Kwako Mhe Rais wa JMT,
Mhe.Waziri Mkuu
Mhe.Waziri wa TAMISEMI
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano,
Natanguliza pongezi nyingi kwa kazi kubwa mnayoifanya ambayo matokeo yanaonekana kila mahali ambayo inaleta tabasamu la matumaini.
Nawapongeza zaidi kwa hatua mbalimbali za kuleta...
NB: Picha kutoka mtandaoni
Lilikuwa ni wazo jema sana kuanzisha kampuni za uzoaji taka kwenye Jiji na hata kwenye maeneo ya makazi ya watu ili kuweka Jiji safi na kuondoa taka mitaani ili kuuweka mji mbali na milipuko ya magonjwa.
Lakini wazo hilo limegeuka wazo butu au kutiwa doa na aidha...