Haji Manara aendelea kuneemeka na penzi la Mke wake Zailyssa, kupitia ukurasa wake wa Insta Haji Manara ame-share video inayomuonyesha akifanyiwa usafi wa miguu na Mke wake Zailyssa.
Ameandika Manara, "Kupendwa Raha nyie, Siku mbili tu nimeongezeka kilo kumi dadadeki, Sijui nilichelewa wapi...