mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. Consultant_Silwano

    "Ushauri Bora wa Kodi kwa Biashara Yako, mambo ya kuzingatia ili Kuepuka Adhabu mbalimbali

    Je, unahitaji huduma ya kitaalamu kuhusu mambo ya kodi? Tunaelewa changamoto zinazoweza kutokea zinazohusu aina mbalimbali za kodi na jinsi inavyoweza kuathiri biashara yako. Tunatoa huduma za ushauri kuhusu: 1.Ufanisi katika Kulipa Kodi: Kupata njia bora za kulipa kodi kwa kufuata sheria na...
  2. Ojuolegbha

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe Balozi Mahmoud Thabit Kombo akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa pamoja EAC- SA

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe Balozi Mahmoud Thabit Kombo akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa pamoja EAC- SADC unaojadili masuala ya amani nchini DRC.
  3. R

    Unapokutana na vibaka kuna mambo matatu tu, kimbia sana, uwe tayari kwa pambano au utoe ushirikiano, usianze kuleta ubishi / ujuaji.

    Watu wengi sana wanaishia kuumiza na wezi kwa kuchukua risk ya kuanza kutaka kunegotiate na kubishana, wengi wao huwa hawana uzoefu, baada ya kuumia ndio hujifunza maana somo huwa linaeleweka ukipata madhara. Unapokutana na wezi ni option tatu pekee 1. Kimbia toka nduki utadhani umekanyaga...
  4. ommytk

    Umefika wakati Afrika tufanye mambo yetu wenyewe hasa kwenye rasilimali kama madini

    Trump ametufundisha jambo kwa sasa fukuza wazungu kwenye migodi nasisi tuchimbe dhahabu zetu wenyewe fukuza kwenye gesi uko yaaani ubaya ubwela tu kila mahali tukae wenyewe fukuza kwenye viwanda vya cement
  5. Rozela

    Mhaya akichaguliwa kuwa Rais wa Tanzania, akienda kuhutubia UN mambo yatakuwa hivi

    Ndugu marais hamjambo (kwa lafudhi ya kihaya), naona wengi wenu mnashida sana, mfano we Trump hutulii kabisa, nimeamua kukupa msaada wa dhahabu tani 1 bure, Tanzania ni Tajiri hatuna njaa. Halafu we Putin inaelekea huna kazi ya kufanya, ntakuletea Tanzanite utengeneze urembo uuze upate hela...
  6. Marie Antoinette

    Kagame hafahamu kama wanajeshi wa Rwanda wako nchini DRC

    Rais wa Rwanda, Paul Kagame amesema hajui kama wanajeshi wa nchi yake wako Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ambako mapigano kati ya kundi la waasi la M23 na wanajeshi wa Congo yanaendelea. Sehemu kubwa ya Jumuiya ya Kimataifa inaamini kwamba Rwanda inaunga mkono waasi wa...
  7. Mwamuzi wa Tanzania

    Ninasikitika na nitaendelea kusikitika juu ya kitendo cha serikali ya Samia na ile ya Magufuli kununua ndege za biashara huku ikiacha mambo muhimu

    Kitendo cha serikali ya Magufuli kununua ndege za biashara halafu kwa kipindi kifupi biashara ikatoa majibu kuwa ni biashara kichaa lakini serikali yake ikaendelea kuagiza ndege zingine. Alipoingia Samia nilitarajia aidha angeuza ndege zote za biashara au angesitisha mpango wa kuongeza ndege...
  8. K

    wapambe wa Mama sasa ni kumsherehesha na kumsifia tu. Mambo muhimu hawajali

    wapambe wa Mama sasa ni kumsherehesha na kumsifia tu. Mambo muhimu hawajali. Waziri anapata shida kwenda kuongea na Mama sera za elimu lakini kila siku ni Mama ni kushsreheshwa au kusifiwa tu. Mara tuzo, mara matamasha , mara kachaguliwa kweli hili, mara birthday. Waziri wa elimu kapewa kwa...
  9. Waufukweni

    Elon Musk amesema USAID ni Shirika la kihalifu, linapaswa kufa

    Mmiliki wa kampuni ya teknolojia, Elon Musk ametangaza kuwa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID) linapaswa kufa kwakuwa ni shirika la kihalifu. Musk, ambaye aliteuliwa na Rais wa Marekani, Donald Trump kuongoza Idara ya Ufanisi wa Serikali (DOGE), ametoa kauli hiyo baada ya...
  10. K

    Nimeamini ukiwa mwanamke umetulia huna mambo mengi ndio unapata wanaume wasioleweka na matapeli

    Basi mimi nimeamua nibadilike tu hii Roho ya kuwa mwema kwa kila mahusiano niachane nayo Unaingia kwa mahusiano unampenda mtu kumbe yeye ana kutamani wala hana upendo na wewe Imagine unakuta kwenye simu ya mpenzi wako amekusave Annastazia Dodoma Na wewe umemsave majina mazuri Mimi huwa sina...
  11. Beira Boy

    Naomba tuweke mambo sawa Rwanda wahutu ni wengi kuliko watusi. Hii ni kwa wale ambao tumewahi fika Rwanda

    Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA Nimeona nije hapa niweke mambo sawa Maana nimeona Kuna watu wanapotosha sana Mimi nimefika Rwanda napajua vizur sana na nchini Rwanda wahutu ni wengi sana kuliko watusi Robo tatu ya watu wa Rwanda ni wahutu Asante sana kwa kunisikiliza Sisi wafuasi...
  12. Manfried

    Kuna watu wanabaraka sana ukiwasaidia mambo yako lazima yanyooke kwa kasi ya ajabu

    Huwa kuna mdogo wangu ambaye tumezaliwa mama mmoja baba tofauti . Huyu mtoto yupo bright Sana na very humble. Huwa nikitoa hela za shule na mahitaji kumpatia , basi huwa nafanya madili mengi yanatiki Sana na Kwa haraka. Nilivyogundua hili jambo nimekuwa nahakikisha namsaidia sana...
  13. M

    Ujenzi barabara ya Mwendokasi Dar na mambo ya ajabu

    Kwa kweli aliyekuja na mpango wa kupanua ujenzi wa Mwendokasi sijui kama alizingatia mipango ya awali ya namna jiji lenyewe lilivyo. Inaonekana kilichofanyika ni kujaribu kuleta plan mpya juu ya plan ya zamani kabla hata ya kufanya mabadiliko makubwa ktk plan ya zamani. Leo barabara za zamani...
  14. Q

    Kaniambia fuata mambo yako

    Wakuu kwema? Aisee nilikua na Pisi moja hivi nimekaa nayo miaka 4 aisee tokea akiwa form three mpaka alivofika chuo .. alikuja mkoa ninaoishi kwa ajili yangu. Tatizo lilianzia hapa Aisee alivoanza chuo mahusiano yalikua fresh kabisa mwaka wa kwanza ukaisha fresh ila mwanzoni mwaka wa pili...
  15. R

    Sitashangaa kuzuiwa kwa Press ya Chadema ikawa ajenda kubwa kuliko mkutano wa Nishati; Watu wanapenda mambo yasiyo na tija

    Mitandao ya kijamii imeanza kusambaza kwa kasi taarifa za kuzuiwa kwa mkutano wa Mnyika. Mjadala umeanza kupamba moto na taarifa za mkutano wa Nishati zimefifishwa. Je tunaamani na kizazi hiki kinachopenda kujadili na kusambaza taarifa ndogo ndogo kuliko taarifa za maendeleo ya bara la Afrika...
  16. Joanah

    Mambo gani huwa unafanya ukiwa na msongo wa mawazo ama mtu akikukera?

    Mimi nafanya hivi 1. Nakula vizuri, chakula nachokipenda 2. Natoka kwenda kutembea 3. Nalala 4. Nalia sanaaaaaaa 5. Naenda kununua nguo mpya 6. Nafanya usafi Na mengine mengi Wewe je? Lengo ni kuwapa experience wanaopitia wakati mgumu,wanaweza kupata ideas mbili tatu Uzi tayari Pia soma...
  17. COARTEM

    Shughuli zote za Kiserikali zifanyike Dodoma, Dar Es Salaam iachwe kwa mambo ya Biashara tu

    Binafsi nimuombe Rais Samia S. Hassan aongeze kasi ya kuijenga Dodoma ili shughuli zote za kiserikali including zake mwenyewe zifanyikie Dodoma. Dar es Salaam tuiache ipanuke kibiashara zaidi. Mikutano yote ya kitaifa na kimataifa ya kiserikali ifanyikie Dodoma. Marais wakija Tanzania waende...
  18. Lugano Edom

    Mambo ya Kimungu husimuliwa Kimungu na hujadiliwa Kimungu

    Popote pale uionapo mada inayowahusu watu wa Mungu usitumie akili yako bali tumia akili itokanayo na Mungu. Tumekuwa wakurupukiaji wa mada sana hasa kuzogoa na kuwasema vibaya watu wafanyayo kazi ya Mungu. Ushauri wangu kwetu sote. Jambo la KIMUNGU HUTATULIWA KIMUNGU. ASANTE KAMA UMENIELEWA...
  19. mdukuzi

    Mambo ya ajabu yaliyonifanya nikashindwa kuishi vijiji vya kanda ya Ziwa

    Katika harakati za kutafuta maisha niliamua kwenda kusaka maisha kanda ya ziwa,sitataja mkoa. 1. Mtu akifa katika eneo lenu kuna mtu anapita na spika kuwatangazia,kuna daftari la wananzengo kuchangia msiba ni lazima,usipochanga utadhalilishwa kwenye mkutano wa kijiji au kitongojina kulipishwa...
  20. M

    Lissu aonyeshe Uongozi katika suala la akina Halima Mdee na Wenzake,aachane na hayo mambo yake

    Nimemuona Lissu anawashambulia sana akina Halima Mdee na wenzake badala ya kutengeneza Mazingira rafiki ya kurudisha wale Viongozi ambao CHADEMA imetumia muda wake mwingi kuwaandaa, na hasa ukichukulia toka wameisaliti hawajawahi kuisema vibaya Taasisi wala Viongozi wao. Uongozi siyo Sheria tu...
Back
Top Bottom