Yeeeerrrrreeeeh
Mimi siyo shabiki wa Man U lakini nachukia sana ubaguzi kwenye mpira hasa vijana wetu waafrika weusi wanavyobaguliwa.
Huyu mdachi Ruud van nistelrooy kocha mpya wa muda wa Manchester United ni mbaguzi.
Kaonesha ubaguzi wake waziwazi kwa kutomchezesha mwamba wa kiafrika...
Wana Man Utd, Xavi au Nagelsmann yupi anafaa kuwa kocha mpya wa Man Utd?
Kipara ngoto kashaondoka.
Yupi anayefaa?
Pia soma > Erik Ten Hag atimuliwa Manchester United baada ya kipigo dhidi ya West Ham United
Klabu ya West Ham imekamilisha usajili wa beki wa kulia, Aaron Wan-Bissaka kutoka klabu ya Manchester United kwa mkataba hadi Juni 2029.
Aaron Wan-Bissaka mwenye umri wa miaka 26 alijiunga na klabu ya Manchester United Juni mwaka 2019 akitokea klabu ya Crystal Palace.
Alicheza mechi yake ya...
Straika Rasmus Hojlund na beki aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni 52, Leny Yoro wamepata majeraha wakati Timu yao ya Manchester United ikipoteza mchezo wa kirafiki dhidi ya Arsenal kwa magoli 2-1, Los Angeles.
Licha ya kuwa haijajulikana ukubwa wa majeraha lakini hiyo ni tahadhari kwa Kocha wa...
Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag amesema wanatarajia kufanya uchunguzi wa ndani kubaini sababu za wachezaji wake kuumia mara kwa mara ikiwa ni siku chache baada ya Lisandro Martinez na Victor Lindelof kupata majeraha.
Walinzi hao wanatarajiwa kuwa nje kwa mwezi mmoja, Martinez akipata...
Kusema kweli huyu dogo mainoo wa Man UTD wamezidi kum overrate mpaka inafika stage unajiuliza kwa kipi alichofikisha au ku achieve.
Sasa nilikuwa najiuliza je ingekuwa cole pamer angekuwa man utd na kwa performance ya namna hii msimu huu situngemkuta adi kwenye billboards aisee😂😂
Ila kiukweli...
Timu ya Man City imezidi kujiwekea mazingira mazuri ya kutetea ubingwa wake wa EPL baada ya kuwafunga wapinzani wao wa Jiji la Manchester timu ya Man Utd kwa magoli 3-1.
Man Utd ndio walikuwa wakwanza kupata goli kupitia Rashford dakika ya 8.
Man City wakasawazisha dakika 56 kupitia Phil Foden...
Phil Chisnall anabakia katika vitabu vya kumbukumbu kama mchezaji wa mwisho kuhama direct toka Man Utd kwenda Liverpool baada ya hapo haijawahi kutokea tena. Alifanya uhamisho huo mwaka 1964.
Man Utd & Liverpool ni wapinzani kweli katika mpira na uhasama wao ulifanya mechi zao ziwe zinachezwa...
Hatimae kile kitendawili cha umiliki wa Man Utd kimeteguliwa leo kwa ambapo klabu hiyo imefikia makubaliano na Sir Jim Ratcliffe ambaye ni Mwenyekiti wa Kampuni ya INEOS kumiliki asilimia 25 Klabu hiyo.
Ikimbukwe wamiliki wa Man Utd bado watabakia familia ya Glazzer kwa asilimia 75.
Sir Jim...
Kutokana na elimu yangu ya unajimu niliyoachiwa na marehemu Sheikh Yahaya, Man Utd leo atashinda au atadroo.
Hivyo punguzeni matarajio ya kuwa atafungwa hasa nyie wadau wa mikeka.
Mechi itaamuliwa na mabeki zaidi na viungo kwa mbali.
https://www.netflix.com/us/title/81223488?s=a&trkid=13747225&trg=cp&vlang=en&clip=81728489
Jamaa nilimu idolize sana miaka ile hadi nikawa napiga cross kama zake mpirani
Winga Jadon Sancho amedai sio kweli kuwa amekuwa hapati nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha Manchester United kwa sababu hajaonesha kiwango kizuri kama kocha wake, Erik ten Hag alivyodai bali hivyo ni visingizio dhidi yake.
Kabla ya kupoteza kwa magoli 3-1 dhidi ya Arsenal, Ten Hag alisema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.