manabii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Baba wa Manabii na Mitume wote Ibrahimu au Abrahamu alikuwa Dini gani?

    Hili swali nalikalibisha tu,kwa watu wenye uelewe wa mambo ya Dini. Huyu ni nabii na mtume wa Mwenyezi Mungu, ambaye anakubaliki na Dini zote, kuanzia Uyahudi, Ukristo mpaka Uisilamu, na hawa wote ibada zao zimetofautiana. Je, niwapi wanaomfata?
  2. mshamba_hachekwi

    Haya makanisa ya 'manabii', 'mitume' yalianza lini hapa Tanzania?

    Hii post haina lengo la kumdhihaki mkristo yeyote atakaeisoma, wala kujaribu kulinganisha imani zozote. Ningependa kujua kutoka kwa yeyote anayefahamu mwanzo wa haya makanisa maarufu ya mitume au manabii watenda miujiza. Labda unajua, ama ulikuwepo kipindi hicho.
  3. M

    Ni ipi dini ya mitume wa mwenyezi mungu na manabii

    Mitume na Manabii wa Mwenyezi Mungu walikuwa Dini gani? Kuanzia Adamu,Nuhu,Ibrahimu,Musa na Yesu,na wengine wengi Sikalibishi matusi ni kwa ajili ya kuelimishana tu,kama unajiona huna hoja baki kama msikilizaji
  4. MIXOLOGIST

    Yesu wa Kenya anaenda kusulubishwa, manabii na mitume wa mchongo wakae kwa tahadhari

    Amani iwe nanyi, Kazi ya Mungu siku zote ina upinzani mkali. Tumeona Yesu OG, mitume na manabii walivyo uwawa, teswa na kudhihakiwa. Soma maandiko kwa urahisi wa rejea. Huko jirani, wadau wanataka kumjambisha yule yesu wa mchongo, wanataka kumsulubisha kwa kadiri ya maandiko wakitarajia...
  5. The Assassin

    Zumaridi aandike Biblia yake mwenyewe kama walivyofanya manabii wa zamani

    Nabii mfalme Zumaridi anatakiwa kukumbushwa kuandika biblia ama ufunuo wake kama wlaivyofanya manabii wa zamani. Dini hizi tunazoziona sasa zilianza kama ilivyo kwa Zumaridi lakini miaka kadhaa mbele sasa ni jamii kubwa ya waumini wakiamini kilichoandikwa na manabii kama Zumaridi wa huko nyuma...
  6. britanicca

    Baada ya Kukemea Ushoga tukemee hata Imani Potofu zote za Magharibi, nazo ni Mbaya Kama Ushoga, naongelea manabii wa uongo kina Zumaridi/Babu Loliondo

    Mambo mengi ya kukemea… Naanza na kumpongeza KAGAME 1. Ufungui Dini Hovyo hovyo nchini kwake kwa Mgongo wa uhuru wa kuabudu lazima tuwaratibu hawa watu! 2. Kakataza Azana za Asubuhi ni Kelele anasema mwamba kupiga Kelele mijini imepitwa na wakati, mnapigia watu Kelele mitaani, akawasihi...
  7. Chikenpox

    Hivi kwanini mitume na manabii wanawachezea sinema waumini wao? Enyi waumini msiokuwa na akili ni nani aliwaloga?

    Hebu fikilia m hungaji kama mwamposa anwaambiaga waumini kwamba kunywa pombe ni dhambi na Wala wasiguse kabisa waumini lakini yeye ana hoteli ya kitalii mahala flani (sipataji) na mle ndani anauza pombe, whisk, konyagi, K-Vant, Vodka, Pushkin, nk na wataleja ni wengi sana. Sasa mbona tunauziana...
  8. B

    Uteuzi wa Viongozi Baraza la Manabii na Mitume Tanzania, Gwajima na mzee wa upako watajwa

    17 February 2023 Rais wa baraza la manabii na mitume Tanzania Dr. Joackim Peter Kimanza ... shalom waTanzania tupo mbele yenu katika uamsho wa kuwafikia watanzania mpaka ngazi za Vijiji.. kuweza kufikia hilo mimi kama rais wa baraza ninawateua wafuatao ... Toka maktaba :
  9. Chakaza

    Tukifanya Hivi, Kina Mwamposa na Manabii kuwa Walipa Kodi Wakubwa

    Nashindwa kuelewa kwanini TRA wanashindwa kuiga kwa Ruto wa Kenya na kuongeza mapato kutoka katika wimbi hili la mitume na manabii walioanzisha biashara ya Maji, chumvi, vitambaa nk wakiviita vya upako na kupata fedha nyingi sana kama biashara isiyo kodi wala cost of production. Msome Rais Ruto...
  10. Benjamin10

    Manabii wanaouza maji na mafuta ya upako nao waingizwe kwenye system walipe kodi

    Habari za muda huu wakuu.. Naomba niende kwenye maada husika. Mimi ombi langu kwa serikali ni kua.. Wale manabii wanaouza maji ya upako wasajiliwe na mamlaka za maji (ewura) ili na wao walipe kodi.. vivyo hivyo mafuta nao ... maana hiyo imekua ni biashara kubwa watu wanatumia shida zetu...
  11. Benjamin10

