The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.
Wakati mwingine mtu unatamani kusema sisi watanzania ni majuha lakini unaheshimu uumbaji wa Mungu wetu.
Jinsi mambo ya hovyo yanayofanywa na baadhi ya watu tuliowapa madaraka yanavyotia kinyaa, mtu unatamani kusonya lakini ukweli ulio mbele yetu unakutia aibu.
Wakati mwingine unaposikia mtu...
Chama Cha Wanasheria Tanzania Bara - Tanganyika Law Society(TLS) iliandaa Warsha kwa Wanahabari Jijini Dodoma Tarehe 4 Juni 2024 kuhusu Uhuru wa kujieleza. Hapa chini ni andiko la Mwanahabari Mkongwe mbaye pia ni Mwenyekiti wa Muungano wa Mabaraza ya Habari Afrika Mashariki (East Africa Press...
1.sekta ya Madini - ukikutana na mwekezaji wa Madini huko machimboni wanakuwaga na wasiwas muda wote sijui wa kuibiwa yaani rahisi sana kuchanganyikiwa ukiwa sekta hio
2.sekta ya ufugaji - hawa wachunga ng'ombe wanakuwa na akili zinazowaza ng'ombe tu muda wote.
Tunaweza kujifunza mambo kadhaa kutokana na uchaguzi uliofanyika Afrika Kusini na India:
Afrika Kusini:
1. Mchakato wa Demokrasia: Uchaguzi wa Afrika Kusini unaonyesha umuhimu wa mchakato wa demokrasia ambapo wananchi wanapata nafasi ya kuchagua viongozi wao kwa njia ya amani na wazi.
2...
UTANGULIZI.
Dodoma ulitangazwa kuwa mji mkuu wa Tanzania na mwasisi wa taifa hili mwalimu JK Nyerere mwaka 1973 na Rais JP Magufuli alitoa amri ya serikali kuhamia Dodoma mwezi Julai 2016 wakati alipopewa wadhifa wa mwenyekiti wa chama tawala, Chama Cha Mapinduzi/CCM.
Rais John Pombe Joseph...
Bila shaka mko poa wana jukwaa na wale mabingwa wanaendaelea kusherekea ubingwa wao.HALAA MADRID. Moja kwa moya kwenye mada, wakuu nina rafiki angu kaoa mwana mke kahitimu chuo huko daslam miaka mitatu iliopita nadhani ni diploma ya uwalimu ila bado hajeajiriwa sasa huyu mwanamke nifull jeuri...
Tanzania tuitakayo inataka mambo mengi sana ili tufike katika lengo letu ila Kuna mambo ya muhimu ambayo tunaweza kuanza nayo ili Yale mengi tunayo yataka yapate kufanikiwa kabla ya yote Tanzania inatakiwa kukaa chini kujiuliza niwapi nakosea niwapi nazingua na kwanini sifikii malengo yangu na...
Ushawahi sikia watu wanaitwa "resentful" ? Hawa ni watu ambao kuna vitu hawana, wengine wanavyo, wao wanaamini wangepaswa kua navyo, sasa matokeo yake wanakua na chuki na husda.
Ni lazima ukubali kua kuna mambo huna na huwezi kuanayo au kuyapata asilani.
Kwa mfano
1. Muonekano wako, kama we ni...
Mgombea mtarajiwa wa kiti cha uraisi wa Marekani na pia mshtakiwa aletiwa hatiani kwa makosa ya kughushi nyaraka Donald Trump leo ameongea na waandishi wa habari na wafuasi wake katika ofisi zake mjini New York.
Akiongea kwa muda wa dakika zipatazo 40 kuashiria kila kosa alotiwa hatiani kwa...
Kijana wa KIUME kuna mambo, unapaswa kuyaepuka maisha yako Yote.
1. Kuishi kwa Mwanamke, au ukweni.
2.Usijenge katika kiwanja Cha ukweni au Cha mwanamke.
3.Usiishi kwa kumtegemea mwanamke kwa chochote.
4.Usioe Mwanamke ambae amekuzidi kwa kila kitu.( Elimu, pesa na Mali.)
5. Usimuoe...
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imesema katika mwaka wa Fedha 2023/24, Serikali ilisaini Mikataba na Hati za Makubaliano 78 baina ya Tanzania na nchi 23
Nchi hizo ni Algeria, Indonesia, Falme za Kiarabu, Zambia, India, Noway, Urusi, Uganda, Cuba, Hungary, Malawi, Korea...
1. Harmonize anaonyesha ishara za lugha za matusi hadharani hasa zikiwadhalilisha wanawake na mashabiki wanazishangalia, jambo la kushangaza mpaka sasa sio LHRC, TAMWA, BASATA, TFF au taasisi nyingine yoyote iliyokemea na kulaani vitendo hivyo.
2. Kingereza kibovu mno katika platform ambayo...
Mambo au Tabia Zinazofanya Kufifisha au Kudhoofisha Malango Yako/Nishati ya Ndani
1. 😞😞 Uzinzi au Ngono Hulela
Ni vyema kuwa na mke/mume au mtu mmoja kwa nia ya mahusiano na sio kutangatanga. Mara leo uko huku, kesho kule, hapo utavaa karma nyingi ambazo hazikuhusu. Sio kila umuonae anakufaa...
Wakuu nadhani huyu mwamba kitu kama msouth ama Zimbabwe kwa lafudhi anatrend sana kwa clips zake huko mitandaoni nadhani ni gym trainer, kwa mwenye details zake amwage hapaa nina wasiwasi naee ama ndo gym side effects????
Jamaa kapiga tizi la kupunguza mafuta bythen kajaa shepu ya nyuma AKA...
Kama wapo nisaidieni kuwatag.
Nilikuwa na 250k kwenye account yangu jana saa 9 nikatoa 50k kwa wakala. Leo kuangalia salio nimebakiwa ba 89k.
Nimepiga simu namba yao huduma niliyopata sijalizika kabisa. Kuna haja ya kuwapa training wahudumu wenu on how to troubleshoot issue na kudili na...
Tanzania kama ilivyo nchi nyingi zinazoendelea duniani na isiyo na uchumi uliosimama, ikiwa nchi yenye kujitegemea ki salafu, uongozi na sekita nyingine muhimu. Lakini bado haijafikia kuitwa inchi yenye maendeleo ya juu maendeleo stahiki yanayoiwezesha inchi kusimama kiimala katika nyanja zote...
Ukiona jambo una litamani kuliifanya kipindi umefulia jua ndo kazi yako biashara yako na your purpose nimaanisha ukilifanya Kwa moyo wote bila kurudi nyuma unatoboa na unaweza kufahamika duniani kote.
Mambo yafuatayo yameorodheshwa kuwa ndiyo tofauti kuu kati ya mvulana na mwanaume
1. Uwezo wa kukabiliana na magumu. Mvulana akipata magumu hulalamika au kukimbia kabisa magumu yake, mwanaume anapambana hadi mwisho
2. Majukumu. Namna kila mmoja anavyotimiza majukumu yake bila kulalamika
3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.