manchester city

  1. M

    KWELI Manchester City wamtaka Bukayo Saka kuelekea msimu mpya wa EPL mwaka 2022/23

    Inadaiwa Klabu ya Manchester City imeongeza jitihada za kutaka kumsajili nyota wa Klabu ya Arsenal na timu ya Taifa ya England, Bukayo Saka.
  2. Suley2019

    Manchester City wamtaka Bukayo Saka

    Inadaiwa Klabu ya Manchester City imeongeza jitihada za kutaka kumsajili nyota wa Klabu ya Arsenal na timu ya Taifa ya England, Bukayo Saka Mabingwa hao wa England wanafuatilia kwa karibu mustakabali wa Saka katika Klabu ya Arsenal ambapo amebakiza miaka miwili katika mkataba wake Hata hivyo...
  3. JanguKamaJangu

    Manchester City yatwaa ubingwa wa Premier Leagur 2021/2022

    Manchester City imefanikiwa kutetea taji la Premier League msimu wa 2021/2022 baada ya kushinda mchezo wa mwisho wa ligi hiyo kwa mabao 3-2 dhidi ya Aston Villa, leo Mei 22, 2022. Man City imetwaa umetwaa ubingwa huo kwa kufikisha pointi 93 huku Liverpool ikishika nafasi ya pili kwa kuwa na...
  4. Y

    MECHI ya kufa mtu MANCHESTER CITY vs REAL MADRID nani anaenda fainali

    Ligi ya mabingwa ulaya inaendelea usiku hatimaye imefikia hatua nusu fainali , usiku huu kuna mtanange wa kufa mtu ukikutanisha miamba kati ya real manchester city vs real madrid ni mechi kali yenye mvuto wa kipekee itakuwa mechi ya kimbinu zaidi . Mtazamo wangu...
  5. marcoveratti

    Beki wa Manchester City anaendelea kusota jela

    kama kawaida ya watu weusi kujisahau akipata pesa ,,basi na mwenzetu ndugu Mendy wa Man city yamemkuta makuu baada ya kurekodi video akifanya ngono na kuisambaza. sasa yuko jela kwa kosa la kumzaririsha mwanadada huyo alie kua akifanya nae ngono na hana dalili ya kitoka Man city i asemekana...
  6. mshale21

    Manchester City imezindua sanamu za Vincent Kompany na David Silva Etihad stadium

    Klabu ya Manchester City imezindua sanamu za wachezaji wao wa zamani Vincent Kompany na David Silva kwenye uwanja wao wa Etihad kuelekea mchezo dhidi ya Arsenal leo. Sanamu la tatu la Sergio Aguero linatarajiwa kukamilika mwakani.
  7. mshale21

    Manchester City na Juventus zimekubaliana kuhusu uhamisho wa mshambuliaji Mreno Cristiano Ronaldo

    Juventus wanataka kati ya £21m-25m kwa ajili ya Ronaldo, huku City ikitarajiwa kumpa mkataba wa miaka 2. (Guardian) Klabu hiyo ya Italia inatarajia Ronaldo atabakia klabuni hapo lakini wana nia ya kumsajili mshambuliaji wa City mbrazil Gabriel Jesus, 24, kama mbadala wake. (Sky Sports)
  8. Cannabis

    Cristiano Ronaldo kuhamia Manchester City

    Habari zinazozunguka mtandaoni hivi sasa ni kwamba mshambuliaji mahiri wa ureno na klabu ya Juventus anaweza kuhamia klabu ya Manchester City kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili nchini Uingereza. Inasemekana wakala wa mshambuliaji huyo Jorge Mendes anajaribu kuangalia uwezekano wa kufanya...
  9. tc_edo

    Manchester City kugharamia usafiri wa mashabiki wao watakaohudhuria fainali za UEFA huko jijini Porto

    Tajiri na mmiliki wa klabu ya Manchester City, Sheikh Mansour asema atagharamia gharama zote za usafiri kwa mashabiki wake watakao hudhuria fainali za UEFA huko jijini Porto, Ureno tarehe 29 mei 2021. "Pep na timu nzima wamekua na msimu mzuri kabisa na wao kufika kwenye fainali ya UEFA hasa...
  10. M

    Manchester city has to wait, champagne back to the fridge

  11. Shadow7

    Klabu sita zaingia katika vita kubwa ya kutaka kumsajili Aguero

    Everton imejiunga na Chelsea, Leeds United, Tottenham, Barcelona na Inter Milan ambao wanataka kumsajili mshambuliaji wa Argentina Sergio Aguero, ambaye atapatikana kwa uhamisho huru atakapoondoka Manchester City msimu wa joto. (Daily Star on Sunday). Mshambuliaji wa Misri Mohamed Salah...
  12. Shadida Salum

    KLABU BINGWA ULAYA: Manchester City na Real Madrid zang'ara katika usiku wa Ligi ya Mabingwa

    Michezo miwili itapigwa leo majira ya saa tano usiku kati ya Borussia Monchengladbach dhidi ya Manchester city huku Atalanta akiialika Real Madrid . Kiwango bora walichonacho Manchester City katika mashindano ya ndani kinakwenda kujaribiwa usiku wa leo wakati watakapomenyana na Borussia...
  13. Shadida Salum

    Mafanikio ya Pep Guardiola akiwa na Manchester city

    Manchester City imeweka rekodi ya kuwa timu kubwa kutoka England ambayo imeshinda mechi nyingi mfululizo. Ikiwa imeshinda mechi 15 , huku ikifunga magoli 40, na kuruhusu magoli 5, ikiwa na clean sheets 10 chini ya Pep Guardiola. Kocha huyo wa zamani wa Barcelona na Bayern Munich amefikia...
  14. M-mbabe

    Manchester City wafanikiwa kukwepa adhabu ya kufungiwa UEFA

    Habari ndiyo hiyo! Hatimaye Manchester City washinda rufaa yao kucheza michuano ya Ulaya msimu ujao, lakini wamepigwa faini ya €10m === Manchester City's hopes of playing in next season's Champions League rest on the outcome of an appeal due to be announced at 9.30am this morning. City were...
  15. Belleringal

    Kurejea kwa EPL: Manchester city vs Arsenal

    Juni 17 ndio utachezwa mchezo wa kiporo City dhidi ya arsenal katika dimba la Etihad. Ikumbukwe huu ni mchezo wa kwanza wa Arsenal under Mikel Arteta . Pia ndio mchezo ambao utamkutanisha mtu na boss wake yaani Pep Guardiola vs Mikel Arteta. Je, arteta atafanikiwa kumfunga City?
  16. Masamila

    EPL title ya mwaka huu inaikataa Manchester city 'The Cityzens'; Kelvin DeBruyne, Fernandinho na Aymeric Laporte ni majeruhi hivi sasa

    Ubingwa wa EPL 2018/2019 unawakataa Manchester city 'The Cityzens' Hivi sasa tunapoongea wachezaji wanne muhimu ikiwamo na mabeki wa kati muhimu wote wapo majeruhi na viungo wawili muhimu mno pia majeruhi Kelvin De Bruyne, Fernandinho, Aymeric Laporte na John Stones ni majeruhi hivi...
Back
Top Bottom