    Manabii wanaouza maji na mafuta ya upako nao waingizwe kwenye mfumo walipe kodi

    Habari za muda huu wakuu, Naomba niende kwenye maada husika. Mimi ombi langu kwa serikali ni kua wale manabii wanaouza maji ya upako wasajiliwe na mamlaka za maji (EWURA) ili na wao walipe kodi vivyo hivyo mafuta nao, maana hiyo imekua ni biashara kubwa watu wanatumia shida zetu kujinufaisha...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mitume na manabii wanaouza maji na mafuta watakiwa kujisajili rasmi kama watoa huduma rasmi wa sekta za maji na mafuta

    Mitume na manabii wanaitoa huduma za maombezi kwa kutumia mafuta na maji wametakiwa kujisajili kwenye mamlaka rasmi zinazosimamia huduma hizo. wale wanaouza maji wametakiwa kujisajili kwenue mamlaka ya maji na wanaouza mafuta wametakiwa kujisajili Food and Drugs Authority.
  13. tpaul

    Kwanini mitume na manabii huishiwa upako baada ya muda? Je, hizi pako zao ni za kweli au za mchongo?

    Jambo wadau? Naingia kwenye mada moja kwa moja pasipo kuwachosha na maneno mengi. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia upako wa manabii na mitume jinsi wanavyoanza huduma zao kwa pako za hali ya juu sana lakini baada ya muda zile pako huanza kufifia taratibu na kuisha kabisa. Nabaki...
  14. Crocodiletooth

    Tupia hapa vibweka na vituko vya manabii wa nyakati za mwisho

    Waumini wa Kanisa la Legio Maria: "Tunatoa meno 6 ya chini ili kumsaidia Mungu atutambue (identify) kwa urahisi"
  15. MakinikiA

    Serikali ifunge makanisa yote ya uchochoroni ya manabii, wanaibia watanzania...

    Hapa nayalenga hasa yale ambayo unakuta kanisa limezungushiwa mabati tu.Kanisa halina address halafu linajiita nabii na kuanza kukusanya fedha za kuwatabiria watu. serikali ipambane na hawa au warasimishwe watozwe kodi wachangie madawa hospitalini.
  16. R

    Mnaokwenda kwenye makanisa ya manabii, mitume, shida zenu huwa haziishi?

    Huwa kweli nacheka sana nikiwasikiliza hawa manabii, mitume siJui maaskofu wanapowaingiza watu mkenge kuwachukulia pesa zao. Utasikia kama kiPindi hiki cha mwisho wa mwaka unaambiwa kutakuwa na ibada maalumu ya kufungua malango ya mwaka mpya. Kumbuka wakati huohuo mwezi uliopita alikuja mhubiri...
  17. tpaul

    Serikali isipowapiga marufuku 'Mitume na Manabii' wa mchongo, miaka michache ijayo tutakuwa na Taifa la ovyo sana

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kupepesa macho wala kutikisa masikio. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia huduma zinazotolewa na hawa manabii na mitume wanaoibuka kama uyoga hapa nchini. Nimegundua Serikali isipochukua maamuzi magumu kuwapiga marufuku hawa watu, miaka michache...
  18. H

    Je, Mwanamke anaweza kupata ujauzito baada ya kutolewa kizazi kwa kuombewa na Manabii na Mitume?

    Habari za wakati huu wanajamiiforums! Jamani mimi binafsi kuna jambo napata ukakasi kuamini kama ni kweli. Ipo hivi kuna muda huwa naangalia channel za manabii na mitume maaraufu hapa Tanzania, Sasa kuna shuhuda huwa nazisikia mwanamke anadai kupata ujauzito bila ya kuwa na kizazi! Wengi wa...
  19. Introver

    Tofauti ya Mitume, Manabii, Wainjilisti, Wachungaji na Walimu ni ipi?

    TOFAUTI YA MITUME, MANABII, WAINJILISTI, WACHUNGAJI NA WAALIMU NI IPI? Huduma hizi 5 tunazisoma katika kitabu cha Waefeso. Na madhumuni ya Bwana Yesu kuziweka huduma hizi tano (5), kama huduma za Uongozi katika kanisa ni kama mstari wa 12, unavyosema. Tusome tena.. Kumbe lengo la kwanza ni...
  20. Mwamuzi wa Tanzania

    Baada ya kuwakemea wachungaji, mitume na manabii wa kihuni, sasa zamu yenu Masheikh na Maustadhi wahuni

    Habari! Binafsi Mimi ni Mkristo, charismatic christian, situmbishwi na ninachokiamini kwakuwa nimekithibitisha. Kwasababu ya ukosefu wa ajira, kufukuzwa kazi, uvuvi , tamaa ya pesa na sifa basi watu wengi wamefungua huduma au wameingia kwenye huduma za Kichungaji, kinabii, kitume, kiinjilisti...
Back
Top Bottom