mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. Chama usilete mambo ya Kiduanzi Yanga. Unataka kuleta madeko utaozea bench

    Huyu dogo alidhani huku Yanga sisi tutampet pet. Ameona hana attention na Simba hawana issue naye sasa anaanza kutafuta sababu za kurudi Simba. Namwona jinsi ambavyo sasa anajitenga na wenzie. Na ame delete picha nyingi instagram akiwa na Yanga. Huyu nadhani kinamuanza. Kama hajui ndo atajua...
  2. Kuna raha sana kumuimbia kiongozi wa nchi yako hasa akiwa amekufanyia mambo makubwa

    Kuna raha sana kumuimbia kiongozi wa nchi yako hasa akiwa amekufanyia mambo makubwa. Watoto hawa wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Tanga wana haki ya kumuimbia Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha na wao watoto wa kike wa Tanga wanajengewa shule ya bweni ya wasichana ili...
  3. C

    Uwezo wetu wa kufikiri juu ya mambo yaliyopita, yaliyopo na yajayo

    Habari wanajukwaa! Nimevutiwa sana na jukwaa hili lenye hoja fikirishi na zenye mvuto wa aina yake. Leo ningependa kuanzisha mjadala wa kipekee kuhusu uwezo wetu wa kufikiri. Hivi karibuni, nimekuwa nikifikiria sana juu ya ufahamu wa mambo yajayo, yaliyopo, na yaliyopita. Na kwa hiyo, naomba...
  4. Usiruhusu Kusemwa Kwako Vibaya Kukakuzuia Kufanya Mambo Ya Msingi

    Zab 69:12 SUV [12] Waketio langoni hunisema, Na nyimbo za walevi hunidhihaki. Kusemwa kupo, tena kama ulikuwa hujui ujue Leo, na nikuambie kwamba utasemwa sana, utasemwa na marafiki zako, utasemwa na wapendwa wenzako, utasemwa na walevi, utasemwa na majirani, utasemwa na operesheni wenzako, na...
  5. C

    Changamoto ya malipo aliexpress

    Habari wakuu nina changamoto ya kufanya malipo aliexpress leo siku ya 5 nmejaribu hata kutumia account ya jamaangu bado nimejaribu kutumia visa card ya voda wap nmejarbu kuwasiliana na benk husika kuona kama kuna tatizo wamenambia wao hakuna tatizo nmewachek aliexpress pia na wao vivyo hvyo...
  6. N

    Wataalam wa mambo ya uzazi naombeni msaada wenu, nimechanganyikiwa

    Leo nimetoka kufanya kipimo cha ultrasound na mpenzi wangu, kipimo kikasema kuwa mpenzi wangu ana ujauzito wa wiki tisa na siku tatu, kinachotuchanganya ni mara ya mwisho kufanya nae mapenzi ilikuwa tarehe 28 desemba ambazo hadi leo wiki 9 hazifiki, je changamoto ni nini?
  7. Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
  8. Ni mambo yapi ya kuzingatia katika uanzishwaji wa kiwanda?

    Habari wakuu Natumaini wote tulisoma kwenye zile shule zetu mambo mbali mbali, ikiwemo mambo ya kuzingatia katika uanzishaji wa kiwanda. Inawezekana yale tuliyoyasoma shule, tumeyaacha kule kule na sasa tupo miaka zaidi ya kumi kwenye kuajiriwa, bila kuwa na hata karakana ya kunolea mapanga na...
  9. T

    Huu ni mmea mdogo lakini wenye mambo makubwa

    Mmea Mdogo Wenye Mambo Makubwa: Utumie kama chakula dawa ili uepuke kutumia dawa kama chakula!* KIVUMBASI 1. Huu mmea umesambaa Afrika nzima kwa majina tofauti: Kanda ya Ziwa unaitwa Lumbalumba, Nyanda za Juu Kusini wanauita Mnunganunga, Kilimanjaro wanauita Mnyenye, Tanga ni Luvumbampuku...
  10. Moja baada ya mambo yaliyomgharimu Tsishekedi baada ya kuchukua uongozi kutoka kwa Kabila, ni kuiamini Kenya, akaiacha Tanzania

    Mara baada ya kuchukua madaraka kutoka kwa Kabila mtoto, Tsishekedi alikuwa na mahaba makubwa kwa Kenya, akaitelekeza Tanzania. Tanzania ni moja kati ya "watu wa kazi" Walioidhibiti amani ya Congo Mashariki. In fact, Tanzania ni Godfather wa ulinzi na usalama wa ukanda huu. Kosa hilo...
  11. Ukweli katika uhalisia ni upi kuhusu mambo haya yaoneshwayo mara kwa mara kwenye movies?

