Huyu mzee alisifiwa sana humu na pro-Russians, haya amekua mwiba sasa na naona anatumika kuishusha supapawa zaidi, Urusi imeomba mamluki wake wamzunguke na kumkamata, ila yeye amesema atafanya kishindo humo humo Urusi kama njia ya kulipiza kisasi mauaji yaliyofanywa kwa wapiganaji...