Kamanda Mambosasa, nasikitika kukuandikia andiko hili. Imelazimu kwa sababu ukiwa Polisi unayesimamia usalama wa raia mkoani Dar es Salaam, nilikuona siku ya hukumu ya kesi ya akina Mbowe pale Kisutu. Jinsi ulivyotembea kibabe ukiingia kwenye gari baada ya Wananchi waliokuwa wakifuatilia hukumu...