    Wanasema msanii ni kioo cha jamii na kama unavyojua kioo hakibuni na kutengeneza taswira kutoka kusikojulikana bali huonesha taswira ya kitu kilekile kilicho mbele yake. Kwa lugha nyepesi ni kwamba kama msanii ni kioo cha jamii basi watuoneshayo kwenye muvi zao ni yale yale yaliyopo kwenye jamii...
  12. Sawa mambo yako hayaendi lakini usidhalilishe utu wako

    Sio kwamba hauna thamani ni basi tu uko unappreciated Fanya mabadiliko. Jiweke miongoni mwa wanaoona thamani yako then angalia jinsi utakavyoboreka haraka. Wakati ua halichanui, rekebisha mazingira ili liweze kukua, Sio kurekebisha au kubadirisha ua. Tusisubirie vya kuja kuthamini ubora wetu...
  13. Tuangalie mambo ya afya kidogo

    Hivi ndivyo wasemavyo wataalamu πŸ‘‡
  14. K

    Nikiwa nae kwenye mahusiano mambo hayaendi kabisa

    Wakuu naomba kuuliza ni nature ama vipi, Kuna huyu shemeji yenu nikiwa nae kwenye mahusiano serious mambo hayaendi kabisa Maisha yanastuck changamoto zinajazana ila tukitengana maisha yanaenda(siwi na mwanamke mwingine) Sasa kitu kinachoniuma ni kwamba anajitambua sana, ana hekima sana kifupi...
  15. M

    Ebu tusemezane mambo ya vijiweni

  16. Uhalisia wa mambo, Kabla na Baada ya Uchaguzi

    Kabla ya uchaguzi mambo huwa hivi πŸ‘‡πŸ½ Baada ya Uchaguzi mambo huwa hivi πŸ‘‡πŸ½ AKILI KUMKICHWA πŸ˜€
  17. Mambo usiyo yajua kuhusu Spotify premium

    Unaweza kusikiliza muziki ukiwa offline backup Pia unaweza kudownload miziki aina yote ukija wewe ni kusikiliza tu bila bando Na pia kwa wanafunzi wa chuo unaweza kulipia elfu 3500 tu Kila mwezi na kwa watu ambao sio wanafunzi ni elfu 6900 tu Hizi hapa ndio risiti zangu za malipo hapa mpaka...
  18. Ukiwa na mapesa unaweza kununua kila kitu, isipokuwa mambo haya

    Ukiwa na Mapesa HUWEZI... 1️⃣ Kununua Wokovu – Wokovu wa Mungu haupatikani kwa fedha bali kwa imani katika Kristo Yesu. (Waefeso 2:8-9) 2️⃣ Kununua Amani ya Moyoni – Amani ya kweli inatoka kwa Mungu. (Yohana 14:27) 3️⃣ Kununua Upendo wa Kweli – Upendo wa dhati haupatikani kwa pesa. (1...
  19. F

    Kanisa Katoliki halipaswi kufanya mambo ambayo wengine wanaweza kuyafanya vizuri

    Ni wakati sasa wa Kanisa Katoliki kwenda level nyingine na kuachana na kufanya mambo ambayo kila mtu anaweza kuyafanya vizuri. Kanisa linapaswa kujikita kutoa special education na sio tena universal education ambayo sasa inatolewa na taasisi nyingi tu nchini. Kwa kuwa Kanisa lengo lake sio...
  20. Nimegundua kuwa watu nafsini mwao wanaelea matendo ya mitume wa kileo yamekaa kitapeli ila ulimbukeni wao wa mambo ya kufikirika ndio unaojaza kiu yao

    Naelewa tabu zimekuwa nyingi, ILA, Kwa hio Mungu ametuma manabii wenye miujiza mikuu waende Dar tu? Kwa hio kutanguliza sadaka kabla hamjaombewa bado hamjaona kuwa ni shughuli ya kiuchumi ndio anafanya? Toa pesa, Pata huduma "Mungu wa mahala hapa ndio wa kweli" "Mungu wa nabii so and so" ...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…