Habari wanajamvi,
Leo nimepokea ujumbe kutoka Vodacom uwa internet nchini Tanzania imeanza kutangamaa. Juzi, tumekatikiwa mtandao. Najua watu kadhaa waliongeza bundle kwa hofu kuwa wameishiwa, kumbe kilichotokea kilikuwa nje ya uwezo wao.
Leo, ntakupeleka, japo kwa ufupi, nyuma ya pazia...