mamluki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    Video: Mamluki wa Putin apokea kichapo na wanajeshi wa Urusi hotelini

    Mwanachama wa kikosi cha mamluki wanaoitwa Wagner, ambao Putin anawatumia kupigana huko Ukraine, anaonekana hapa kwenye video akigombana na wanajeshi wa Urusi, kisha ghafla akapokea kichapo cha mbwa, watu wana hasira... Videos posted to Telegram on Friday apparently show a Russian mercenary...
  2. saidoo25

    Machinga hatutaki ''Mamluki''

    Mwenyekiti wa shirikisho la wafanyabiashara wadogo wadogo maarufu kama machinga Mkoa wa Mbeya Jerry Mwatebela amesema uchaguzi uliofanywa Ili kuwapata viongozi wa soko la airport ya zamani ni batili kutokana na kughubikwa na utata katika zoezi Zima la uchaguzi huo. Akizungumza mbele ya...
  3. JanguKamaJangu

    Mali yawakamata wanajeshi 50 wa Ivory Coast, yadaiwa ni mamluki

    Serikali ya Mali inawashikilia wanajeshi 50 wa Ivory Coast ikidai ni mamluki waliowasili Nchini humo kwa mgongo wa kuwa wanafanya kazi na Umoja wa Mataifa Msemaji wa Serikali ya Mali, Abdoulaye Maiga amesema wanajeshi hao waliwasili kinyume cha sheria akiwaita watu hao ni ‘mamluki’ na kuwa...
  4. Q

    CHADEMA ilitakiwa kufa 2014, wafuatao ni Wasaliti wakuu na Mamluki waliopandikizwa

    Hebu fikiria hawa walikuwa viongozi wakuu wa kitaifa na wajumbe kwenye mabaraza mbalimbali ya Chadema. Wilbroud Slaa aliyekuwa katibu mkuu, Zitto Kabwe (N/Katibu mkuu), Arif M/Mwenyekiti Taifa, Waild Kabouru, Vincent Mashinji, Mwigamba, Waitara, Katambi, Kafulila, Shonza, Mchage, Lowassa...
  5. M

    Zamani mtu akiwa na mahusiano na CCM aliitwa Mamluki na Chama chake kiilitwa ‘CCM B’. Wapinzani walikataza mahusiano na CCM

    Prof. Ibrahim Haruna Lipumba ambaye ni Mwenyekiti wa CUF yeye tayari ameonyesha wazi kumuunga mkono mama, juzi kati lipokuwa akihojiwa na waandishi wa habari alikwenda mbali sana kwa kuonyesha yupo tayari kumfanyia mama kampeni 2025. Prof. huyo ambaye ndiye muasisi na muanzilishi wa vuguvugu la...
  6. Idugunde

    Picha: Mwenezi NCCR Mageuzi akiwa na jiwe mkononi huku akiwafurusha mamluki wa Sisty Nyahoza

    Huyu ndio anajua kupambania chama.
  7. Analogia Malenga

    Urusi inaripotiwa kuwaajiri mamluki wa Syria

    Urusi inawaajiri Wasyria wenye ujuzi katika mapigano ya mijini kupigana nchini Ukraine huku Moscow ikijiandaa kwa mapigano makali ya barabara hadi mtaa katika harakati zake za kuteka miji mikubwa ya Ukraine, maafisa wa Marekani wameliambia jarida la Wall Street Journal. Maafisa wa kijasusi...
  8. Return Of Undertaker

    Anderson Ndambo: Zitto ni mamluki wa CCM anaitumia ACT na Zanzibar kwa malengo binafsi

    Kwanini zitto ametumia mtutu kumbeba Babu Duni. 1. Kulipa fadhila kwa Babu. Baada ya Maalim Seif Kufariki, Kikatiba ya Zanzibar, ilitakiwa ndani ya wiki mbili lipatikane jina la Mrithi wa Makamo wa kwanza wa Rais Zanzibar. Zitto akamfuata Babu na kumuuliza juu ya nani Ambae Maalim alikusudia...
  9. M

    Vyama Mamluki ni Vyama Gani!

    Katika hotuba ya Mh. Lisu kufunga mwaka, iliyosheni mambo mazito yanayowagusa watanzania wa nyanja zote, amezungumzia vyama mamluki ambao wanashirikiana na CCM kufanya uhuni ndani ya taifa letu hasa kutaka kuleta usanii kwenye swala la katiba mpya. Je hivi vyama mamluki ni vyama gani?
  10. B

    John Mrema: Tuwatambue Mamluki Wapinga CHADEMA kwenye Runinga

    Habari hii inajieleza wazi: John Mrema amethibitisha baadhi ya utambulisho watu hao. Kwamba tumefikia huku kwenye "impersonation" si haba inaonekana ujumbe unawafikia walengwa. Kwa vile walisema walikuwa hawajasikia - na tupaze zaidi sauti. Aluta Continua.
  11. B

    Mamluki ndani ya Magwanda ya Makamanda

    Pana tofauti za wazi baina ya wana Chadema almaarufu makamanda na wale wa ule upande mwingine wakiwamo CCM. Habari ya mjini, masikioni mwa watanzania kwa sasa ni chanjo ya Corona. Safari inayotegemewa kufikishwa palipo pema takribani ndani ya kama wiki 2. Habari ya mjini kwa makamanda ni...
  12. Civilian Coin

    Siwezi kuiheshimu wala kuitii Serikali hata kama inafanya mazuri. Mimi sio mamluki wa Serikali kama mtume Paulo

    SITAKUJA KUHESHIMU SERIKALI YEYOTE DUNIANI HATA SIKU MOJA. MTUME PAULO ALIKUWA MAMLUKI YA WATAWALA KWA MASLAHI YA WATAWALA NA AKAIPOTOSHA JAMII. Hakuna Serikali inayotoka kwa Mungu bali ni mitazamo ya wanadamu kwa maslahi ya kuwahadaa Wananchi ili waheshimiwe hata Kama wanafanya maovu. Na ndio...
  13. Red Giant

    CHADEMA sasa nafikiri mmejifunza kuhusu Mamluki

    Kwenye kitabu The prince cha Niccolo Machiaveli kuna sura nzima inazungumzia ubaya wa wanajeshi mamluki. Anasema mamluki hawapigani kwa moyo hivyo ni rahisi kudhindwa ukiwa nao, anasema hawapigani majira ya baridi, hawapigani usiku, hawajihangaishi kujenga ulinzi kuzunguka kambi, na wala...
Back
Top Bottom