Alex Fergus aliteseka sana
https://youtu.be/XXYbVpkI-UY?si=4NGKVOT9hgXRoIG-
Sio ten hag peke yake angalia hii.
Baada ya hapa sir alex alihakikisha anampata Ronaldo. Na akampa.nafasi
Ikicheza mchezo wake wa 18 katika Premier League msimu huu wa 2023/24, Manchester United imepoteza kwa magoli 2-0 dhidi ya West Ham United, ikiwa ni mchezo wa 8 kupoteza katika Ligi hiyo.
United ambayo imeshinda mchezo mmoja tu kati ya mitano iliyopita katika EPL, inazidiwa pointi 11 na vinara...
Jumapili ya Desemba 17, 2023, Saa 1:30 Usiku, Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag anatarajiwa kuwa na mtihani mgumu wa kuivaa Liverpool katika mchezo wa Premier League kwenye Uwanja wa Anfield, huku akiwa na orodha ndefu ya wachezaji wa kikosi cha kwanza anaotarajiwa kuwakosa.
Marcus...
Haya kwa wale wapenzi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya leo kwa upekee kabisa tunawaletea kitakachojiri live wakati wa mchezo huo.
Mchezo huu wa mwisho kabisa wa hatua ya Makundi unabeba hisia nyingi za wapenzi wa soka kutokana na uhitaji wa ushindi kwa Timu ya Man United ili aendelee kubaki kwenye...
Winga Jadon Sancho ambaye yupo nje ya kikosi cha kwanza cha Manchester United kutokana na kutokuwa na uhusiano mzuri na Kocha wake, Erik ten Hag ameondolewa katika Kundi la Wachezaji la timu hiyo kwenye Mtandao wa WhatsApp hali inayoonesha uwezekano wa kurejea kikosini ni jambo gumu
Gazeti la...
Kocha Erik Ten Hag yupo katika hatari ya kupoteza kibarua chake ndani ya Manchester United kutokana na matokeo mabaya na kiwango kibovu kinachooneshwa na timu hiyo tangu kuanza kwa msimu huu hasa baada ya kufungwa magoli 3-0 mfululizo na Manchester City na Newcastle United.
Gazeti la The Sun...
Miezi mitatu tangu Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag amruhusu David De Gea kuondoka inadaiwa kuna uwezekano wa kipa huyo kurejea klabuni hapo ikiwa Andre Onana ataondoka kwenda kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON).
Onana raia wa Cameroon ambaye alisajiliwa kwa Pauni...
Mchezaji huyo mkongwe amewahi kuisadia Timu ya Taifa ya England kwa kucheza Mechi 106 na kufunga Magoli 49, pia alicheza michezo 758 na kufunga Magoli 249 katika kipindi cha miaka 17 akiwa mchezaji wa Manchester United, akishinda Kombe la Europa, Mataji 3 ya Ligi na Kombe la FA
Baada ya...
Uongozi wa Manchester United unatarajia kuongeza ulinzi katika mchezo ujao dhidi ya Copenhagen katika Ligi ya Mabingwa Ulaya kwenye Uwanja wa Old Trafford ili kudhibiti mashabiki wanaodaiwa kujipanga kufanya vurugu.
Inadaiwa kuna kundi la mashabiki linalopanga kuonesha hisia za kuchukizwa na...
Beki wa kati wa Manchester United, Harry Maguire ametoa kauli ya kuwa kama ataendelea kupata nafasi ndogo ya kucheza chini ya Kocha Erik ten Hag basi atafikiria kuondoka Januari 2024.
Maguire, ambaye alitoa asisti ya goli la ushindi katika mechi iliyopita dhidi ya Brentford, amesema "Siwezi...
Lisandro Martinez anasumbuliwa na majeraha ya mfupa wa mguu ambayo yaliwahi kumweka nje ya uwanja muda mrefu, hivyo kuna uwezekano wa Manchester United kutomtumia kwa muda wa miezi miwili au mitatu ijayo.
Aidha, beki mwingine wa timu hiyo, Sergio Reguilon naye imebainika ana majeraha hivyo...
Imebainishwa kuwa winga huyo amepewa zuio la kufanya mazoezi na wachezaji wenzake wa kikosi cha kwanza cha Manchester United hadi atakapomuomba radhi kocha wake, Erik ten Hag.
Ametakiwa kufanya mazoezi na wachezaji wa kikosi cha vijana cha timu hiyo kwenye Uwanja wa Carrington.
Sancho...
Winga huyo wa Manchester United amekubaliana na klabu yake kupewa muda wa kushughulikia suala la tuhuma za unyanyasaji dhidi ya aliyekuwa mpenzi wake Gabriela Cavallin.
Antony (23) hajasimamishwa lakini amepewa muda wa kuwa nje ya ofisi yake licha kuwa anaendelea kulipwa kama kawaida, kwani...
Uongozi wa Timu ya Taifa ya Brazil imechukua maamuzi hayo dhidi ya nyota huyo wa Manchester United ikidaiwa alimshambulia kwa kumpiga kichwa Gabriela Cavallin walipokuwa hotelini Januari 15, 2023.
Gabriela ambaye kwa sasa hana uhusiano na Antony (23) anadai aliumizwa kifuani na hivyo kulazimika...
Winga Jadon Sancho amedai sio kweli kuwa amekuwa hapati nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha Manchester United kwa sababu hajaonesha kiwango kizuri kama kocha wake, Erik ten Hag alivyodai bali hivyo ni visingizio dhidi yake.
Kabla ya kupoteza kwa magoli 3-1 dhidi ya Arsenal, Ten Hag alisema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.