“Askari ana uhuru wa kukaguliwa, kwa sababu mara nyingine wanasema [watuhumiwa] bangi hii haikuwepo, ameingia nayo nimewekewa. Ili kuondosha mashaka hayo ya msingi, afisa wa polisi anasema naomba nikaguliwe ili mambo yakienda yatakayokutwa kule [mahakamani] asiwe na nafasi ya kuyakana kwamba...
Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam, Kamishna Mwandamizi wa Polisi, Lazaro Mambosasa amewataka Askari Polisi wanaohudumia madawati ya Usalama Kwanza kutumia mafunzo waliyoyapata kuleta tija ndani ya Jeshi la Polisi.
Alisema hayo alipokutana na askari hao katika mwendelezo wa...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAMBO YA NDANI
JESHI LA POLISI TANZ TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
KUKAMATWA KWA WATUHUMIWA 161 WANAOJIHUSISHA NA WIZI WA VIFAA VYA MAGARI, PIKIPIKI NA UVUNJAJI.
Ndugu Wana habari, Mnamo tarehe 20.04.2021 na 24.04.2021 nilitoa taarifa kwa umma za...
Wilaya hizo ulinzi wake umelala sana.
Watu wanataka nusu usingizi huku wakijilinda kea wasiwasi.
Ifike kipindi wezi wawe wanaiba vitu ambavyo wenyewe hawaviihitaji.
Letengenezeni Mazingira muwasaidie wananchi. Matukio ya wizi ni mengi mno. Tembeleeni vituo vya polisi mujionee orodha ya wizi...
Mtangazaji wa kituo cha ITV cha jijini DAR ES SALAAM Bi Blandina Sembu amekutwa akiwa ameuawa maeneo ya ITV Mwenge usiku saa sita.
Mwili huo ulitambuliwa na Henry Mabumo aliyekuwa mtangazaji mwenzake kabla Mabumo hajahamia TBC.
Mwili ulichukuliwa na Polisi usiku huohuo.
Taarifa rasmi...
Familia moja inayoishi eneo la Kimara imepoteza watu 5 yaani mama na watoto wake wanne waliokufa kwa kukanyagwa uwanja wa uhuru wakati wa kumuaga hayati Magufuli
Kamanda Mambosasa wa kanda maalumu ya Dar es salaam amesema atatoa taarifa kamili ya yaliyojiri kama kuna vifo na majeruhi siku ya...
Kamanda wa Polisi Kanda maalumu ya Dar es salaam mh Mambosasa amesema tume iliyoundwa kuchunguza sakata la nyama ya wafanyabiashara imegundua nyama yote iliteketezwa.
Mambosasa amesema tume ilionyeshwa shimo kubwa ambamo minofu na mautumbo ilifukiwa na sehemu nyingine ambayo miguu na makongoro...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemuachia kwa dhamana Askofu Emmaus Mwamakula wa kanisa la Uamsho la Moravian baada ya kufanya upekuzi nyumbani kwake.
Taarifa za kushikiliwa Mwamakula zilitolewa na polisi jana Jumatatu Februari 15, 2021 kupitia mtandao wa kijamiii kabla ya...
Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam mh Mambosasa amesema kuanzia sasa ni marufuku watu kufanya maandamano na mbio za polepole ( jogging) siku za ibada yaani Jumapili, Jumamosi na Ijumaa na kwamba jeshi la polisi halitatoa vibali katika siku hizo.
Mambosasa amesema kuandamana siku...
KAMANDA WA POLISI KANDA MAALUM DSM SACP LAZARO MAMBOSASA.
Aonya vuguvungu la watu wanaohamasisha mgomo wa madereva na wamiliki wa mabasi yaendayo mikoani.
Kamanda amesema wananchi kesho waendelee na shughuli zao kama kawaida na asb askari watakuwepo ili kuhakikisha suala la usafiri...
Nidhamu katika taasisi yeyote ile ni jambo la msingi sana, iwe sehemu ya kazi iwe jeshini, kwenye biashara, pesa zako bila nidhamu huwezi kufanikiwa.
Kiongozi anapoenda kinyume na maamuzi halali ya taasisi ni aidha anajiuzulu au anafukuzwa. Halima Mdee amekiuka maamuzi halali ya Kamati Kuu...
Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi (SACP), Lazaro Mambosasa amewataka wafanyabiashara kuuza cement kwa bei iliyowekwa na serikali vingiinevyo watashughulikiwa kisheria.
Mambosasa amesema jiji la Dar es Salaam lina cement ya kutosha hivyo...
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa, amewataka wagombea ubunge kutoka mikoani walioshindwa katika uchaguzi, warudi majimboni mwao kwa sababu kitendo cha kukusanyika jijini humo ni uchokozi wa dhahiri kwa wakazi wa Jiji hilo.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam ACP Lazzaro Mambosasa, amesema jeshi hilo limebaini uwepo wa vikundi vya watu wanaofanya mikutano ya siri ili kuhamasisha vurugu na maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi yanayoendelea kutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Amesema...
"Tumepata taarifa kwamba kuna vikundi vya watu wachache, wameamua kuanza na vikao vya siri wakihamasishana kwamba wasikubaliane na matokeo ambayo kimsingi ni maamuzi ya Wananchi wenyewe, yoyote anayelianzisha asijutie yale atakayokuatana nayo, Dar es Salaam siyo shamba la bibi, hatutowaacha...
Jitahidi kum- treat Lissu kama unavyo m-treat Magufuli, wala hakutakuwa na hoja ya kunyanyuana na Lissu. Lakini ukimuona kama mtu aliye duni kuliko Magufuli, basi hutaweza kutenda haki kwa wote na shida itaanzia hapo.
Kama Magufuli anasalimia, basi potezea na Lissu anaposalimia. Kama Suluhu...
Kwa kadri ya ufahamu wangu wa mambo ya kipolisi , Rpc Mambosasa ambaye aliteuliwa na IGP aliwajibika zaidi kwa Makonda kuliko alivyowajibika kwa mamlaka yake ya uteuzi , wako wanaoona aliwajibika zaidi kwa Makonda binafsi kuliko hata Makonda wa ofisi ya RC , huyu anapaswa kung'olewa kama...
Wakuu amani iwe kwenu,
Rais Magufuli mara nyingi amesisitiza watu kuvaa barakoa ili kujilinda na kulinda wenzao dhidi ya kuenea kwa ugonjwa hatari wa corona. Rais amesisitiza sana hili na nilitegemea viongozi wa chini akiwemo Mkuu wa Mkoa DSM, Wakuu wa wilaya zote, Kamanda wa kanda maluum ya...
Eti hawa akina Mama walitaka kuvunja gereza! Eti Bulaya na Halima hapo ndio wammevamia Magereza! Acha Ulimwengu uone uhuni wa hawa watu! Ukiangalia kwa umakini unaona kuwa Askari wanawavutia kwenye geti, chini kule kuna gari inapita meaning walikua mbali kabisa na lango la gereza!!
Time will tell
Wakati afande Mambosasa akiwa kwenye press conference, alikuwa na mambo mawili, la kwanza ni lile la wabunge wa CHADEMA na meya kukamatwa kule Segerea, na la pili ni ajali ya gari. Alianza kwa kusema, '... wafuasi wa chama cha maendeleo na wananchi - CHADEMA.'
Maswali: hivi kirefu cha Chadema ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.