Kamanda Mambosasa, nasikitika kukuandikia andiko hili. Imelazimu kwa sababu ukiwa Polisi unayesimamia usalama wa raia mkoani Dar es Salaam, nilikuona siku ya hukumu ya kesi ya akina Mbowe pale Kisutu. Jinsi ulivyotembea kibabe ukiingia kwenye gari baada ya Wananchi waliokuwa wakifuatilia hukumu...
LIVE: Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya DSM Lazaro Mambosasa anazungumza kuhusu kilichotokea juzi Segerea wakati Freeman Mbowe akisubiriwa kutoka gerezani
=====
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAMBO YA NDANI
JESHI LA POLISI TANZANIA
TAARIFA KWA UMMA.
KUKAMATWA KWA WAFUASI WA...
Tumeiona taarifa ya Secretary of State wa USA, Mike Pompeo akithibitisha kuwa Paul Christian Makonda amekuwa blacklisted kuingia USA. Anyway unaweza ukapuuza kuwa mbona haendagi mara kwa mara na akiwa na shida atakwenda Ulaya au China.
Nina ushauri kwa RPC wa Kanda Maalum Lazaro Mambosasa. Kwa...
Kwanza nianze kwa kukupongeza jinsi unavyotimiza wajibu wako wa kuliongoza taifa hili kwa ufanisi mkubwa na wa hali ya juu.
Wewe ni mtu muwazi, unayepokea maoni ila ni kiongozi shupavu asiyeyumbishwa.
Tumeona msimamo wako thabiti kwa mfano katika jitihada zako za kuhakikisha watoto wa kike...
Huko Jangwani kasajiliwa Mchezaji Mghana Bernad Morrison aliyewahi kuchezea Orlando Pirates chini ya Kocha Micho. Kinachoongelewa zaidi ni tabia za Mchezaji huyo kuwahi kushiriki matukio ya kihalifu alipokuwa Afrika kusini ikiwemo kukamatwa na Magari ya Wizi hatua iliyofanya awekwe Korokoroni...
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kipolisi Kinondoni asema hana taarifa za kukamatwa na kushikiliwa kwa mwanaharakati,Tito Magoti
Mussa Taibu amesema kuwa mpaka sasa hana taarifa ya kukamatwa kwa Ofisa wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu [LHRC] Tito Magoti, katika eneo la himaya yake na hata...
Huyu ni miongoni mwa Ma RPC wa nchi hii wasioaminika , Kwa mfano , Mapema baada ya Polisi kufyatua risasi za moto kwenye mkusanyiko wa Chadema maeneo ya Kinondoni Mkwajuni , Mambosasa alijitokeza hadharani na kukiri polisi kuhusika ( hapa jf zipo clip zake kuhusu jambo hili ) , baadhi ya...
Abduction:
NOUN
The action or an instance of forcibly taking someone away against his will.
eg ‘they organized the abduction of Mr. Tito Magoti on his way to the LHRC offices’ ; ‘abductions by armed men in plain clothes’.
Najiuliza, Does the above definition match yesterday's action in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.