Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ,Bw Yusuph Juma Mwenda amewataka watumishi wa Mamlaka hiyo kuendelea kutekeleza maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan ya kusimamia ulipaji wa kodi kwa hiari. Ameyasema hayo wakati akifunga kikao cha nne cha...
Kwa muda takribani wiki sasa, nimekuwa nikijaribu kutuma maombi ya kazi kupitia mfumo wa ajira wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) bila mafanikio. Niwaombe Mamlaka watoke hadharani na kutoa tamko kuhusu changamoto hizi na mwelekeo (Way forward).
Kuna wakati napata hisia mbaya kwamba tayari...
Katika Kipindi cha kuanzia mwezi Julai hadi Desemba mwaka 2024 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya Sh Trilioni 16.5 ambapo kati ya fedha hizo, Trilioni 13 zilikusanywa katika Mkoa wa Dar es Salaam.
Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.
#samiaapp
#kaziiendelee
#tumejipatanamama
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteua Said Kiondo Athumani kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA).
Kabla ya uteuzi Said alikuwa ni Mkufunzi Mkuu Chuo cha Kodi cha Mamlaka ya Mapato Tanzania.
------------
MAMLAKA ya Mapato Tanzania(TRA) imezindua ofisi ya walipa kodi binafsi na wenye hadhi ya juu 158 ilikuongeza ufanisi wa ukusanyaji mapato.
Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda amezindua ofisi hiyo dar es salaam Oktoba 15,2024 .
“Muunganiko huu na...
Mamlaka ya Mapato Kenya (KRA) ilikusanya jumla ya Ksh 1.27 trilioni katika nusu ya kwanza ya mwaka wa kifedha 2023/24 ulioisha mwezi wa Desemba 2023.
Data mpya kutoka Hazina ya Kitaifa inaonyesha kuwa ukusanyaji wa nusu mwaka ulikuwa chini ya lengo kwa Ksh 182.4 bilioni hasa kutokana na...
Askari Wanyamapori Bw. Ibrahim Silas Mtaki, Mfanyabiashara wa mbao Bw. Roden Esches Mwalongo na Mjasiriamali Bi. Lilian John Jombe, wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa kwa shtaka la kuisababishia Mamlaka ya Mapato Tanzania hasara ya kiasi cha Shilingi 2,231,000/=...
Nafikiri kwa msafiri yoyote anayesafiri kwa kutumia either mabasi ya abiria au usafiri binafsi atakubaliana na mimi kuwa vyakula katika hoteli za njiani (stop overs) vinauzwa at a very premium prices.
Sasa hoja yangu sio bei ya kuuzwa kwa vyakula hivyo, hoja yangu kubwa ni je, Serikali inapata...
Tumeona mabadiliko yalifanywa katika wizara au mamlaka ya kupunguza ukubwa wa taasisi au wizara ili kuleta tija na ufanisi.
Tumeona wizara iliyokuwa nishati ya nishati na madini ikigawanywa katika wizara ya nishati na wizara ya madini, iliyokuwa wizara ya ujenzi na uchukuzi ikigawanywa katika...
Leo Bwana baada ya kukaa nikawaza aahh,kumbe niliombaga nafasi za ajira za TRA. Nikastuka nikajua Tayari watu wameshaitwa .. cz sikuwa nimeingia online muda sehemu nilipokuwepo hakuna internet wala mtandao wa simu.
Basi kwa unyonge nikajua aahh basi haikuwa ridhiki yangu labda, ila sasa sijui...
Mheshimiwa Kamishna Mkuu wa TRA, nachukua fursa hii kukuomba uingilie kati uonevu unaofanywa na wasaidizi wako kwenye uhamisho unaoendelea sasa.
Nimefanya kazi TRA miaka mingi lakini hali iliyojitokeza sasa si ya kufumbia macho.
Uhamisho si jambo baya kwenye utumishi, ni kawaida mfanyakazi...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema imebaini uwepo wa magari barabarani yaliyobandikwa na kutumia namba ambazo hazijatolewa na TRA ama Taasisi nyingine za Serikali ambazo zimepewa jukumu hilo kisheria.
“Aidha, kumekuwepo na matumizi ya vibati vya namba vyenye rangi zisizotambulika kisheria...
Habari Watanzania,
Katika miezi kadhaa sasa, kuna jambo limekuwa likijirudia sana.
Jambo hili ni ZITO sana na wala si la kuchukulia mzaha hata kidogo.
Jambo lenyewe ni hili:
Mfumo wa TRA, hasa TANCIS ambao ndio unaotumiwa na Idara ya Forodha (Customs) kukusanya Mapato ya bidhaa zinazoingizwa...
Binafsi nimekaa na kutafakari sana kuhusu Serikali yetu inapambana kuanzisha mifumo ya kielektroniki ili kurahisisha utoaji wa huduma zake. Mimi pia nimenufaika moja kwa moja kwa jitihada hizi maana napata/nalipia huduma za Serikali kwa njia rahisi sana huku nikiwa naendelea na shughuli zangu...
Mida ya usiku pale kwenye geti la kutokea Tanzania kuingia Rwanda maafisa wetu wa forodha huwa wanafanya uzembe unaohatarisha usalama wa taifa letu kwa wao kwenda majumbani ama nyakati zingine kwenda kuangalia mpira na pengine kwenda bar na mhuri huo hapo juu huachiwa vijana wa ving'amuzi...
Naona lile zoezi la TRA la kamata wote kumbe kweli du, kumbe wapo kweli kazini naona matukio jana walikuwa Jangwani na Kariakoo yaani ukiwa hujatoa risiti au hujaomba risiti unao.
#TEGETA Maafisa wa TRA Mkoa wa kodi wa Tegeta leo 03/02/2022 wameendelea na zoezi la ukaguzi wa risiti za #EFD kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.