima uyapate Unaposaidia watu in positive way lazima na wewe uneemeke ikiwa sio wewe watoto wako. Kusaidia ni njia namba moja inayoleta MAFANIKIO kuna watu huwa hawaishiwi wala familia zao...
  8. Mambo ya Kiimani hayo

    Yaani inawezekana kabisa unampiga vita kiboko ya wachawi halafu unamuunga mkono Martha Mwaipaja kwa kiwango cha 100%
  9. Kuondoka kwa Ally Kamwe kwahusishwa na mambo ya ushirikina mkubwa sana ulioanza kutokea ndani ya idara hivi karibuni

    Hizi tetesi tu, inasemekana mauza uza yamekuwa mengi ndani ya club siku chache zilizopita. Njiwa wamekuwa wakionekana ndani ya ofisi ya idara japo madirisha na milango imefungwa. Bundi, na wakati mwingine kuku imechinjwa halafu inakutwa ndani ya meza ya Ally pamoja na madawa ya kishirikina
  10. Mambo 25 ya msingi ya kuzingatia unapoenda kununua utelezi kwa kahaba

    Habari zenu vijana wapambanaji. Nimeikuta sehemu nimecopy na kuiwasilisha kama ilivyo, twende sawa hapo chini kwa kuangalia mambo 25 ya kuzingatia unapoenda kununua Utelezi. Mambo haya pengine ni ya aibu na hayasemeki kwa urahisi tena hayafurahishi kusemwa hadharani. Lakini leo nitayasema Kwa...
  11. Mitandao ya internet imeyumba na kukwamisha mambo mengi Duniani leo Ijumaa Julai 19, 2024

    A major technology outage grounded flights, hampered public transit systems and disrupted operations at banks and hospitals around the globe Friday in an incident a cybersecurity firm blamed on a faulty system update. CrowdStrike, a U.S. firm that advertises being used by over half of Fortune...
  12. J

    Mambo muhimu ambayo Abiria anatakiwa kuzingatia anapotumia Treni ya SGR

    Tangu ilipoanza kutoa Huduma wiki tatu zilizopita, Treni ya Umeme (SGR) imekuwa ikifanya safari kati ya Dar es Salaam na Morogoro. Kufikia Julai 25, 2024 safari zitaongezwa hadi Dodoma. Hata hivyo, kuna mambo muhimu ambayo Abiria anatakiwa kuzingatia anapotumia Treni hii
  13. Upuuzaji wa mambo muhimu na ujinga ni chanzo cha matatizo

    Upuuzi na ujinga ni chanzo cha matatizo Habari wakuu, Tuende moja kwa moja kwenye kichwa cha uzi kwamba ujinga ni chanzo cha matatizo. Watu wengi katika jamii zetu tumekua ni watu wa kupuuzia mambo madogo madogo ambayo mwishowe yanakuja kutugharimu katika maisha yetu binafsi pia familia na...
  14. W

    Mambo Muhimu ya Kuzingatia Unapopeleka Simu Yako kwa Fundi

    Fahamu Mambo Muhimu ya Kuzingatia Unapopeleka Simu Yako kwa Fundi ili kuepuka taarifa zako binafsi kuvuja 1. Ondoa laini ya Simu: Hakikisha umeondoa laini yako ya simu ili kulinda taarifa zako binafsi. 2. Cheleza (Backup) taarifa Muhimu: Fanya backup taarifa zako muhimu ili kuhakikisha...
  15. Mambo moto

    Kenya kumechangamka
  16. U

    Taarifa Leo nimaabudu kwenye Kanisa la Wasabato Mwenge, nitaendelea kukosoa panapoenda mrama, nitaunga mkono palipo vema, lengo kuweka mambo sawa

    UPDATES: Huduma ya kuwaombea Wajane Wagane na WaleaPweke inaendelea kufanyika muda huu Wadau hamjamboni nyote? Siku ya leo ambayo ni sabato takatifu kwa mujibu wa maandiko nimeamua kuabudu kwenye Kanisa la Wasabato hapa Mwenge Dar es Salaam. Pamoja na kukosoa mara kadhaa baadhi ya "...
  17. Nampenda Rais Samia siiungi mkono CCM na mambo yake

    Mimi nampenda Rais Samia kwa dhati yeye kama Rais ila mfumo uliomuweka hapo ambao ni ccm kwakweli sikubaliani nao. Naamini tuko wengi wa aina yangu ndio maana nitabaki kuwa mwana chadema mwaminifu ili nijitofautishe na itikadi na hulka za CCM. Mama Samia Mungu akubariki wewe ila mfumo wako...
  18. January Makamba amefiti vizuri Wizara ya Mambo ya Nje. Heshima na ushawishi wa Tanzania duniani ni ya kiwango cha juu sana

    Wizara imetulia, mambo yanafanyika vizuri kwa maneno na matendo. diaspora na wafanya biashara kimataifa kwa ujumla wao, wanakubali kazi na jitihada za wizara kupitia Waziri huyu kijana na mbunge wa Jimbo la bumbuli mh.January Makamba.. Mchango wa Tanzania kwenye forums mbalimbali duniani...
  19. Mambo ya kuzingatia kwa Afisa MADENI ili kumu"WIN" anayekudai.

    Afisa mikopo anashughulika na kuwapa watu mikopo,hivyo na sisi tunaopokea mikopo hiyo tunayo haki ya kujiita AFISA MADENI. madeni ni katika sababu ya maendeleo kwani moja ya sababu ni kuwa WANAOKUDAI HUKUOMBEA UTOBOE ILI UWALIPE MADENI YAO,na Mungu mara nyingi hujibu dua hizo. usikope kwa...
  20. H

    Vijana wa kitanzania tupunguze na kuacha haya mambo Kwa sisi tunao jitafuta

    Vijana wengi tz tunajitafuta huku tukiwa hatujui ni lini tutajipata kuwa na maisha Bora ya Leo n kesho za watoto wetu. Viko vitu Kwa vijana wengi huvifanya kama njia za kuona watafanikiwa zaidi wao baadhi kumbe ndio wanaji tokotesha jumla jumla. Vitu vifuatavyo tukiacha vijana wa kitz...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…